Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.
Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).
Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.
Aisee ilizoeleka kuwa wakenya huja Tanzania kununua mazao na kuyapeleka kwao Kenya ila Hali sio hvyo kwasasa.
Wakulima wa Kenya wamejipanga na kuwezeshwa Sasa wameanza kuzalisha zaidi ya uwezo wao mazao kama nyanya, vitunguu na maharage kidogo kwenye mahindi wanashirikiana na wakulima wa...
Diwani wa Wadi ya Ikanga, Cyrus Kisavi Musyoka, anatarajiwa kufikishwa mahakamani Ijumaa kwa tuhuma za kughushi nyaraka za ununuzi wa gari ili kulaghai Bunge la Kaunti kiasi cha Ksh. 2.2 milioni.
Musyoka anadaiwa kuwasilisha stakabadhi za uongo za kurejeshewa fedha za ununuzi wa gari kwa lengo...
Mwendesha Mashtaka wa umma nchini Kenya alitangaza Jumatano kwamba Mbunge, George Koimburi, ameshtakiwa kwa kughushi vyeti vya masomo.
Koimburi, Mbunge wa eneo Bunge la Juja, anakabiliwa na Mashtaka sita, matatu kwa madai ya kughushi nyaraka za masomo na matatu kwa kuwasilisha vyeti hivyo...
The difference starts right at Namanga.
Check the trucks at the border. There are no Kenyan Trucks. But TZ Trucks are loaded bringing goods to Kenya and going back empty. 1-0 TZ
TZ Roads are clearly marked. Milestones, lanes, speed limits.
Which Roads have Milestones in Kenya. Zero.
Lanes are...
Niwapongeze sana wapiga kura wote walioshiriki kumkataa huyu bwana uchaguzi wa AU, Wengi walijiaminisha baba anakuwa mwenyekiti Ruto akamwingiza chaka eac wamejipanga na atashinda.
Haha baadhi ya mambo yaliyomfanya asishinde ni
1.Nchi yake kuruhusu ofisi za RFS za waasi kuwepo huko kenya
Src...
Kenya katika EAC inaelekea kuwa kitovu cha mipango hasi dhidi ya serikali kadhaa za ukanda huu.
Kabla ya vita kupamba moto DRC, viongozi wa makundi mbalimbali ikiwemo M23 walikutana Kenya na kuunda umoja wao yaani Congo River Alliance's baada ya hapo vita ikazuka ya nguvu sana DRC, mipango hii...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
First Lady Rachel Ruto held a meeting with Dr. Joyce Kithure, spouse of the DP which focused on promoting sustainable school feeding in Kenya through food production on school grounds
Wakuu mimi ni mwalimu natamani nikafundishe kati ya Nchi tajwa hapo juu tafadhali mwenye miongozo anipatie hapa jukwaani mimi na wanajukwaa wenye shida kama yangu tutashukuru sana
Ahsanteni
Mara baada ya kuchukua madaraka kutoka kwa Kabila mtoto, Tsishekedi alikuwa na mahaba makubwa kwa Kenya, akaitelekeza Tanzania.
Tanzania ni moja kati ya "watu wa kazi" Walioidhibiti amani ya Congo Mashariki. In fact, Tanzania ni Godfather wa ulinzi na usalama wa ukanda huu. Kosa hilo...
Wakuu,
Kwa jinsi mambo yanavyoenda uchawa unaenda kuwa anguko la CCM.
Rais Samia unaweza usiwe na ufahamu mkubwa kupambana na mavitu complex, lakini hata hili dogo la uchawa unaacha mpaka linakuwa out of hand namna hii?
Anayekushauri anakupotosha, hawa machawa ndio watakuja kutumika dhidi...
Nchi ya Tanzania inatakiwa iige utaratibu wa Tume Huru ya Kenya. Kupata Mwenyekiti na Makamishna wa Uchaguzi wanatakiwa wapatikane kwa njia ya haki. Mfano wiki hii kule Kenya wametangaza nafasi ya Mwenyekiti na Makamishna wa Tume Huru ya Kenya na sharti ni kuwa anayetaka nafasi hizo ni lazima...
Kama umekuwa mfuatiliaji mzuri wa maudhui kutoka media mbalimbali utakubaliana nami kuwa media nyingi za Tanzania zimekuwa za kikasuku na burudani kuliko kazi nyingine za media nawashauri medias, wadau wa media na watangazaji kujifunza kutoka kwa ndugu zetu kenya, kuazia mpangilio wa vipindi...
RIP HM Aga Khan, Nimeshangazwa sana na magazeti ya Kenya walivyosema kuhusu historia, They didn't mention that the HM aga Khan IV alitawazwa akiwa Dar es Salaam wakati baba yake alivyofariki.
Lakini magazeti ya Kenya yakiwamo Mwananchi hayasemi hivyo ila main media stream ya dunia nzima...
Kiongozi wa chama cha Thirdway Alliance, Ekuru Aukot, amesema kuwa Kenya inaweza kujitegemea bila msaada kutoka Shirika la Usaidizi la Marekani (USAID) tatizo kubwa limekuwa ni rushwa na matumizi mabaya ya fedha za umma
Aukot alisema kuwa Kenya inapata fedha nyingi lakini nchi hiyo haina pesa...
Rais wa Rwanda, Paul Kagame amesema hajui kama wanajeshi wa nchi yake wako Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ambako mapigano kati ya kundi la waasi la M23 na wanajeshi wa Congo yanaendelea.
Sehemu kubwa ya Jumuiya ya Kimataifa inaamini kwamba Rwanda inaunga mkono waasi wa...
Huyu jamaa uongozi wake umejengwa kwa misingi ya Genocide.
Bila Genocide hana cha kusimamia.
Kwa rwanda amejibrand kama ni mtu aliyezuia Genocide. Kwa nchi ambazo zina makabila mengi huwezi kutoboa kuwaongoza watu miaka 30 kila leo uwakumbushe mauaji ya kimbari!! Watu awawezi kukuelewa lazima...
Tokana na chokochoko, migongano, migogoro, vita, na wizi nchini DRC, nashauri mataifa tajwa hapo juu yatie buti kwenye nchi hizo na kuzitwaa ili kuunda taifa moja kubwa na tajiri haraka. Tukizitwaa, DRC itasaidia kutoa ardhi kwa viinchi visivyo na ardhi ya kutosha kama Burundi, Rwanda, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.