World Wealth Report 2021. Kenya has more dollar millionaires than all other East African countries combined.

Teargas

JF-Expert Member
Mar 28, 2021
2,251
2,000
Here's the link for the report,

Some screenshots from the report.

tapatalk_1619022093583.png

tapatalk_1619022102126.png

tapatalk_1619022099284.pngtapatalk_1619023730777.pngNairobi was also ranked the fifth wealthiest city after
Jo'bag
Cape Town
Cairo
Lagos
Durban
tapatalk_1619022161211.png

tapatalk_1619022166534.png

tapatalk_1619022156194.png

tapatalk_1619022161211.png

tapatalk_1619022166534.png
 
passioner255

JF-Expert Member
Apr 22, 2019
965
1,000
Here's the link for the report,

Some screenshots from the report.

View attachment 1759656

View attachment 1759657

View attachment 1759658

View attachment 1759660

Nairobi was also ranked the fifth wealthiest city after
Jo'bag
Cape Town
Cairo
Lagos
Durban
View attachment 1759667

View attachment 1759669

View attachment 1759659

View attachment 1759661

View attachment 1759664
Kwanini unakurupuka jomba? Kwanini unawaaibisha Kenya kwa kuonekana hawana akili
 
pamoja Santa

JF-Expert Member
Jan 6, 2019
648
1,000
Nonsense!!

Hao millionaire wa Kenya wanatokana na nini!

Unajua mambo mengine hata ukiangalia huitaji maelezo meeeengi, nenda hapo Arusha utakutana na millionaires wa kutosha na hapo ni Arusha tu hujaja mikoa mingine
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
58,296
2,000
Mimi siwezi kutamba kwa data za nchi yangu, labda zangu mwenyewe.

Yani nije hapa nitambe kwamba Marekani tuna Jeff Bezos na Elon Musk itakuwa balaa.

Halafu naona kama natamba kwa kitu ambacho si kazi yangu.

Yani hata ku claim Tanzania kusema Tanzania ina bilionea mmoja na Kenya haina naona ufala.

Kwa sababu huyo bilionea mmoja si ndugu yangu na wala hanikatii panga kwenye bilioni yake.

As a matter of fact nilikuwa naonge ana mfanyakazi wake mmoja inaonekana ana wa exploit sana wafanyakazi wake licha ya kuwa bilionea.
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
89,993
2,000
As a matter of fact nilikuwa naonge ana mfanyakazi wake mmoja inaonekana ana wa exploit sana wafanyakazi wake licha ya kuwa bilionea.
Hizo sentiments za kuwa exploited hata wafanyakazi wa Amazon ya Jeff Bezos, tajiri namba moja wa dunia, wanazo.

Majuzi hapa kulikuwa na habari kwamba baadhi madereva wa Amazon huwa wanalazimika kukojolea kwenye chupa kwa sababu hawapati hata muda kidogo wa kwenda kujisaidia! Cheki hapo anachosema Enrique Sanchez.

"They keep track of your movements — how many times you stop, how fast you drive," Enrique Sanchez, who worked as a driver for eight months in 2020, said. "Using the restroom in the van is the only option sometimes."

"It's a very aggressive company that has generated so much revenue, profits over the last years, decades — but it's all been at the expense of workers being mistreated," Sanchez added.

Naamini hata makampuni mengine makubwa wafanyakazi wana sentiments kama hizo.

Jambo linalonifanya nijiulize kama inawezekana kwa kampuni kuweza kuwa na mafanikio kama ya Amazon bila ya wafanyakazi wake kujisikia wanakuwa exploited.

Maybe same goes for Mo....
 
Kuna kuwa exploited halafu kuna ile to the bone, ya Mo ni zaidi nafikiri kwa jinsi nilivyokuwa naongea na yule mfanyakazi wake.

Nilikuwa namtania kwamba anafanya kazi kampuni ya bilionea, wee, wacha anijie juu na kunipa matatizo ya ndani kabisa, yani ni ujinga wanasema wa kiwango cha lami.

Cha kusikitisha ni kwamba Mo ame sign "the giving pledge", unaweza kuona picha yake hapa, sasa sijui na yeye hela zake atampa Warren Buffet amsaidie kuzigawanya wakati wafanya kazi wake wa Morogoro wanatusumbua kwa kuwa na njaa na kuwa ombaomba?

