kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Familia yalazimika kutumia trekta kusafirisha maiti sababu ya barabara mbovu

    Familia ya Kirui ililazimika kutumia trekta kuusafirisha mwili wa mpendwa wao kutoka hifadhi ya maiti kutokana na hali mbovu ya barabara iliyosababishwa na mvua kubwa. Mwili huo ulikuwa unasafirishwa hadi kijiji cha Kapsita kwa ajili ya mazishi jinsi Citizen TV ilivyoripoti Ijumaa, Septemba 11...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania wakamatwa na vilipuzi wakiviingiza Kenya kimagendo

    Haijajulikana nia yao ilikua nini ila ndio hivyo majirani inatubidi tuwe makini sana dhidi yenu watu. ======= The Anti-Terror Police Unit (ATPU) is holding three people among them Tanzania nationals who were nabbed with 1,000 pieces of explosive detonators in Taita Taveta. The suspects were...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ethiopia sasa ni nchi ya pili Afrika kwa ku-export maua. Kenya bado ni ya kwanza

    Watanzania fulani humu hupenda kusema kuwa Tanzania inaexport maua kwa wingi kushinda Kenya. Ukweli usiopingika ni kuwa Kenya ni ya kwanza Afrika kwa wingi wa kuexport maua. Kumbe hata nchi kame kama Ethiopia pia inaexport maua kwa wingi kushinda walazy wa kusini? Wabongo tusiwahi bishana tena...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wachina wachangamkia parachichi kutoka Kenya, walivyo wengi lile ni soko litakalotutoa kimasomaso

    Mapingamizi yote yameondolewa na tayari kontena zimeanza kutua Uchina, ni mwendo wa kukusanya hela, wakulima wetu mpoooo!!! Kenya has started export of frozen avocado to China, yielding to pressure on conditions that Beijing had issued before they allow in imports of the fruit from the country...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna biashara zimedoda kwa sababu ya ugomvi wetu na nchi jirani, hasa Kenya

    Ukweli ni kwamba, ujio wa Wakenya kujumua vitunguu ulifaidisha wakulima. Kitunguu ilipanda mpaka laki tatu. Wakulima wanejenga nyumba na kununua magari. Sasa huyu jamaa yetu ugomvi wake na Wakenya umeleta balaa badala ya heri. Jamaa hawaji tena huku. Bei ya kitunguu ineshuka sana. Bei ya...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huku Watanzania wakichekelea changamoto za SGR ya Kenya, TAZARA waliyopewa kama msaada miaka zaidi ya 40 haijawapa faida yoyote

    Imekua desturi kwa baadhi ya Watanzania kusubiria kama fisi kila tangazo hasi la SGR ya Kenya, huwapa muhemko fulani hivi wa kuja kupost humu kwa raha, huku wakisahau TAZARA waliyojengewa na Mchina kama msaada imetimiza miaka zaidi ya 40 bila kuwapa faida yoyote. -------------------------...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Extreme sports you didn't know existed in Kenya

    A photo of a person Fly-boarding FILE Mombasa is best known for its white sandy beaches,warm weather and amazing facilities to enjoy vacations. However, unknown to many there are other fun activities that can be enjoyed apart from swimming or normal boat rides. In this article, Kenyans.co.ke...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yazidi kunufaika pakubwa na zao la parachichi kwenda Ulaya

    Tuendelee kutia bidii bandugu.... Horticulture earnings in the first eight months of the year rose to Sh101 billion from Sh97 billion in similar period last year, as more countries opened up their economies on easing of Covid-19 restrictions. The earnings were boosted by higher demand of...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Meat Commision Transfered from Agriculture Ministry to Ministry of Defence (KDF)

    Wakuu, Hawa wajinga wa kenya sasa wamepitiliza ujuha wao. Hivi kdf watafanyia nini mifugo? Wameshidwa kuchija alshabaab sasa wapige ngombe na mbuzi risasi ama nini? ======= Uhuru transfers Kenya Meat Commission to Ministry of Defence Agriculture Cabinet Secretary Peter Munya has directed...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania yaanza kuiga Kenya kisiasa - mwamko mpya Tanzania

    Watanzania waandamana
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge mmoja wa Kenya amekamatwa kufuatia matamshi aliyotoa dhidi ya Rais Uhuru Kenyatta wikendi iliyopita

    Mbunge mmoja wa Kenya amekamatwa kufuatia matamshi aliyotoa dhidi ya Rais Uhuru Kenyatta wikendi iliyopita, kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini humo. Johanna Ng’eno anatuhumiwa kwa kutumia maneno ya matusi kumdhalilisha rais, kulingana na taarifa ya gazeti la Daily Nation inayonukuu ripoti...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Prague Half Marathon 2020 Kenya takes position 1 - 16 Men's race, position 1 - 8 in womens race

    From the official website
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Filamu ya Kenya 'Poacher' kuoneshwa kupitia Netflix

    Pamoja na Netflix kuwa kampuni ya uzalishaji; jukwaa lenye utazamaji mkubwa ambao huvutia zaidi ya wanachama milioni 183 wa kimataifa, imekuwa ndoto ya kila mtengenezaji / waigizaji wa filamu kuwa na maudhui yao kurushwa juu yake. Sekta ya filamu nchini Kenya inaashiria hatua nyingine kufuatia...
  14. R

    JamiiForums Tanzania China kujenga kambi za kijeshi ndani ya Tanzania na Kenya

    China 'kujenga' kambi za kijeshi Tanzania na Kenya Jeshi la China Getty ImagesCopyright: Getty Images China inafikiria kujenga kambi za kijeshi katika nchi nne za Afrika, kwa mujibu wa ripoti ya idara ya ulinzi ya Marekani. Tanzania, Kenya, Ushelisheli na Angola zimetajwa kuwa miongoni mwa...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akili kubwa - maudhui ya filamu "wavamizi" ya Kenya yakubalika kimataifa

    Hivi hivi tunakwenda, tunawakilisha. ======= Former Tahidi High actress Shirleen Wangari alias Shish Kenyan movie concept Wavamizi received international recognition after being listed in the 2020 Durban Film Mart (DFM) for funding. Wavamizi translates to Invaders in English and tells the...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inside Kenya's Tiff With Somalia and Tanzania

    Kenya’s persistent trade tiffs with neighbours may be a result of dynamics beyond the region, which could require political solutions. Two of Kenya’s neighbours, Somalia and Tanzania, have recently stalled business ventures for Kenyans over alleged bad policy by Nairobi. Tanzania cancelled...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtakubali tu - Kenya only African country on Forbes list

    President Uhuru Kenyatta during a virtual meeting of the African Union (AU) Bureau on July 21, 2020 FACEBOOK Kenya is among nine countries worldwide that was endorsed in a list of places to travel to in an article on the American business magazine, Forbes. In an article on the magazine's...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania As tourism counts losses, pressure keeps mounting on Uhuru to lift the ban on Tanzanians entering Kenya

    East African Tourism Stuck in Turbulent Skies Airspace tension between Kenya and Tanzania continues Tourism investors in the region are challenged by the ongoing airspace tension between Kenya and Tanzania, now damaging the East African tourism and travel sector in the region. Tension over...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania safari za Kenya zimewashinda licha ya kuachiwa uwanja wote

    Ndege za Tanzania zimeshindwa safari za Kenya/Tanzania baada ya kukosa abiria wa kutosha, uwanja wameachiwa wote maana hamna ndege za KQ zinazoruka hiyo ruti, dunia hii ukiendeshwa na chuki utaishia kuteseka mwenyewe badala ya wahanga wa chuki zako. ===== The Tanzania-based Air Precision has...
  20. JamiiForums Tanzania Mike Oliver, Mzungu mtalii aliyetembea na wanawake 300 nchini Kenya

    Mike Oliver mzungu toka UK, ni mtalii aliyetembelea nchini Kenya tangu mwaka mmoja uliopita. Mpaka jana 24 August 2020 baharia amethibitisha kutembea na wanawake 300 huko Kenya. Ametoa uthibitisho huo kwa kutoa na kuchapisha picha za hao wanawake wakiwemo wake za watu, wachumba, watu wazima...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…