Tozo Mpya: Bei Ya Umeme Yapanda Τena Kenya

Tozo Mpya: Bei Ya Umeme Yapanda Τena Kenya

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
881
Reaction score
774
Gharama ya umeme inatarajiwa kupanda tena kwa mara nyingine kwa watumiaji wa majumbani na viwandani.

EPRA imezindua tozo mpya zitakazoongeza bei kwa takriban Sh4.16 kwa kila uniti (kWh) kwa mita zote zitakazosomwa Septemba 2026.

Ongezeko linachangiwa na tozo ya mafuta (KSh 3) na mabadiliko ya sarafu za kigeni (KSh 1.14).
IMG-20260921-WA0026.jpg
 
Back
Top Bottom