Bora hata Bezos haja sign hiyo pledge anaweza kusema yeye falsafa yake ni ubaya ubaya tu kila mtu ahangaike kivyake na hiyo minimum wage ya $15/hour Amazon kuna watu kibao itawafaa wanakimbia kutoka Walmart kwenda Amazon.

Kuna siku nilikuwa Walmart nanunua some kinda gadget, I usually don't like Walmart lakini kulikuwa na vi hard drive wana bei nzuri sana nikaenda kununua. Basi katika chitchat na yule attendant akawa kinda chatty, ikawa kama kuna delay. Mimi sikusema kitu lakini akaona kama nimekuwa annoyed ila sijalalamika, akaanza mwenyewe kujiwahi anasema watu wanaacha kazi sana Walmart wanaenda Amazon kufuata $15 an hour. Akasema hata yeye anafikiria kuacha.Halafu mtu mwenyewe mkubwa tu, si kwamba useme ni high schooler kazi yake ya kwanza.

Nikasema daamn, I need to be more socially aware.Huyu mtu anataka kukimbilia $15 an hour. Ina mana hapo analipwa significantly less than that mpaka kumfanya afikirie kuacha na kuifuata $15/hour.Nikajilaumu sana kwa kutokuwa socially aware kuchukulia hawa watu poa tu.

Basi pale pale nikasema saa nyingine huwa tuna catch attitude kucheleweshwa kidogo kwa kutojua kuwa hawa watu hata hawalipwi vizuri hivyo.

Nilivyosikia $15 an hour ina shepu hivyo kwa wale wafanyakazi hapo hapo hasira zangu za kucheleweshwa zote zikayeyuka ikabidi nianze kuwa napiga mahesabu huyu mtu ana familia, anaendesha gari, ana bills kibao, anaishije kwa hiyo $15 an hour?

Nikasema they probably work three jobs and claim unreal shit on tax returns and do all kinds of wizardry.

Inaonekana hawa ma bilionea wote kina Mo, Bezos, Walmart lao moja. Na ukimlaumu huyo Bezos anaweza kukwambia watu wanakimbia Walmart kuja kwangu!

Halafu utasikia mtu mjinga mjinga anakuja hapa anajisifia nchi yetu ina mamilionea wengi kuliko nchi yenu.

Bila kutuambia yeye binafsi ana milioni ngapi.

Ujinga mtupu.
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
89,993
2,000
Nilivyosikia $15 an hour ina shepu hivyo kwa wale wafanyakazi hapo hapo hasira zangu za kucheleweshwa zote zikayeyuka ikabidi nianze kuwa napiga mahesabu huyu mtu ana familia, anaendesha gari, ana bills kibao, anaishije kwa hiyo $15 an hour?

Nikasema they probably work three jobs and claim unreal shit on tax returns and do all kinds of wizardry.
On tax returns, I’m all for regular folks gaming the system. They might as well...

A bunch of these millionaires and billionaires, that’s all they do. They game the hell out of the system. Didn’t Donald Trump pay like $700.00 in taxes in one of the years?

The American tax code is so complex, multivocal, has so many loopholes, etc. to the point that most people don’t fully understand it, not even the so called experts. People might as well take advantage of it.
 
NairobiWalker

JF-Expert Member
Oct 31, 2012
6,698
2,000
Hehehe, ngoja waje. Utawasikia eti mimi siwezi tamba na utajiri sii wangu yet wameshinda humu wakitamba na utajiri sio wao tangu 2019 and to make it worse, wanatamba na billionaire Muhindi. 🤣🤣🤣
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
58,296
2,000
Hehehe, ngoja waje. Utawasikia eti mimi siwezi tamba na utajiri sii wangu yet wameshinda humu wakitamba na utajiri sio wao tangu 2019 and to make it worse, wanatamba na billionaire Muhindi.
Kutamba kwa utajiri is so middle class.

Kutamba kwa utajiri usio wako is just ghetto.

True aristocrats don't stoop that low.

Kiswahili tunaita "kulimbuka".

Yani utajiri huku wengine ni kitu wanachoonea aibu, si kitu cha kutambia.

