Ila huyu mtu jamani sijui anaona maisha ni kifutio au penseli,yani unaweza kufanya lolote kama ufahamu lolote.
Ulipopata kijiti hakuna kilichofanyika umebagaza nchi,umeua,umeteka,ufira,umebaka,umeleta mambo ya ajabu.
alafu neno lako unasema "tusitengane kwa tofauti zetu" .kwa hiyo tofauti yako...
Kauli ya Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa, kuhusu kumuaga rasmi Bw. Mfaume Ramadhan baada ya miaka 39 ya utumishi wa umma imeibua mjadala mpana wenye maswali mazito kuliko majibu. Miaka thelathini na tisa si wiki mbili, wala si ajira ya muda mfupi. Ni karibu maisha yote ya mtu—ujana, utu...
Sheikh Haji Alfarouk; "Endeleeni na Siasa zenu, kwenye kuapishana kwenu, msikamate Msahafu, kwasababu mnachoapia ninyi ni kuilinda Katiba mpaka kufa kwenu. Mtu yupo kwenye siku zake anachukuwa Msahafu anaapa, Sheikh awataka Viongozi wa Kisiasa kuachana na kitabu kitakatifu cha Quran"
Leo hii, Tundu Antiphas Lissu, mwanasheria wa kiwango cha juu, anarejea katika chombo cha haki — mahakama — si kwa ajili ya maigizo ya kisiasa, bali kwa ajili ya kuitafuta na kuisimamia constitutional justice kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hususan Ibara ya 13(6)(a)...
Hamjambo!
Katika hali ya kustaajabisha katikati ya bahari ya huzuni ya ndugu yetu Mrisho Mpoto, AKA Mjomba. Baada ya kufiwa na mkewe. Ilitarajiwa kama desturi apewe Salamu za Pole. Lakini hali ipo tofauti Kabisa.
Wananchi wengi mtandaoni wamekuwa wakali wakionyesha hisia zao kana kwamba...
Kwa kifupi tuu Nina miaka michache nifike 40 mambo mengi nimeyaona wanaume wenzangu wanavyopitia wakati mgumu katika ndo,mahusiano,fursa,ajira, n.k
Kiukweli ukiwa kama kijana wa kiume usipojipanga mapema ktk age kuanzia 25 hadi 35 ukifika huu umri tegemea kejeri,fedhea,majuto tena usiombe ufike...
kama kawaida ya CcM ukiwauliza leteni hoja wao ni kusimanga chama kitakacho kuwa mwiba kwao tena na kutunga.
Sasa leo dodoma tumethibitisha yale ya Idd amin kule uganda yule marehemu alikuwa na kauli za kejeli na masimango mpaka zikamfanya raisi nyerere kumtandika.
Anasema hawana ugomvi na Chadema , wakati huo huo serikali anayoiongoza/inayoongozwa na chama chake ambacho yeye ni namba 4 in power hiarachy kwenye chama kinachoongoza serikali inalalamikiwa na Chadema,kuteka, kuua, kupoteza wanachama/viongozi wa chadema!
Hii ni kejeli
CCM YAMJIBU JAJI...
China bhana kila kitu kinawezekana!! Umeshawahi kuwaza siku utembee umbali mrefu kwenda kumtafutia mteja aliyetukana bidhaa zako na kumpiga.
Kuna jamaa mmoja ambaye ni muuzaji wa bidhaa mbalimbali kupitia online Aliweza kutembea umbali wa kilomita 850km ili kumfuata mteja ambaye alitoa maneno...
Kwa mujibu wa gazeti hili linadai kuwa ongezeko la Wanyapori limeletwa na Royal Tour. Kwamba Simba, Kasongo, Fisi na wanyama wengine walipomuona tu mama wakaanza kuzaliana mfululizo? Hivi Machawa mnatumia akili au matope?
Mapambio yakizidi mwishowe yanakuwa ni matusi kwa mnayemsifia na hata...
Sidhani kama kuna mtu ambaye anaweza kusimama na kwa dhamira akazikataa jitihada za Mbowe katika kuijenga CHADEMA na katika kupigania haki na demokrasia nchini Tanzania.
Ni katika jitihada hizo, Mbowe aliwekwa mahabusu za polisi mara kadhaa, alifilisiwa kwa nguvu, alitumia muda wake, rasilimali...
Wakuu,
Rais Samia anawaapisha Viongozi Wateule Ikulu Ndogo ya Tunguu Zanzibar, leo tarehe 10 Disemba, 2024.
Akiwa anazungumza katika uapisho wa mawaziri, Rais Samia amedokeza kuwa ni viongozi tu ndo wamebadilishiwa majukumu lakini serikali ni ile ile.
Pia Rais Samia alitumia hotuba yake...
Yvonne Cherrie, msanii maarufu wa filamu, Monalisa, ameweka historia baada ya kuhitimu Chuo Kikuu katika fani ya Usimamizi wa Biashara na Miradi, licha ya changamoto za dhihaka na kejeli alizokumbana nazo kutokana na umri wake.
Monalisa, ambaye alikuwa miongoni mwa mwanafunzi waliokula chumvi...
Wastaafu kote nchini tumeshtushwa sana na tangazo la ongezeko ya pensheni kwa asilimia 2% kuanzia 2025 lililotangazwa na Waziri Kikwete (jnr).
Itakumbukwa kwamba ongezeko hili kiduchu kwa rekodi linafanyika baada ya kupita karibu miaka 10 i.e. enzi za Rais Kikwete na Waziri Mkuya walipoongeza...
Habari za muda huu marafiki,
Siku za hivi karibuni kumekuwa na hali ya kushangaza kustaajabisha kwenye jamii yetu na hasa huku mitandaoni.
Kumekuwa na wimbi la watu kuwasimanga, kuwakejeli na hata kuwacheka ndugu zetu, jamaa zetu na marafiki zetu wanaoonekana kwa vigezo, mitazamo na viwango...
WANASEMA KWA KEJELI ATI NAJITIA KUJUA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA
Vitabu hivi vingekeuwa vimeandikwa miaka mingi sana na waandishi na kuwa sehemu ya historia ya uhuru wa Tanganyika.
Kwa nini haikuwa hivyo ni historia inayoanza mwaka wa 1962 mara tu baada ya kupatikana uhuru pale TANU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.