kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Uganda: Wawili wapigwa risasi kwa kukiuka amri ya Rais ya kutotumia usafiri wa umma

    Mmoja wa waliopigwa risasi, Alex Olyem. Picha na Jessica Sabano/Daily Monitor Watu wawili wamelazwa hospitalini baada ya kupigwa risasi na maafisa wa polisi waliopelekwa kusimamia amri ya Rais Museveni ya kuzuiwa kwa usafiri wa umma kwa nia ya kukinga kuenea kwa ugonjwa wa COVID-19. Alex Olyem...
  2. Wagonjwa COVID-19 nchini Kenya wafikia 31, serikali yawafuatilia kwa karibu wengine 906

    Idadi ya kesi za coronavirus nchini Kenya imeongezeka hadi kufikia watu 31 baada ya wagonjwa wengine watatu kupimwa na kukutwa wakiwa na COVID-19. Katika mkutano na waandishi wa habari leo, Katibu Mkuu wa Utawala, Wizara ya Afya, Dk. Mercy Mwangangi amesema wagonjwa hao wapya wote ni wanawake...
  3. Germany loses six million coronavirus face masks in Kenya ... Jamaneni!!!

    MARCH 24, 2020 / 3:18 PM / UPDATED AN HOUR AGO BERLIN (Reuters) - German customs officials are attempting to track down about 6 million face masks ordered to protect health workers from the coronavirus which went missing at an airport in Kenya. “The authorities are trying to find out what...
  4. CoronaVirus: Shirika la Ndege la Kenya Airways limesimamisha safari zote za Kimataifa

    Shirika hilo limefikia uamuzi huo ili kuendana na Serikali katika kuzuia safari zote za Kimataifa Kenya katika kupambana na kuenea kwa #covid_19 Wasafiri wameshauriwa kubadili tiketi zao hadi baadae au kubadili na kupewa vocha ya kusafiri ndani ya miezi 12 ambapo safari za Mombasa na Kisumu...
  5. J

    Kenya: Naibu Gavana apata maambukizi ya Corona na kufanya wagonjwa kufikia 15

    Watanzania tuwe makini majirani zetu maambukizi yameshagonga hodi kwa viongozi ambapo naibu Gavana mmoja amepata maambukizi. Hadi sasa kuna jumla ya wagonjwa 15 nchini humo. ======= Kilifi deputy governor in quarantine after Germany trip Tension is brewing in Kilifi over a...
  6. J

    Corona: Wakati Tanzania imetangazwa mabasi yapakie level seat huko Kenya matatu zaagizwa kupakia 60% ya uwezo wake

    Jana serikali ilitangaza hatua za kudhibiti Corona katika vyombo vya usafiri na kuwataka wenye mabasi wote kupakia "level seat" Leo Waziri wa Afya wa Kenya ametangaza mabasi ya daladala (matatu) kupakia abiria 60% ya uwezo wake akisema yale ya abiria 25 yapakie 15, yale ya abiria 20 yapakie 12...
  7. Coronavirus: Kenya kutengeneza Sanitizer na kuzigawa bure kwa Umma

    Katika barua iliyotolewa na Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Umma, kwenda kwa Wanachama wa MAT (Multi Agency Team) imesema Serikali hiyo inatani kutengeneza sanitizer zitakazoweza kununuliwa na Watu wote Kitengo hicho kimesema Kampuni katika sekta ya Mafuta yamejitolea kutengeneza sanitizer zenye...
  8. Kenya: Wabunge wamtoa mwenzao bungeni kwa kuwa ametokea London hivi karibuni

    Wabunge wa bunge la Kenya wamemtaka mbunge wa Eldas, Adan Keynan aondoke bungeni kwa madai kuwa alikuwa ametoka London Mbunge wa Endebes, Robert Pukose alimuomba Spika wa bunge, Justin Muturi kumuamuru mbunge huyo atoke ili kulinda afya za wabunge wengine Spika akawaamuru wabunge ambao...
  9. Ndege ya shirika la ndege la Kenya Airways (KQ) yatua kwa dharura uwanja wa ndege wa Arusha

