kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. G Sam

    Ndege za Tanzania zapigwa marufuku kutua viwanja vya Kenya kutokana na janga la Corona

    Ama kwa hakika mambo si shwari. Naona ndege za Tanzania nazo zimeanza kupata hitilafu kama ile ya Kenya --- Akizungumza jijini Nairobi wakati akitoa taarifa kuhusu mwendendo wa maambukizi ya janga la Covid-19 nchini Kenya, Waziri wa Usafirishaji James Macharia amesema kuwa anga la Kenya...
  2. Mkikuyu- Akili timamu

    Kenya imefungua anga kwa mataifa 11

    Hivi sijui kama hawa watu wanajua Tz kuna ndege mpya 8. === The Government has announced that international flights will resume starting August 1 with China and Zimbabwe among countries allowed air travel to Kenya. According to Transport CS James Macharia, agreed protocol dictates that...
  3. Magonjwa Mtambuka

    Wafanyakazi 650 wafyekwa Kenya Airways (KQ)

    Hatari sana.
  4. MK254

    Wajumbe wa viongozi Wakenya waliokwenda kuhudhuria msiba wa Mkapa, wageuza kutokana na hali ya hewa mbaya

    Haijafahamika kama walitimuliwa au ndege ilikatazwa ruhusa ya kutua au kitu gani, ila wajumbe hao ambapo humo kuna viongozi, walifika Tanzania na ndege kugeuza nao, bado inasubiriwa ieleweke nini haswa mbivu na ipi mbichi. Waziri wa Tanzania bwana Kabudi amesema hali ya hewa ndio ilikua mbovu...
  5. MK254

    Sababu za Kenya kupigania sana suala la Afrika kufunguliana

    Imebainika Kenya itakua ya tatu Afrika kunufaika kutokana na kufunguliana kwa Afrika, huu ndio umuhimu wa kuwa na watu wenye hulka ya kujituma na ujasiri wa kutoka. Afrika inabadilika, Afrika mpya isiyo ya taswira ya kuomba omba, ila Afrika ya biashara na viwanda, japo kuna baadhi wamenunia...
  6. K

    Beauty from Kenya who committed suicide due to pressure from family to be cremated

    A beautiful lady from Kenya committed suicide in Austria early this month. She lived in Vienna and was suffering from depression. She had informed her close friends that she planned to end her life. The 35-year-old lady was identified as Lucy Atieno Harter. She threw herself in front of an...
  7. MK254

    Jinsi makampuni ya Kenya yanavyozidi kuliteka soko la EAC lenye idadi ya watu milioni 150

    Soko la EAC linazid kufungua milango, makampuni ya Kenya kwa ujasiri yanazidi kutanua na yapo kwenye kila taifa mwanachama wa huu muungano, safi sana kwa kweli. Takwimu za hivi majuzi zimeonyesha jinsi mauzo yetu kwenda kwenye haya mataifa yameongezeka pakubwa, huu ndio muda wa kila mmoja wetu...
  8. Sinister

    The construction of the tallest building in the Mt. Kenya region has commenced

    The construction of the tallest building in the Mt. Kenya region has commenced. The Mixed-Use Urban Development project dubbed “The Praise Mall” covers a total area of 0.4 hectares of land along Meru-Embu-Nairobi Highway in Meru town, Meru County. The over US$ 42M project is developed by Jesus...
  9. Influenza

    President Uhuru Kenyatta has declared three days of national mourning with flags set to fly at half-mast in honour of late President Mkapa

    President Uhuru Kenyatta has declared three days of national mourning with flags set to fly at half-mast during the period following the death of former Tanzania President Benjamin Mkapa. “In the testimony of the high esteem in which the People of Kenya hold Mkapa (pictured), the Republic of...
  10. Influenza

    Kifo cha Mkapa: Rais Kenyatta aotoa salamu za pole. Raila Odinga amlilia, asema Kenya itamkumbuka kwa juhudi zake za kuiletea nchi hiyo amani

    Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ametuma ujumbe wa salamu za pole kwa Rais wa Tanzania, John Magufuli; Watanzania wote pamoja na familia kufuatia kifo cha Rais Mstaafu Benjamin Mkapa Katika ujumbe wake, Rais Kenyatta amemuomboleza kiongozi huyo kama mtu bora wa Afrika Mashariki aliyefanya kazi kwa...
  11. Naton Jr

