kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Marais wasela wanawezaje kuongoza nchi bila wake au waume na kuokoa pesa za wenza

    Najua kuwa askofu Makarios wa Cyprus na Hastings Kamuzu Banda hawakuwa na wake wala watoto. Putin wa Urusi alikuwa na mke wakaachana. Mia Motley waziri mkuu wa Barbados hana mume. Pia, rais Buchanan Jr wa Marekani pia, hakuwahi kuoa hadi anakufa. Nashauri uchaguzi mwingine tuchague msela ili...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kenya Talk, hivi ilikuwa nini?

    Nakumbuka kulikuwa na kitu kama hiki!
  3. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Sijui kwanini nikiona picha za gen z Kenya huku nikisikiliza ngoma za lucky dube huwa Kuna vibe flani hivi la uzalendo embuu jaribuni na nyie

    Nikiona picha za gen z Kenya halafu mda huo nasikiliza Ngoma za lucky dube huwa Kuna vibe flani hivi la kuingia rodi hiyo tarehe 29 nikikumbuka asili ya mtanzania ni uoga mpaka mtandaoni nachoka
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kenya kapigwa goli 3-1 na Gambia, English haijawasaidia

    English iwasaidie basi waweze ku qualify world cup
  5. Isaka James

    JamiiForums Tanzania Muda wa Kufungua Macho: Tukio la Udukuzi la TSh 229.94 Milioni Kenya na Masomo kwa Tanzania

    Habari wadau wa Jamiiforums! Mimi ni mtaalamu wa usalama wa mtandao (cybersecurity) kutoka Tanzania, na leo nataka tuzungumze kuhusu tukio la hivi majuzi la udukuzi nchini Kenya ambalo linapaswa kutufungua macho sisi Wanzania. Hebu fikiria, Kijana mwenye vipaji vya hali ya juu anayetumia ujuzi...
  6. McLaren

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliyemnywesha tembo bia mbugani achunguzwa na mamlaka za Kenya

    Mamlaka za wanyamapori nchini Kenya zimeanzisha uchunguzi baada ya video za mtalii wa Kihispania kusambaa mtandaoni zikimuonyesha akimimina bia kwenye mwembe wa ndovu. Tukio hilo lililofanyika katika hifadhi binafsi ya Ol Jogi Conservancy, Kaunti ya Laikipia, limezua hasira kubwa kwenye mitandao...
  7. Damaso

    JamiiForums Tanzania Joash Onyango Ajiunga na Kenya Police FC, Umri Wake Wazua Mjadala

    Beki mkongwe mwenye jina kubwa katika soka la Afrika Mashariki, Joash Onyango, amezua gumzo mara baada ya kujiunga rasmi na kikosi cha Kenya Police FC akitokea timu ya Dodoma Jiji ya Tanzania. Onyango, ambaye amewahi kung’ara na miamba wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba SC na Singida Black Stars...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kenya yazuia ujenzi wa kanisa Ikulu

    Mahakama Kuu nchini Kenya imeamuru kusitishwa kwa muda ujenzi wa kanisa la kudumu au jengo lolote la kidini katika majengo ya Ikulu, nchini humo. Agizo hilo la muda pia linazuia ujenzi kama huo katika Ikulu za Rais zilizoko maeneo mbalimbali nchini au hata jengo lolote lenye mafungamano na...
  9. R

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Trump akimfokea aliyekuwa Makamu wa Rais Kenya, Rigathi Gachagua

    Wakuu habari, Nimekwama hapa kupata details za kutosha kuhusu haya mazungumzo ya Rais wa Marekani Donald Trump na aliyekuwa makamu wa rais Kenya Rigathi Gachagua
  10. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaharakati Boniface Mwangi Atangaza Kuwania Urais Kenya 2027

    Mwanaharakati wa haki za binadamu nchini Kenya, Boniface Mwangi, ametangaza kuwania urais katika uchaguzi wa mwaka 2027. Mwangi, ambaye amekuwa mstari wa mbele kuongoza maandamano ya kupinga serikali yanayoshirikisha vijana wengi, anataka kugeuza nguvu hizo za maandamano kuwa harakati ya...
  11. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kuhaidiwa mamilion Kenya, Uganda na Tanzania wameishia kutusabahi