Mpaka wanaamua kuweka pledge kugawa mali zao kabla hawajafa.

A high degree of ostentatious character is a sign of being nouveau riche, if not fronting.

As Jada said in "Kiss of Death".

"A lot of niggas is thousandnaires, walking round town, fronting like they got mills."

NairobiWalker

JF-Expert Member
Oct 31, 2012
6,698
2,000
Kutamba kwa utajiri is so middle class.

Kutamba kwa utajiri usio wakonis just ghetto.

Trur aristocrats don't stoop that low.

Kiswahili tunaita "kulimbuka".

Yani utajiri huku wengine ni kitu wanachoonea aibu, si kitu cha kutambia.

Mpaka wanaamua kuweka pledge kugawa mali zao kabla hawajafa.

A high degree of ostentatious character is a sign of being nouvequ riche, if not fronting.

As Jada said in "Kiss of Death".

"A lot of niggas is thousandnaires, walking round town, fronting like they got mills."

Hivi mlipokuwa mkitamba ma huyo muhindi Mo Dewji, utajiri wake ni wenu?🤣🤣🤣
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
58,296
2,000
Hivi mlipokuwa mkitamba ma huyo muhindi Mo Dewji, utajiri wake ni wenu?
Wewe una kasumba ya kulundika watu kwenye mafungu.

Hii ni alama ya watu wajinga.

Hawana attention to detail ya kumuangalia kila mtu kama mtu tofauti.

Wapi nimetamba na Mo?

Unaweza kuweka ushahidi hapa tujue kweli mimi nilitamba?

Usiniunganishe na mtu mwingine yeyote.

Kiranga is a singularity of unorthodoxy.
 
NairobiWalker

JF-Expert Member
Oct 31, 2012
6,698
2,000
Wewe una kasumba ya kulundika watu kwenye mafungu.

Hii ni alama ya watu wajinga.

Hawana attention to detail ya kumuangalia kila mtu kama mtu tofauti.

Wapi nimetamba na Mo?

Unaweza kuweka ushahidi hapa tujue kweli mimi nilitamba?

Usiniunganishe na mtu mwingine yeyote.

Kiranga is a singularity of unorthodoxy.
Sasa mbona umejibu post isiyokuhusu kama hutaki kulundikwa na wengineo? Mimi nimepost kulingana na vile wabongo walivyocomment kuhusu ripoti ya Tanzania kuwa na mamilionea na mabilionea wengi nawe kwa kiherehere chako ukaanza kujitetea. Kama huko kwa hilo kundi mbona ujitetee na Jina lako halijasemwa?
 
Hoshea

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
5,203
2,000
World wealth report? There's a report, that mentioned Tz has more dollar millionaires.
Tuiamini ipi?
 
Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
11,749
2,000
Kuna mmoja anaitwa joto la jiwe huyu jamaa ni one of them mwenye wiki haiwezi kupita bila kupost kwamba TZ ina millionares wengi kushinda Kenya. Sasa huyo mtu hutamuona huku. Amejificha chini ya kitanda.
 
KENPAULITE

JF-Expert Member
Apr 6, 2017
2,173
2,000
Nonsense!!

Hao millionaire wa Kenya wanatokana na nini!

Unajua mambo mengine hata ukiangalia huitaji maelezo meeeengi, nenda hapo Arusha utakutana na millionaires wa kutosha na hapo ni Arusha tu hujaja mikoa mingine
Usitumie hisia kuprove a point, use facts
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
58,296
2,000
Sasa mbona umejibu post isiyokuhusu kama hutaki kulundikwa na wengineo? Mimi nimepost kulingana na vile wabongo walivyocomment kuhusu ripoti ya Tanzania kuwa na mamilionea na mabilionea wengi nawe kwa kiherehere chako ukaanza kujitetea. Kama huko kwa hilo kundi mbona ujitetee na Jina lako halijasemwa?
Weka post niliyotamba kwa utajiri wa Mo hapa, wacha longolongo.

Mimi najibu post yoyote ya JF, huwezi kunipangia cha kujibu.Post zote za JF nina uhuru wa kujibu au kutojibu, this is a freaking public forum, get a brain.

Acha ujinga wa groupthink na kuangalia watu kama groups.

It is a sign of being socially primitive and mentally underdeveloped.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom