kcmc

KCMC (740 AM) is a radio station licensed to Texarkana, Texas, United States. It serves the Texarkana area. The station is currently owned by Texarkana Radio Center. Studios are located on Olive Street, just west of the border with Arkansas, and the transmitter is on De Loach Street in the Texarkana city limits also west of the Arkansas border.

View More On Wikipedia.org
  1. Dr Adam Francis

    KCMC, CUHAS best medical schools ever

    Leo nataka niwashukuru kipekee walimu wangu walionipa heshima ya kuitwa daktari, chuo kikuu cha udaktari KCMC na CUHAS Bugando, hivi vyuo ni vyuo bora kabisa vya udaktari, nikiwa alumni wa vyuo hivi nasimama kama ushuhuda wa kazi nzuri wanayoifanya kwa maslahi ya nchi yetu. Sitaweza kuacha...
  2. Jamii Opportunities

    Senior Office Management Assistant Grade L-1 at KCMC University July 2025

    Vacancy Announcement KCMC University is seeking qualified candidates to fill the following vacant position within the Vice Chancellor’s Office. Position: Senior Office Management Assistant Grade L-1 Educational Qualifications A holder of Diploma in Secretarial Studies whereas bachelor’s degree...
  3. R

    Vilio na simanzi KCMC Majeneza ya waliopata ajali Same yakiwasili

    ilio na simanzi vimetawala katika viwanja vya Hospitali ya KCMC, mkoani Kilimanjaro wakati ndugu wakishuhudia majeneza 36 kati ya 42 yenye miili ya ndugu zao waliofariki dunia ajalini baada ya magari mawili kugongana na kuwaka moto Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro Ndugu hao pamoja na...
  4. E

    Rungwe ‘Mzee wa Ubwabwa’ alazwa KCMC

    DAR. Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe maarufu Mzee wa Ubwabwa amelazwa katika Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro (KCMC) kutokana na uchovu wa kazi nyingi. Kwa mujibu wa Ofisa Uhusiano wa hospitali hiyo, Gabriel Chisseo, Rungwe alifikishwa hospitalini hapo...
  5. M

    Pisi Kali kwa hapa Moshi - Maeneo ya KCMC zinapatikana wapi??

    Wakuu heshima zenu, Nipo Moshi kwa muda usiopungua wiki kadha.Kwa uwepo wangu hapa bado sijapata kuona maeneo yenye pisi Kali. Naomba uelekeo wenu wakuu na kama yupo humu ambaye yupo serious kidogo aje PM tuyajenge chap.
  6. robbyr

    Waziri wa afya afanye ziara Hospitali ya KCMC

    Viongozi wamekuwa wakitoa kauli zisizo na vitendo au uhalisia unaowakba wagonjwa. Nimeshuhudia hospitality ya KCMC hata mgonjwa wa ambulance anasubirishwa mapokezi mpaka kujaza taarifa na malipo ya awali Hili jambo si utani, unaweza kuona mtu wako anafia mapokezi basi wakati mwingine Mungu...
  7. Just Pray

    PreGE2025 Serikali imekamilisha ujenzi wa jengo la tiba mionzi ya Saratani KCMC kwa bilioni 5

    Wakuu Wizara ya Afya imewekeza Sh5 bilioni katika ujenzi wa jengo jipya la tiba mionzi katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC) pamoja na ununuzi wa vifaa tiba vya kisasa. Hatua hii inalenga kuboresha huduma za matibabu ya saratani kwa wakazi wa Kanda ya Kaskazini na maeneo...
  8. milele amina

    Baba Askofu Dr. Alex Gehaz Malasusa, Mkuu wa KKKT na mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Hospital ya KCMC ! KCMC ipo ICU!

    Msikilize huyu mtanzania!! Mkurugenzi wa Hospital hiyo kubwa nchini,amejikita kwenye miradi ya ujenzi,akiachilia mbali maisha ya watu! Idadi ya vifo ni kubwa mno, na Kuna uwezekano mkubwa mmiliki wa duka kubwa la majeneza nje ya hospital hiyo ni la wa Mkurugenzi wa KCMC Manesi wamezidiwa...
  9. milele amina

    Ujumbe wa Haraka kwa Serikali ya Tanzania:Ujenzi wa Barabara kuu ya YMCA kwenda Hospital ya Rufaa ya Kanda ya KCMC ,yenye urefu wa kilometer 2.6 tu.

