kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa watu wanajadili mambo gani hapo msibani hapo Kenya kwa RAO?

    Naowaona wako busy tu na simu zao huku watu wengine wakiwa makini kusikiliza maudhui ya msiba. Hebu angalia picha yao hapa chini.
  2. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza Ijumaa Oktoba 17, 2025 kuwa Sikukuu ya kitaifa ya kumuenzi Odinga

    Serikali ya Kenya imetangaza Ijumaa, Oktoba 17, 2025 kuwa sikukuu ya umma kwa heshima ya aliyekuwa Waziri Mkuu, Raila Odinga, aliyefariki dunia Oktoba 15, 2025 akipatiwa matibabu nchini India. Katika tangazo maalumu la gazeti la Serikali Na. 15007 iliyochapishwa mapema Oktoba 16, 2025, Katibu wa...
  3. Victoire

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TANZIA Raila Amolo Odinga afariki dunia nchini India kwa mshtuko wa moyo

    Raila Odinga (RAO) afariki dunia huko India. Amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 80. R.I.P Papa. Utangulizi Raila Amolo Odinga ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri zaidi katika historia ya Kenya na Bara la Afrika kwa ujumla. Kwa zaidi ya nusu karne, amekuwa nembo ya mapambano ya demokrasia...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je, taifa halina Gen Z kama Kenya na Madascar? Au wao wanadili na Bongo fleva na Simba na Yanga?

    Dunia nzima sasa inaonekana watakaoleta mabadiliko ni Gen Z. Lakini kwa Tanzania wanawaza kujadili Singeli na bongo fleva. Huku Taifa lao likienda mlama kwa ufisadi, upendeleo huku maisha yao yakiwa hovyo kabisa Gen Z wa Tanzania hovyo kabisa kama makamasi ya ndama.
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Apotezwe nani ili Watanzania waingie barabarani kama Kenya?

    Kapotea Mdude watanzania wapo Kimya. Kapotea Ben Saanane wapo kimya. Kapotea Azory Gwanda wapo kimya. Orodha ni ndefu sana.... Je, Wakenya wangekubali ndugu zao kupotezwa namna hii na hao wasiojulika a?
  6. L

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Kenya wapata ufadhili wa kusoma lugha ya Kichina nchini China

    Lugha ya Kichina imeendelea kupata umaarufu katika nchi mbalimbali duniani, na imekuwa ni chaguo kwa vijana wengi ambao wanaona faida yake katika soko la ajira. Shule nyingi duniani hasa za barani Afrika zimejumuisha lugha hii kwenye mitaala yao ya masomo, ikionyesha jinsi ambavyo lugha hii...
  7. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaharakati wawili kutoka Kenya watekwa Uganda wakiwa katika Kampeni za Bobi Wine

    Wanaharakati wawili kutoka Kenya, Bob Njagi na Nicholas Oyoo, walidaiwa kutekwa nyara Oktoba 1, 2025 mchana na wanaume wanne wenye silaha wanaoaminika kuwa maafisa wa usalama. Wawili hao walikuwa wameungana na mgombea urais wa National Unity Platform (NUP), Bobi Wine, katika kampeni zake nchini...
  8. Mashashola

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtanzania Ombaomba Bandia Akamatwa Nairobi Pangani Kenya

    Raia wa Tanzania ambaye ni mtoto alikamatwa Kenya na umma maeneo ya Pangani Nairobi kwa kujifanya ombaomba huku miguu yake ikiwa shwari. Hii ni baada ya umma kunugunika kuhusu uongezekaji wa raia wa Tanzania ambao ni ombaomba mitaani hio. Nchini Kenya, wenye ulemavu hujulikana kwa number...
  9. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Mtalii aliyejaribu kukosoa safari yake ya kitalii Kenya amepokea backlash kubwa sana kwenye social media

    Kuna mtalii alikuja Africa (specfically Kenya) kuja kutalii wanyama kisha akapost video mtandaoni kuonesha kuwa hajavutiwa na safari hiyo. Kwamba no overrated Matokeo yake anepokea backlash kubwa mno kutoka kwa social media Angalia hapa, everything is in the pictures
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kenya, Tanzania kufuzu kwa raundi inayofuata ya mchujo wa kufuzu kwa Kombe la Dunia la FIFA la Wanawake U-20

    Luanda, Angola Septemba 28, 2025 Tanzania imesonga mbele kwa jumla ya mabao 7-0 dhidi ya Angola. Baada ya kushinda 4-0 katika mechi ya kwanza, Tanzania ilipata ushindi wa 3-0 katika mechi iliyochezwa Jumamosi mjini Luanda. Winfrida Hurbert Gerald, Asha Omary Ramadhani na Neema Paul Kinega...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu Kenya 2027 kugharimu TSh. Trilioni 1

    Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC) imesema inahitaji KSh bilioni 57.3 (TZS trilioni 1.09) kwa ajili ya kuendesha Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027. Awali, Tume iliomba KSh bilioni 61.7 (TZS trilioni 1.18), lakini Hazina ya Taifa ikapunguza kiasi hicho. === The Independent Electoral and...
  12. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Video hii ni maandamano ya wananchi Kenya wakimuonya Rais Ruto kuongeza muda wa uongozi

  13. S

    JamiiForums Tanzania Wanasheria, mashahidi kutoka Kenya na Uganda, watakuwa na wajibu gani kisheria katika kumsaidia Lissu?

    Habari! Wanasheria, tunaomba mtusaidie walau tuweze kujua ni nini utaluwa msaada wa hawa mashahidi kutoka Kenya na Uganda katika hii kesi ya uhaini inayomkabili Lissu. Kwa maneno mengine, wata- play role gani kwenye hii kesi wakiwa kama mashahidi wa mtuhumiwa? Binafsi, nawaza labda...
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kenya yasitisha mradi wa Taifa gas

    Mahakama ya Mazingira na Ardhi nchini Kenya imezuia kampuni ya Taifa Gas kuendelea na ujenzi wa kiwanda cha gesi ya LPG chenye thamani ya Shilingi bilioni 16 katika eneo la Dongo Kundu, Mombasa. Uamuzi huo umetokana na hofu ya uharibifu wa mazingira ya pwani, kufuatia ombi la wakazi wawili wa...
  15. Chivundu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama nchini Kenya imekataa kuondoa amri ya serikali kufungia kiwanda cha Rostam Aziz

    Bilionea wa Tanzania, Rostam Aziz amepiga kizuizi cha kisheria nchini Kenya, ambapo mahakama imekataa kuondoa amri ya kufungia kiwanda chake cha gesi ya petroli iliyoyeyushwa yenye thamani ya Sh16 bilioni (dola milioni 103). Uamuzi huo uliotolewa Jumanne, unaacha mradi wa Aziz wa Taifa Gas...
  16. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Amnesty yaunga mkono Maria Sarungi kufukuzwa Kenya

    Wakuu Nimekutana hii taarifa inasema kuwa Amnesty yaunga mkono Maria Sarungi kufukuzwa Kenya kuna ukweli wa hizi taarifa au ni uzushi?
  17. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu ya Kenya yaamuru Kukamatwa kwa Raia wa Uingereza kwa Kesi ya Mauaji

    Mahakama Kuu ya Kenya imeamuru kukamatwa kwa raia wa Uingereza anayetuhumiwa kumuua Agnes Wanjiru karibu na kambi ya mafunzo ya jeshi la Uingereza huko Nanyuki miaka 13 iliyopita. Mwili wa Agnes Wanjiru, mwenye umri wa miaka 21, ulikutwa ndani ya shimo la choo mnamo Aprili 2012, wiki chache...
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) linatekeleza zoezi la ajira kitaifa Oktoba

    Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF), kupitia taarifa iliyotolewa Jumapili, Septemba 14, linasema kuwa zoezi hili litalenga kuajiri Wakandarasi wa Huduma za Kawaida (GSO) – kwa kawaida na wahitimu wa vyuo vikuu, Wakandarasi Maalumu, Wajibu wa Kawaida, Wafundi wa Kazi na Wanawake, pamoja na Askari wa...
  19. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kero gani umewahi kukutana nazo kutoka kwa bodaboda? Kenya yaja na sheria mpya kupunguza changamoto hizo

    Serikali ya Kenya, imeanzisha sheria mpya kudhibiti sekta ya boda boda kutokana na kuongezeka kwa ajali na uhalifu unaohusishwa na waendeshaji wa pikipiki, ikiwemo visa vya kuchoma magari baada ya ajali na mashambulizi ya wahalifu wanaotumia pikipiki. Sheria hizo zinataka waendeshaji wote wawe...
  20. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yashika nafasi ya pili Afrika kwa ugumu wa wakopeshaji wa kidigitali kukusanya madeni yao

    Kenya imeshika nafasi ya pili barani Afrika kwa ugumu wa wakopeshaji wa kidijitali kukusanya madeni, ikitanguliwa na Nigeria na kufuatiwa na Uganda, kwa mujibu wa Acorn Research. Licha ya kuwa kinara wa mikopo ya simu, kiwango cha kushindwa kulipa kimeendelea kuwa juu kutokana na mfumuko wa bei...
Back
Top Bottom