    Hali ya Corona Kenya ni mbaya mbaya mbaya mbaya

    Sijui hawa watu wamepatwa na nini? Wameweka lockdown Wameweka curfew Wameua waliokiuka Wamefunga mipaka Wamefunga anga Wamefunga shule Wamechukua mikopo Wafanya Pima Pima Pima Wamefunga miji Wana quarantines Wanavaa masks Walisema Tanzania tutakufa kama kumbikumbi Lakini bado kirusi...
  12. IAfrika

    History not taught in schools: The fall of the EAC in 1977 and why Kenya & Tanzania have unending beef

    "The East African Community is as dead as a dodo", Kenya's Minister for Power and Communications, Isaac Omolo Okero, informed Parliament. This was in June of 1977. At the time, relations between Community member-states, viz. Tanzania, Uganda and Kenya were - thanks to mistrust and bitter...
  13. The Sheriff

    7-month-old baby among 603 new coronavirus cases in Kenya

    603 Kenyans tested positive for the novel coronavirus between Saturday and Sunday, the Ministry of Health said in a statement on Sunday. Kenya now has 13,353 cases of the coronavirus. The new cases are from 5,724 samples and...
  14. GENTAMYCINE

    Polepole, kupanda ndege siyo anasa na wala kusafiri kwa barabara siyo kigezo cha kuwapenda masikini

    " Rais Magufuli hajawahi kwenda Ulaya wala Marekani hiyo shobo hana, wengine wanapenda kupanda ndege yeye anapita kwenye barabara hizi hizi ndiyo maana watu masikini ni mtu wao kwa sababu anafahamu changamoto zao " Humphrey Polepole EastAfricaRadio Mimi ni mwana CCM Mwenzako na wala sifichi /...
  15. Nyendo

    Kenya hits a record high of 688 new COVID-19 cases

    Kenya on Saturday recorded 688 new cases of Covid-19, raising the country's total confirmed cases to 12, 750, Health CS Mutahi Kagwe has confirmed This is out of 4, 522 samples that were tested in the last 24 hours as the cumulative samples tested so far rose to 238,163. 425 of the cases are...
  16. JOTO LA MOTO

    TANZIA Msanii maarufu wa vichekesho Kenya Jina Papa Shirandula aaga Dunia, corona yahusishwa

    Msanii maarufu wa Kenya kwa jina Papa Shirandula amefariki dunia jumamosi asubuhi leo baada ya kupatwa na matatizo ya upumuaji. TV actor and comedian Charles Bukeko popularly knows as "Papa Shirandula" has died in Nairobi. His brother-in-law Rowland Wanyama, told the Star that the actor...
  17. Swahili_Patriot

    Sababu ya Watanzania kuidharau Kenya

    Mimi ni Mtanzania asilimia mia ila kutokana na mitihani ya maisha, nikipata fursa (bhati) ya kusomea Kenya kutoka primary at Kisii-gesima _Mosobeti way, Dorcas Academy, Secondary at Nyari Sstate, Karura SDA, uni mku theka. Ninaijua Kenya vzuri kwa miaka na mijukuu. Sikatai Kenya ipo mbali sana...
  18. Cannabis

    Kenya: KEMSA yashutumiwa kufanya ununuzi wa vifaa kinga dhidi ya Corona kwa mara mbili ya bei halisi

    Kenya Medical Supply (KEMSA) ambayo inahusika na ununuzi wa dawa na vifaa tiba kwa vituo vyote vya Afya vilivyopo Kenya imeingia katika kashfa nyingine kutokana na ununuzi wa vifaa vya dharura dhidi ya ugonjwa wa COVID-19. Taarifa zinasema vifaa hivyo vilinunuliwa kwa gharama ya juu sana...
  19. Cannabis

    Pigo kwa Kenya katika vita dhidi ya Corona baada serikali kufunga vituo 20 vya kupima corona

    Vita dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona imepata pigo kubwa nchini Kenya baada ya serikali kufunga kimya kimya vituo 20 vilivyokuwa vikihusika na ukusanyaji wa sampuli kwa ajili ya vipimo vya maambukizi ya virusi vya corona. Serikali imeamua kuhamisha nguvu zaidi katika kutibu na kuhudumia...
Back
Top Bottom