kelele

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mbu huponzwa na kelele zake akiwa mawindoni, jitafakari yawezekana una tabia za mbu

    Ukiwa kwenye usingizi usio fofofo si rahisi kutomsikia mbu akinyemelea damu kwako na haraka utachukua maamuzi ya kumdhuru au kumkwepa na hivyo kusitisha LENGO LAKE. Ipo hivyo kwa binaadamu pia kuna ambao wana tabia za Mbu kupiga kelele nyingi kabla ya safari na mwishoni kuzuiwa. Unataka kurudi...
  2. JamiiForums Tanzania Waangalia mpira bar wana kelele sana

    Usiombe uende bar siku ambayo kuna mechi kama hii ya leo ukutane na jeshi la waangalia mpira,siku hiyo lazima urudi nyumbani masikio yanafanya nziiii jamaa wana kelele sana imagine wapo watu kama 50 na kila mmoja anaongea
  3. JamiiForums Tanzania Ni jambo gani mpenzi wako amekuwa akilipigia kelele lakini umeshindwa kuacha?

    Kila mmoja ana mambo kadhaa ndani ya mahusiano ambayo yanamkera mpenzi wake. Ila kuna lile limoja kabisa umeshindwa hata kupunguza. Share experience tujifunze kutoka kwako. Binafsi: Nimeshindwa kuacha kutazama statuses whatsapp + reels za IG za wadada wenye mishepu yao. Kila nikijaribu...
  4. JamiiForums Tanzania Mbogamboga uwanja ni wetu - hakuna tena kelele za No reform no election!

    Mwali tunae Oktoba na tunatamba nae. Hivyo kuanzia sasa hadi Oktoba Media zote, Wasanii, wananchi wote wapi upande wetu. Tupewe nini tena?
  5. JamiiForums Tanzania Kelele za Wagonjwa: Kwanini Bima ya Afya (NHIF) Inashindwa?

    Katika hali ya kusikitisha, leo tumeshuhudia matatizo makubwa yanayotokana na kukosekana kwa huduma za afya nchini. Bima ya Afya makao makuu inapaswa kutoa kinga kwa wagonjwa, lakini ukweli ni kwamba hali ni tofauti kabisa. Wagonjwa wanakabiliwa na changamoto kubwa: hakuna mtandao, huduma...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna mambo huwa kama ndio basi ikipita siku,mwezi,mwaka wanajua ni kelele za chura sababu wao ndio wenye nchi

    Nikikumbuka Tukio la RPC Liberatus Barlow wa Mwanza aliuwawa mwanza yani wahusika walipatikana muda si mchache.Ila ukiangalia matukio kama ben sanane,Tundu Lisu kupigwa risasi na wanaharakati au ambao wanapinga mambo ambayo utawala ufanya upotea kwa maelezo rahisi ambayo utolewa. Tofauti...
  7. JamiiForums Tanzania Wasanii wa nyimbo za Injili acheni kumpigia Mungu kelele

    Naongea na nyinyi mnaojiita wasanii wa nyimbo za Injili (Gospel Artists), vikundi vya kwaya na bendi. Nyinyi mnaotunga na kuimba nyimbo za Injili, nyimbo za sifa na kuabudu lakini maisha yenu ni ya mchanganyo! Maisha ya uvuguvugu. Nyinyi mnaopenda kumwimbia Mungu lakini dhambi hamtaki kuziacha...
  8. JamiiForums Tanzania Kelele zikiwa nyingi na kuwazomoea Bodi Kwa Maamuzi ya Kijinga, msije kushangaa Yanga anapewa Point 3 maana washaanza kuraruana tayar.

    Usilete matusi Yako hapa, Nimeamka nimepitia Mitandao yangu pendwa miwili X formerly known as Twitter na JF. Nilichokiona hata waliokua wanatetea swala la Simba mapema Ile wamegeuka nao saiv wanailaumu Bodi.
  9. JamiiForums Tanzania FT: Namungo FC 0-3 Simba SC | NBC PL | 19.02.2025

    Katika mwendelezo wa Ligi Kuu ya NBC, Mabingwa watetezi wa kombe la Muungano Simba SC watashuka dimbani kumenyana vikali kuzisaka alama tatu ugenini dhidi ya Namungo FC mjini Luangwa Lindi majira ya saa 12:30 Jioni Kila la kheri na mchezo mzuri kwa timu zote mbili. Updates za vikosi vya timu...
  10. JamiiForums Tanzania Kelele za Kishambenga,nderemo za kishakunaku,Viburi na dharau Uchwara zimepotea ghafla Mujini,Vilio vimeanza upya!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane TAHADHARI Kama unaelewa kabisa una presha,au unahanguka na kuzimia kama OKW BOBAN SUNZU ,Tafadhali sana nakusihi tarehe 8.3.2025 usiende uwanjani au usiende banda Umiza ! Siku hiyo ndiyo siku ambayo GSM anakwenda kuchukiwa kuliko siku zote tangu Dunia...
  11. JamiiForums Tanzania Austria: Atekeleza tukio la mauaji huku akipiga kelele za "Allahu Akbar", alikuwa akitabasamu alipokamatwa na polisi

