kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. USSR

    JamiiForums Tanzania Kuna kila namna muziki/wasanii wa Kenya wanatumia mbinu za kushusha wasanii wa bongo ili kukuza mziki wao ulio mbilikimo

    Ni kweli kuwa kwa miaka Mingi Tanzania ndio grant wa muziki kwa Afrika mashariki, muziki wetu na wasanii wetu umekuwa mkubwa na kushika soko la Afrika Mashariki kwa kasi,wasanii wa hapa nyumbani kwa sasa hulipwa pesa nyingi na kupata mialiko kwenye matamasha makubwa nchini Kenya na kuzua maneno...
  2. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Ligi Ya Tanzania ni Bora kuliko Kenya, kwenye mapato kuna vitu tunafichwa!

    Gor Mahia FC kwenye Derby waliocheza hii week na AFC Leopards wanasema wamekusanya jumla ya Tsh Bil 14. Mechi ilichezwa Nyayo Stadium, upo Nairobi una capacity ya watu 18,000 tu. Sasa nikiwaza kwa Mkapa na ile capacity ya 60,000 waliokaa bado waliosimama kwenye Derby si inamaana inaingia...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Wenye kusambaza cable TV wameambiwa kuondoa CCN,BBC,Al-Jazira na stesheni za kenya na ambazo zinaonekana kwa sasa ili D9 wafanye wanayotaka.

    Mimi sio mtumiaji wa TV ila mtujuze mnaotumia ving'amuzi kuna channel zitakuwa stopped ili kuficha D9. sasa wanaogopa nini.
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marekani yaipa Kenya $1.6 Bilioni ili kuimarisha huduma za afya nchini humo

    Marekani imetangaza kuwa itachangia zaidi ya dola bilioni 1.6 katika kuboresha mfumo wa afya wa Kenya kupitia makubaliano mapya ya utekelezaji wa miaka mitano yaliyosainiwa siku ya Alhamisi. Hii ni mara ya kwanza kwa makubaliano ya aina hii kufikiwa tangu utawala wa Trump uanzishe mageuzi yake...
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marekani yasaini mkataba wa msaada wa afya na Kenya

    Marekani imesaini mkataba wa msaada wa afya wa dola bilioni 2.5 na Kenya, ambao ni mkataba wa kwanza wa aina hiyo wa pande mbili baada ya Rais Donald Trump kulivunja shirika la misaada la Marekani - USAID. Chini ya makubaliano hayo, Marekani itaipa Kenya dola bilioni 1.6 katika kipindi cha...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kenya, South Africa, Zambia tusaidieni kwenye mabadiliko ya uongozi Tanzania

    Tunaomba nchi marafiki za kidemokrasia zitusaidie tupate haki Tanzania wakati huu mgumu nchi hizi kwa kuanzia ni Kenya, South Africa na Zambia.
  7. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Balozi Isaac Njenga: Tanzania na Kenya ni ndugu yanayotokea kwa jirani yanatuhusu

    Balozi wa Kenya Nchini Tanzania Isaac Njenga akizungumza katika Mahojiano na Salim Kikeke ameeleza kuwa uhusiano wa Kenya na Tanzania ni kama ndugu hivyo matukio yanayotokea kwa jirani yako lazima yatakuhusu na utataka kujiridhisha, amerejelea uchaguzi wa Kenya 2007 uliofatiwa na ghasia kuna...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kenya, EU, USA, SA, Zambia, Malawi watusaidie kwenye kubadilisha madaraka Tanzania

    Kenya, EU, USA, SA, Zambia, Malawi watusaidie kwenye kubadilisha madaraka Tanzania. Tanzania tunahitaji wana demokrasia kutusaidia kuungana na zaidi ya 70%-80% wanaotaka mabadiliko ya uongozi na katiba kwa njia zote zinazowezekana. Ikishindikana kwa Aamani hata kwa kijeshi maana hata jeshini...
  9. stakehigh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Finally Kenya pipeline imeuzwa na mnunuzi si mwingine bali ni Rais Museveni wa Uganda

    Kenya and Uganda will jointly own shares in the Kenya Pipeline Company once the privatisation process is completed, President William Ruto has announced. Speaking on Sunday during an investment tour in Uganda, Ruto announced that the government will publicly list KPC shares on the Nairobi...
  10. Ex Spy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Trump afuta Mkataba na Kenya wenye thamani ya KSh7.4 Bilioni uliosainiwa na Biden na Ruto

    Nov 24, 2025 Kenya imekuwa miongoni mwa walioathirika zaidi, huku thamani ya kandarasi za Marekani zilizofutwa hadi sasa ikizidi takribani Shilingi (za Kenya) bilioni 108. ======== Kenya has been among the hardest hit, with the value of cancelled American contracts now exceeding Sh108...
  11. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Raia wa Kenya: Nashangaa JWTZ na wasanii wa Tanzania raia wameuawa lakini mpo kimya, mmewaangusha wananchi

