kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Replica

    COVID-19 yaendelea kuleta kizaazaa: Tanzania yazuia kampuni tatu nyingine za ndege kutoka Kenya kutua nchini

    Mgogoro wa majirani unazidi kupamba moto, Covid19 inaendelea kudhihirisha nyufa nyingi zilizokuwepo kwenye ukuta wetu. Leo mamlaka ya anga imeshusha rungu jingine Kenya kwa kuzuia kampuni tatu zaidi baada ya Kenya Airways ya awali. ======== Kampuni tatu zaidi za ndege kutoka Kenya zimezuiwa...
  2. luangalila

    Wabunge wa Kenya EAC wamedai posho ya siku ilhali wanafanyia kazi kwao

    Wabunge wa bunge la EAC toka kenya wameonyesha ulafi wao wa fedhaa ktk bunge la EAC wakidai walipwe daily subsistance allowance ili hali wana fanyia kazi nchini kwao ..AIBU gani hii kwa wabunge walafi
  3. MK254

    Kenya ndio taifa la kwanza Duniani kutajwa kama salama kwa watalii kipindi hiki cha Corona

    Hii imetokana na jitihada za Kenya kutojichokea kwenye vita dhidi ya corona na imekua ikifuata miongozo na kanuni zote za kupambana na janga hili ambalo limeikumba dunia. Imetoa ushirikiano wote wa Kisayansi, Kijamii na hata Kiuchumi. ====== Kenya Becomes First Country Awarded Safer Tourism...
  4. MK254

    Simba to assemble Sh1m Malaysian car in Kenya from November, 2020

    Simba Corporation is set to assemble Malaysian car brand Proton in Kenya starting November, aiming to attract price-sensitive middle-class buyers with prices as low as Sh1 million inclusive of taxes. This will expand the list of passenger cars assembled in the local market, joining Volkswagen...
  5. eliakeem

    Kenya Police Fire Tear Gas at COVID-19 Corruption Protesters: Still Sufferings Go On Under New Constitution

    Kenya Police Fire Tear Gas at COVID-19 Corruption Protesters Demonstrators run from teargas fired by police at a protest against alleged corruption, including the theft of supplies for the fight against the coronavirus, at Uhuru...
  6. M

    Vibaka kwenye ndege hasa Ethiopian na Kenya Airways

    Inakuwaje wanaJF! Yani kuna watu wanawaibia abiria Wenzao hadi kwenye ndege? Matukio ya wizi kwenye ndege ikiwa angani yanaripotiwa sana hasa Ethiopian airlines na Kenya Airways zinazoenda Dubai ama gulf states na China. Vibaka wengi wamebambwa na flight attendants wakiwa search abiria...
  7. Wacha1

    Moody's downgrades Tanzania's rating to B2; outlook stable

    Moody's downgrades Tanzania's rating to B2; outlook stable London, 21 August 2020 -- Moody's Investors Service ("Moody's") has today downgraded the foreign and local currency issuer ratings of the Government of Tanzania to B2 from B1 and changed the outlook to stable from negative. The...
  8. K

    Kenya Rugby League unveils its logo

    The Kenya Rugby League Federation finally has a new logo. This is a culmination of a five weeks long logo search competition that attracted a total of 456 entries from both local and foreign-based graphic designers. The competition kicked off on 14th July running till the 30th of July 2020, is...
  9. MK254

    Kenya tests cobblestones for feeder roads

    A road-paving technology the Kenya Roads Board is testing in Machakos County is giving the government hope of deepening its use on cost. In the county, the board is spending Sh25 million on paving a kilometre of Mavoko-Mua road using cobblestones that have been accepted in other countries for...
  10. Tony254

    We ulisikia wapi? NTV ya Kenya imemuangazia Mbunge Seleman Bungara

    Huyu Mbunge ana sarakasi kweli kweli. Hii video ya NTV ya Kenya inaonyesha video ya vituko vyake.
  11. Analogia Malenga

    Raia wa nchi 130 wataingia Kenya bila kuwekwa karantini, Tanzania haimo

    Kenya imetoa nchi 130 ambazo raia wake wataruhusiwa kuingia nchini humo bila masharti ya raia hao kukaa karantini. Katika orodha ya nchi hizo Tanzania haimo. Hii ikiwa na maana kwamba raia wa Tanzania atakayeingia Kenya atalazimika kukaa karantini. Baadhi ya raia wa nchi wanaoruhusiwa kuingia...
  12. Infantry Soldier

