Za muda wadau!moja kwa moja kwenye swali
"Hivi kinachotuangaisha binadamu katika harakati za maisha kinatokana na historia(sayansi)?
Au maisha ya sasa(uvumbuzi) au maisha ya baadae(dini au maandiko) naomba aloelewa ajibu na kama hujaelewa naomba tumia muda kusoma NK kwenye mabano ni ufafanuzi...
Russia imemweka Seneta wa Marekani Lindsey Graham kwenye orodha ya mtu anayetafutwa na hii ni kulingana na ripoti za vyombo vya habari vya Russia vikinukuu hifadhi data ya wizara ya mambo ya ndani.
Ofisi ya rais wa Ukraine siku ya Ijumaa ilitoa video iliyohaririwa ya mkutano kati ya Seneta...
Kumekuwa na maneno mengi ya kejeli na visasi kwa wanasiasa ambao hatunao tena. Masikini wa Mungu hao wanasiasa ambao hatunao tena ukiaangali kwa makini unagunduwa walichokuwa wakikitekeleza ni kwa manufaa yao wenyewe na sera zao sema tu chuki na visasi vinalitesa Taifa.
Mtu anadiriki kusema...
Sio wengi wametafakari maana ya muafaka uliofikiwa na huu msemo wa "siasa za kistaarabu" kama wanavyounadi viongozi wakuu wa vyama vya siasa.
Kwa upande wa CCM nawaona haswa wabunge, madiwani na makada wao (haswa UVCCM na UWT) wakipata taabu kwani wamezoea siasa za kejeli, kununua wapinzani nk...
Peace be upon you all,
Jamii yetu imekua na vijana wa ajabu sana case study ni kijana humu jf kwa id ya mpwayungu village na kama huyu member ni mzee basi ni mzee mpumbavu. Kumekua na desturi ya kudharauliana hadharani na kwa baadhi ya watu huona fahari kudharau na kudhihaki wengine mfano ni...
Mtu aliyekuwa anajua mbinu zote za wafanyakazi wa Tanesico kwamba, kipindi hichoo cha wao kuongoza, kulikuwepo na kikundi maalumu cha kufungulia maji ya mtela ili tu kutengeneza mgao haramu wa umeme na wao kutengeneza biashara za majenereta
Mbinu hiyo iliwafumbua watanzania wengi, na tangu...
Baada ya mwanamama Barbra CEO wa Simba Sc kuteuliwa CAF kumekuwa na kejeli za kila aina kutoka Yanga. Kejeli hizi zinafanya nje na ndani ya JF. Kuhusu uwezo wake hakuna shaka, hata wanaokejeli humu wanalijua hilo.
Ila najiuliza shida nini tumekuwa haters wa kiwango hiki? Mtindo huu wa maisha...
Mkiambiwa chama kipo kwa mwenye nacho mnajidai kuwa chawa mkumbukwe!
Kwanza mjue kabisa Samia na kundi lake hawana mipango na nyinyi watu wenye nasaba na Magufuli iwe kwa maeneo mtokayo nk!
Chegeni alipopigwa chini kwenye ubunge alijua adui yake ni Magufuli bila kujua kuwa Chegeni CV yako ya...
Karen: Sijaona mwanaume wa kuzaa naye Tanzania | Nimezaliwa staa baba yangu staa.
Taarifa: EastAfricaTV
Baba wa huyu Binti ( Dada ) nakushauri kuwa makini sana kwani kuna Msanii mwingine huko nyuma alikuwa na Dharau na Nyodo kama hizi ila kwa alichofanyiwa Mbezi Beach ( Mitaa ya Rainbow )...
Ndugu wana JF wasalaaam,
Napenda ku-share nanyi hii stori ili iwe fundisho kwa wengine wasije wakafanya makosa kama nilivyofanya mimi.
Katika mizunguko na harakati za maisha nikakutana na mwanamke tukaanzisha mahusiano na hatimae tukaanza kuishi pamoja kama mke na mume. Hapa hakuna ile ndoa...
Kuna siku moja nilikuwa kwenye kijiwe cha draft hapa Dar, mzee mmoja alisema msaki (mmiliki wa kibo complex) anatuona Sie wote hapa hatuna akili, nilidhani wanaongea hivyo sababu wanamwonea wivu Ila baadaye nilikuja gundua maneno yao yana ukweli kwa kiasi flani, wala si wivu.
Yani utakuta...
Ni dhahili serikali hii haijui mahitaji ya wananchi na haina vipaumbele. WM amewaagiza Tarura waweke taa mpaka vijijini. Hivi ni kweli sisi watu wa vijijini tunahitaji taa za barabarani? Hii ni kejeli kubwa sana.
Sisi vijijini tunahitaji madawa na vifaa tiba, tunahitaji maji na umeme wa...
Wakuu mmebarikiwa Sana na Mungu wa Mbinguni hakuna laana.
Leo naendelea na muha taeleza siku naondoka rasmi na kuachana Naye.
Nakumbuka nyakati hizo Yule mwanamke alizidi kunipanda kichwani alianza tabia za kurudi usiku Sana nyumbani yaani Mimi nilikuwa nafanya kazi maeneo ya ubalozi WA kenya...
Wazanzibari hawakutaka mashehe waachiwe kama ilivyotokea. Wameachiwa na watu wasiojulikana kwani hata mawakili hawakutaarifiwa walisikia tu mashehe wa au wateja wenu wameonekana mitaani.
Wazanzibari wanahitaji au walihitaji haki itendeke, mahakama iliyopewa dhamana iendeshe kesi kililahi bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.