    Mi nataka tu kujua ni Mungu yupi huyo wa kweli anaewatuma watu kwenda kuua watu wengine kinyama. Unaweza kudhania huyu mtu ana tatizo la akili ila ni mhanga wa ITIKADA ZA KITAPELI
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Butterfly Sports Bar iliyopo Tegeta Wazo imekuwa kero kwa wanachi kwa sababu ya kelele

    Wananchi wa Tegeta Wazo mtaa wa Butterfly sports bar wanateseka na kelele zinazotokana na bar hiyo kukesha wiki nzima kuanzia Jumatatu mpaka Jumapili MMida ya usiku wanafungulia sauti kubwa sana kiasi kwamba wananchi wa maeneo ya karibu wanashindwa kulala usingizi. Ukiachilia mbali ukosefu wa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tabora iliyomfunga Yanga ni nyingine na inayocheza na Simba siku zote uwa ni nyingine, zile kelele za GSM huwezi kuzisikia leo!

    Tabora siku zote wanazocheza na Simba uwa wanacheza kama ni timu ya daraja la 4, lakini wakikutana na timu nyingine huwa wanakuwa Tabora wenyewe Huwezi kusikia kelele za GSM anaharibu ligi na match fixing kwenye mechi wanazopata ushindi wa mipango mipango, but wakipigwa wengine utasikia...
  14. JamiiForums Tanzania DeepSeek hawakujipanga, wana kelele nyingi uwezo mdogo

    Nimeitumia deepseek nafikiri mimi ni mmoja wa watumiaji wa mwanzoni. Ilikuwa vizuri na ipo fasta. Lakini baada ya kuanza kelele kila muda inashindwa kufanya kazi server zao ni ndogo mchina katepeta mapema sana.
  15. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Majigambo ya waliojiita "wao ni wapiga kura halisi" wa Team Mbowe na eti Team Lissu ilikuwa na "wapiga kelele..."

    Huyu 👇👇jamaa anayejigamba hapa anajitambulisha kama Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Bagamoyo. Haina shaka kuwa alikuwa "Team Mbowe..." https://youtube.com/shorts/ozPk6U2P45k?si=SZQVYkHgEETLKsf0 Jamaa alikuwa anajigamba na kujitapa kweli kuwa yeye "ndiye mpiga kura halisi" na wale wa upande ule...
  16. JamiiForums Tanzania Kama haupo Dodoma kwenye vikao vya ccm weekend hii, na unajufanya ni mwanachama kindakikindaki, basi jua wewe ni mpiga kelele tu

    Wenye chama chao wapo Dodoma, wewe upo hapa unatupigia kelele tu, amka toka usingizini! Punguza uchawa…
  17. JamiiForums Tanzania Je, ni kawaida battery kupiga kelele wakati inachaji?

    Hamjamboni wana jf, napenda kujua, je, ni kawaida 'lead acid battery' kupiga kelele kana kwamba inachemka wakati inachajiwa kwa solar panel? Elimu tafadhali
  18. JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kondakta wa daladala kupiga kelele za kuita abiria? Au abiria hawajui wanakokwenda? Je abiria wanakuwa hawaoni usafiri? (vipofu)

    Je ni sahihi kondakta wa daladala kupiga kelele za kuita abiria? Au abiria hawajui wanakokwenda? Je abiria wanakuwa hawaoni usafiri? Hii tabia ya kondata kuita abiria na kutangaza vituo daladala zinakoelekea inanipa maswali mengi sana Huwa napata maswali makubwa matatu? 1: Abiria hawafahamu...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Yanga inarudi kwa kasi ya Kimondo: Hivi punde zile kelele za GSM anaharibu Ligi zitarudi, wanautwanga si mchezo!

    Naona kabisa kuna watu matumbo yashaanza kuuma kwa maumivu, hawawezi kusema lakini wana hofu kubwa mioyoni mwao juu ya Yanga hii inayorudi kwa kasi ya kimondo! Yanga wanautwanga, wanakasi, wanagusa, wanaachia, wanakuja kwako. Ni mabadiliko makubwa ambayo kocha Ramovich ameanza kuyaonyesha. Timu...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini kelele kwa Lissu na sio kwa Wenje?

    Habari wanajamii. Tangu Lissu atangaze Nia ya kugombea uenyekiti kumetokea kelele za kila aina. Mara ni kirusi ndani ya CHADEMA, mara anafadhiliwa na Msigwa, mara anampango wa kuhamia CCM nk. Kila mtu anasema la kwake. Nikawaza, Kwanini kelele zimekuwa nyingi kwa Lissu baada ya tangazo lake la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…