    Ninaomba Ufafanuzi wa Kitaalam: Kwanini "exchange rates" kwa fedha za Japan na Kenya zinataka kufanana ilhali chumi zao zinatofautiana kwa mbali?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya cold war, jeshi na ujasusi wa KGB, CIA na Mossad. Ngoja leo...
  13. Analogia Malenga

    Kenya: Jumla ya watu 487 wafariki kwa Coronavirus

    Kenya imetangaza watu 4 zaidi kufariki kutokana na CoronaVirus na kufanya idadi ya vifo kufikia 487 Aidha watu 271 wamethibitishwa kuwa na maambukizi ya CoronaVirus kutoka kwa sampuli 4,019 na kufanya nchi hiyo kuwa na jumla ya 30,636 waliothibitika kuwa na maambukizi Katika waliothibitika...
  14. Analogia Malenga

    Kenya: Mama amzika mtoto wa siku moja baada ya mumewe kumlaumu kuzaa nje

    Mwanamke mmoja nchini Kenya anatuhumiwa kumuua na kumzika mtoto wa siku moja baada kulaumiana na mume wake juu ya kupata mimba nje ya ndoa Mume wa mwanamke huyo amekuwa mbali na mkewe kwa majukumu ya kikazi kwa zaidi ya mwaka, na alishangazwa kusikia mkewe anatarajia kujifungua, alimpigia simu...
  15. Mkikuyu- Akili timamu

    Kenya: How Corona Billions were "eaten" by corrupt cartels

    Wakuu, Mara nyingi tu nimesema humu kwamba nchi ikitaka kupigana na corona, kwanza ipigane na ufisadi. Wengi wanashangaa kwanini Tanzania corona ni historia, kumbe wao hawafahamu kwamba ufisadi pia ni historia. Lakushangaza ni kwamba, Zile barokoa zilizo peanwa bure na "Jack Ma" kwa wakenya...
  16. pingli-nywee

    Riadha zarejea kwa kishindo; Wakenya Helen, Faith na Cheruiyot wang'aa na kupeperusha bendera ya Kenya kwenye 2020 Diamond League Monaco, Ufaransa

    Baada ya muda mrefu hatimaye calendar ya mashindano ya riadha duniani imeanza tena. 'First leg' ya 2020 Diamond League(DL) ilianza kule Monaco, Ufaransa ijumaa hii. Protokali zote mpya za COVID-19 zilizingatiwa, huku mashabiki 5,000 tu wakikubaliwa kwenye ukumbi wenye capacity ya watu 16,000...
  17. Kevin85ify

    Kenya SGR: Cargo earnings grow to kes 1.04 billion monthly in 2020

    Monthly earnings from the Mombasa-Nairobi-Naivasha SGR has increased to kes 1.04 billion monthly over the last two months since the president lifted curfew to 9 pm from 7 pm. June’s earnings amounted to nearly Sh1.04 billion after President Kenyatta eased curfew hours to 9 pm-4 am from previous...
  18. waterproof

    Hatma ya Raila Odinga kwenye siasa za Kenya

    Tangu kuwepo kwa ushirikiano kati ya Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na kiongozi wa upinzani Raila Odinga mnamo Machi 9, 2018, kumekuwepo na maswali chungu nzima kuhusu hatma ya kisiasa ya Bw. Raila Odinga katika uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2022 nchini Kenya. Wengi wamekuwa wakikisia na kujaribu...
  19. Cannabis

    Kenya: Taharuki baada ya raia wa kigeni wanaokabiliana na kesi ya utoaji rushwa kutinga mahakamani na PPE

    Utaratibu wa kesi katika Mahakama jijini Mombasa Alhamisi ulilazimika kuahirishwa baada ya raia watatu wa China kuingia mahakamani huku wamevalia Vifaa vya Kinga ya Kibinafsi (PPE). Hakimu alilazimika kuahirisha kusikilizwa kwa kesi hiyo baada ya kudhani watuhumiwa hao ni Maafisa wa Wizara ya...
  20. MK254

    Massive irrigation project nears completion in Isiolo, Kenya

    Burat is set to become the breadbasket of Isiolo County as the Sh381 million Game Galana irrigation project funded by the national government nears completion. The project, which is expected to benefit over 500 farmers, will be completed in the next two months, officials said. Speaking when he...
Back
Top Bottom