    Nyie mnaoamini Maisha ni pesa kuna mbinu zaidi ya pesa CHAN imenifundisha mengi sana nisidharau mtu sababu ya pesa unaweza ukaahidiwa mamilioni ukaishia kupata history ulikuwepo CHAN Nimewaza yale mamilioni waliyoahidiwa yameishia wapi Na nyie wanahabari na unafiki wenu wa DRW NA MADAGASCAR...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Tetesi mechi ya kenya vs Madagascar kurudiwa uamuzi wa shirikisho la soka Afrika

    Barua husika hiyo OFFICIAL statement from CAF. The body will release the same Next Week. CAF DECISION STATEMENT Following a thorough review of the FIFA match report, referee assessments, and official video footage of the CAF Africa Cup of Nations Qualifier between Kenya (Harambee Stars) and...
  13. Think2

    JamiiForums Tanzania Hivi unajua million 1.97 ya Tanzania ni sawa na laki 1 ya Kenya

    Uchumi wa kenya uko juu japokuwa hawana rasilimali nyingi kama Tanzania Kenya inajangwa upande wa kasikazini, Tanzania yetu hii uchumi umeganda haueleweki kama unapanda au unashuka rasilimali tunazo nyingi sana Mungu ametubariki ila ndo taifa Masikini Afrika ,what a shame my broh? Ukiwa na elfu...
  14. IzukeneJr

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa biashara ya kupeleka Mchele Kenya na Uganda upoje?

    Niko mkoani Mwanza, nina kama tani 200 za mchele, kwa sasa ninafanya biashara ya kawaida hapa hapa Mwanza Ninahitaji kupanua soko langu na kuanza kusafirisha kupeleka nchi jirani. Ninaomba iwapo yupo mdau ambae ana uzoefu na biashara hiyo anisaidie mchakato mzima kuanzia vibali na namna ya...
  15. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Chief Godlove Kelele nyingi hata Kenya haujawahi fika, kamdomo hatoki nje ya Tanzania

    Huu ni ukweli sio ubuyu inaonekana waganga wake masharti yao asitoke nje ya Tanzania,
  16. S

    JamiiForums Tanzania Uganda Nje, Kenya Nje, Tanzania Nje, Lipo Tatizo Ukanda huu, Mnaoleta Siasa hapa Tanzania

    Wewe unaeiponda Tanzania kwa kutolewa CHAN jana na unashangilia halafu una comment kwa matusi
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha The Animals Are Innocent: "The Search for Julie's Killers" kinaonyesha majibu rahisi ya viongozi afrika mfano tukio la Julie's kule kenya.

    Kitabu hiki ni hadithi ya kweli kuhusu Julie Ward, msichana wa Kiingereza aliyeuawa nchini Kenya mwaka 1988. Julie alikuwa mpenzi wa wanyama na alifanya kazi ya kupiga picha za wanyama katika Hifadhi ya Masai Mara. Siku moja, aliondoka Nairobi kwenda kufanya kazi yake, lakini hakurudi tena...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mmeona video ya Mtanzania muuza karanga akifanyiwa unyasasaji nchini Kenya? SASA HII IMEKUWA TOO MUCH!

    Inasikitisha sana ni namna gani siasa zinaweza kutenganisha watu
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Kenya yatupwa nje michuano ya CHAN 2024 na Madagascar kwa Mikwaju ya Penati 3-4

    Mchezo wa Robo fainali kati ya Kenya na Madagscar umemaliza kwa magoli 1-1 na sasa kinachosuburiwa ni muda wa ziada (Extra time) yaani dakika 30 za hatma baada ya hapo itakuwa mikwaju ya penalty endapo kama matokeo yatabaki yalivyo. Alphonce Omija 55' Fenohasina Razafimaro 69'
  20. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kwa hali iliopo nchini Kenya ni basi tu wananchi hawana silaha za moto.

    Sasa hivi kinacho tofautisha mamlaka ya police na vijana wa kenya ni miguu ya kuku tu, maana hawa vijana mahala popote wanafika huku wakiwa tayari kiwatokee chochote. Spirit ya mau mau ipo ndani yao, historia ya machafuko hata baada ya uhuru imetengeneza jadi ndani yao, thus kenya haitakaa...
Back
Top Bottom