    Kwa umoja ambao wananchi wa Kenya wamekuwa wakionyesha kukemea mauaji na udikteta wa Samia unazidi kuleta matumaini kwetu watanzania Jeshi la wananchi Tanzania limewaangusha wananchi, raia wameuawa lakini wapo kimya wanaendeleza harakati za Samia, wameiapisha serikali haramu kuwa halali na...
  12. stakehigh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mombasa itajitenga na Kenya kwenye miaka ya mbeleni

    Katika hali iso ya kawaida kuna movement ilioanza toka mwaka 2011 ya mombasa kujitenga na kenya kua nchi inaojitegemea, baadhi ya watu hawafurahii kuwepo kwa nchi moja ambayo Mombasa ipo ndan yake kutokana na sababu nyingi sana lakini kuu ni siasa za nairobi kutoshabiana na uhalisia wa aina ya...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Larry Madowo ni Mkenya anayeitumia CNN Kuichafua Tanzania Kimataifa ili Kuinufaisha Kenya. Serikali ifanye uchunguzi na kumpa Onyo Kali

    Ndugu zangu Watanzania, Ningependa kuwaambieni ya kuwa yule mwaandishi wa CNN aliyetumika kutuchafua na kuunga unga habari zenye lengo la kuharibu sifa nzuri ya Taifa letu ni Mkenya. Ikumbukwe ya kuwa kenya ilikuwa inaonekana kama ndio Nchi yenye uchumi mkubwa hapa Afrika mashriki. Ambapo pia...
  14. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya watanzania wamekimbilia nchi ya Kenya kuomba hifadhi ya muda wakihofia utekaji na mauaji yanayoendelea

    Tetesi kuna baadhi ya watanzania wamekimbilia nchi ya kenya kuomba hifadhi ya muda wakihofia utekaji na mauwaji unaoendelea. Nimechukua hii huko kenya. Utekaji na mauwaji hayapingwi kwa amani hayaishi bila maandamano na shinikizo tukutane #D9
  15. Mel James

    JamiiForums Tanzania Serikali tunaomba mzuie karoti zinazotoka Kenya

    Serikali tunaomba mzuie Carrot zinazotoka Kenya. Carrot hizi zinamuumiza sana mkulima. Ni kama kumpambanisha mkulima wa Tz na Kenya kwenye soko tena la nyumbani. Wakulima wengi wa nyumbani sio wakubwa na sio wa kulima maeneo makubwa. Mtu anayelima robo acre na mtu anayelima acre hamsini...
  16. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wananchi wote hawakutaki, hauko sawa na Kagame, Unagombana na Kenya halafu unalazimisha ugomvi na Marekani. Aliyesema akili ni nywele hakukosea

    Umeua maelfu ya Wananchi wako. Wananchi wana hasira kiasi wakipata nafasi watakunyonga live dunia ishuhudie. Viongozi wa dini ya kikristo wamekukataa waziwazi. Waislam wenye akili na hofu ya Mungu kweli wamekukataa waziwazi. Uchaguzi uliofanya umesemwa na kila chombo na taasisi duniani kuwa...
  17. Poker

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wachunguzi wa ICC tayari wapo Kenya kwaajili uchunguzi

    Kwa taarifa za kunyapia nyapia tayari icc wametua nchini kenya tayari kwa kuanza uchunguzi wao. Taifa la denmark kupitia kwa mfalme wake imesema inasimama nyuma ya watanzania na wao ndio waliofungua mashitaka huko ICC. Pia mwanamfalme huyo anaunga mkono maandamano ya 9/12/2025 akisema tayari...
  18. President of China

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania's Blueprint: 11 Ports and the Grand Rail Network Reshape East African Trade - Tanzania vs Kenya Trade Battle

    Tanzania is advancing its ambitious vision to become East and Central Africa’s premier logistics and trade hub. At the heart of this strategy is the massive integration of 11 key ports—on the Indian Ocean, Lake Victoria, Lake Tanganyika, and Lake Nyasa—with a modern, unified railway system...
  19. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Ushauri: EAC ipitiwe upya - Kenya aondolewe uwanachama kwa vurugu au Tanzania ibaki na SADC tu iachane na EAC

    Mwaka 1977 jumuia ya Africa mashariki ilikufa lakini msababishi alikuwa ni huyuhyu anayeleta vurugu Leo, Sioni haya ya kuwa na regional integration ambayo Haina Tija ambayo inaendesha harakati za vurugu ndani ya jumuia. Ni vema juumu Kama Taifa tuangalie hili swala huku tukikumbukua kuwa...
Back
Top Bottom