    Pana tetesi kwamba ndege ya shirika la ndege ya kenya ikiwa inatokea Lusaka Zambia, imeshindwa kutua uwanja wa ndege Jomokenyatta na hatimae kutua kwa dharura Arusha airport. Wenye kufahamu zaidi hili sakata watujueze isijekuwa kuna namna. Kama ni dharura kwa nini asingetua Mombosa au KIA...
  10. Coronavirus: Wauguzi wa wagonjwa wa corona Kenya waanza mgomo baridi

    Wauguzi wanaofanya kazi katika wodi iliyotengwa kwa watu walioambukizwa virusi vya corona nchini Kenya wameanza mgomo baridi kulalamikia kile wanachodai kuwa ukosefu wa vifaa vya kujikinga na mafunzo ya kutosha. Hospitali ya Mbagathi katika mji mkuu wa Nairobi, ni moja ya hospitali zilizo na...
  11. Kenya na Mlipuko wa Covid-19: Nini faida na hasara za kujifunza kwa maamuzi ya haraka waliyochokua?

    Hali ya maambukizi ya Covid19 duniani hadi kufikia 16/03/2020 Kenya wamethibitisha uwepo wa watu 3 wenye Covid19 na tayari leo Rais Kenyatta katangaza kufungwa kwa shule na taasisi zote za elimu nchini kuanzia kesho. Pia amefunga mipaka yake kwa raia wa nchi yoyote ambayo imeshatangaza kuwa na...
  12. J

    Kenya confirms first case of Corona Virus

    Hii ni habari mpasuko inayotangazwa muda huu na Waziri wa afya wa Kenya. Kwa kuanzia anapiga marufuku mikusanyiko yote. Shule hazitafungwa kwa sasa Mipaka yote kudhibitiwa. ------ The Kenyan Government has confirmed the first case of coronavirus in the country. Health CS Mutahi Kagwe...
  13. Meru Kenya kunawaka moto saa hii

  14. Kenya:Kshs 10 billion Konza University,Kenya Advanced Institute of Science and Technology (Kaist Kenya) To be ready in 24 months

    South Korea has provided a Sh9.6 billion loan for construction of a postgraduate studies university at Konza Technopolis. The Kenya Advanced Institute of Science and Technology (Kaist Kenya) to sit on 22 acres is modelled on the Korean Advanced Institute of Science and Technology whose emphasis...
  15. Twiga weupe wa kipekee wauawa na majangili nchini Kenya

    Watunzaji wanyamapori nchini Kenya wameeleza kuwa Twiga wawili weupe jike na ndama wake wameuawa na Majangili siku ya Jumanne maeneo ya Gerrisa yaliyopo Mashariki mwa Kenya. Inaelezwa kuwa kutokana na twiga hao wa kipekee kuuawa imepelekea kubakia kwa twiga mweupe mmoja tu aliye hai duniani...
  16. Garden City housing project in Kenya approved.

    Nairobi County Government in Kenya has approved the US $65m Garden City housing project eight months after it was mooted. Mi Vida chief executive Chris Coulson confirmed the report and said construction of the first 208 units starts immediately. “We finally got our approval from the county...
  17. Tanzania leads Kenya in the list of dollar millionaires

    MWEEEH! Kama uongo vile. Mbona siiamini hii ripoti. Ngoja niwashushie data ntarudi baadae. ====== Inakadiriwa kuwa Mamilionea 499 kwa kiwango cha dola wamepungua nchini Kenya kutoka mwaka jana. Kwa mujibu wa ripoti ya mwaka 2020 shirika linalofuatilia kiwango cha utajiri binafsi wa watu...
  18. Rais Kenyatta atoa onyo kwa Somalia, ataka nchi hiyo kuacha kuichokoza Kenya

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ameionya serikali ya Somalia kuacha uchokozi wa mara kwa mara dhidi ya Kenya. Onyo lake linajiri siku moja baada ya wakazi wa Mandera kulazimishwa kutoroka makazi yao baada ya ghasia zilizozuka kati ya wanajeshi wa Somalia dhidi ya wanajeshi wa eneo la Jubaland...
  19. Waziri mwanamama wa Kenya ashutumiwa kwa kupenda kuangalia video za ngono ofisini

    Wakenya mko wapi mtuambie ni nani huyu!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…