Waziri wa Afya ametangaza visa vipya 147 vilivyothibitika baada ya sampuli 2,831 kupimwa ndani ya saa 24 zilizopita.
Maambukizi mapya yamerekodiwa kutoka kaunti 11 ambapo Nairobi ina visa (90), Mombasa (41), Kiambu (3), Nyeri (2) na Uasin Gishu (2). Vingine vimetokea Kajiado, Kilifi, Embu, Homa...