    Tunaandika kwa huzuni na wasiwasi mkubwa kuhusu hali mbaya ya barabara kuu inayounganisha roundabout ya YMCA mjini Moshi na Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini ya KCMC. Barabara hii yenye urefu wa kilomita 2.6, ambayo ilijengwa mwaka 1971, imekuwa kizuizi kikubwa kwa huduma za afya na...
  10. luambo makiadi

    TANZIA Profesa Shao Mkurugenzi mstaafu hospitali ya KCMC azikwa, madaktari wamlilia

    Aliyekuwa mkurugenzi mtendaji wa hospitali ya KCMC, na makamu mkuu wa kwanza wa chuo Kikuu Tumaini Makumira Profesa John Shao (80) aliyefariki Oktoba 6 mwaka huu amezikwa. Profesa Shao ambaye ni mtanzania wa kwanza kusoma shahada ya vimelea vya magonjwa atakumbukwa kwa uchapakazi wake ndani na...
  11. Suley2019

    Familia ya Muuguzi aliyetoweka KCMC yaamua kutumia njia za kimila kumsaka

    Wakati Jeshi la Polisi likisema linafuatilia mawasiliano ya mwisho na watu aliokuwa akiwasiliana nao Muuguzi wa KCMC, Lenga Masunga (38) aliyetoweka katika mazingira ya kutatanisha hivi karibuni, familia yake imesema itatumia taratibu zake za kimila kujua ndugu yao huyo yuko hai au amefariki...
  12. Ndagullachrles

    KCMC na TPC waungana kutoa huduma za kitabibu

    MADAKTARI BINGWA KCMC KUTUOA HUDUMA ZA KIBINGWA HOSPITAL YA TPC Moshi. Hospital yenye hadhi ya nyota nne inayomilikiwa na kiwanda cha Sukari cha TPC,ipo katika hatua za mwisho kukamilisha mchakato wa kuingia makubaliano ya ushirikiano na Hospital ya Rufaa ya KCMC kwa ajili ya kutumia madaktari...
  13. Nyendo

    Watu 5 mbaroni wakihusishwa na kifo cha muuguzi wa KCMC

    Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro linawashikilia watu watano kwa tuhuma za mauaji ya Khudheifa Changa, ambaye alikuwa ni Muuguzi wa Hospitali ya KCMC Moshi mkoani humo. Inadaiwa Khudheifa Changa aliuawa usiku wa kuamkia Julai 2, mwaka huu wakati akipita katika uchochoro wa Mtaa wa Marindi...
  14. Suley2019

    Muuguzi KCMC auawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali uchochoroni

    Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro linawashikilia watuhumiwa watano kwa tuhuma za kusababisha kifo cha Muuguzi wa hospitali ya KCMC Moshi Khudheifa Changa (26) Akitoa taarifaa hiyo kwa vyombo vya habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro ACP Simoni Maigwa amesema kuwa walio kamatwa ni...
  15. comte

    Tupate mkataba wa uendeshi wa hospital za Bugando (TEC) na KCMC (KKKT) ili tujadili bandari vizuri

    Hospital za Bugando na KCMC zinamilikiwa na makanisa na zinaendeshwa kwa ubia na serikali ya JMT. Ninafikiri mikataba yake ingetusaidia sana kwenye mjadala unaoendelea wa bandari
  16. benzemah

    KCMC inapokea Wagonjwa 300 wa Akili kwa mwezi

    Daktari bingwa wa afya na magoniwa ya akili wa Hospitali ya Rufani ya Kanda ya KCMC, Dk. Editruda Gamassa, amesema hivi sasa wanapokea wagonjwa wa nie wenye matatizo ya afya ya akili, zaidi ya 300 kwa mwezi mmoja. Magonjwa ya afya ya akili ambayo ni tishio nchini ni Kihoro (Anxiety), Sonona...
  17. BARD AI

    Watumishi KCMC wahojiwa na Polisi kwa kudai Posho zao mtandaoni

    Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro, kitengo cha makosa ya kimtandao, linawahoji wafanyakazi kadhaa wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini ya KCMC ya mjini Moshi kwa tuhuma za makosa mbalimbali ya kimtandao. Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Simon Maigwa ambaye yuko safarini kikazi nje ya...
  18. Linguistic

    Nimempoteza Baba Mzazi Hospitali ya KCMC Moshi

    Wakuu napenda kuwapa taarifa kwamba nimempoteza Mzee Wangu Leo Hapo KCMC Moshi. Mzee alikuwa anasumbuliwa na Kansa maana alikuwa na Ukungu Kwenye Maini. Niko njiani naelekea Marangu-Kilimanjaro. Asante sana Wakuu Wangu
  19. F

    Tahadhari: Wizi wa vifaa ndani ya magari hospitali ya KCMC balaa

    Ni tahadhari tu kwa wale mnaotumia magari binafsi kwenda kuwaona wagonjwa ama kwa shughuli nyingine katika Hospital ya Rufaa ya Kanda ya KCMC mjini Moshi kwamba muwe makini sana kuna mtandao mkubwa wa vijana wanaotumia funguo bandia kufungua milango ya magari na kuiba vitu vilivyomo ndani ya...
  20. Kinuju

    Mgao wa umeme: Hospitali ya KCMC yasitisha baadhi ya huduma

    Mgao wa maji na umeme unaoendelea hapa nchini umeitikisa hospitali ya KCMC inayotegemewa na zaidi ya watu millioni 15 nchini na imelazimika kusitisha baadhi ya huduma kama vile upasuaji, uzalishaji wa mitungi ya Oxygen n.k. ======= Moshi. Makali ya uhaba wa maji na umeme usipime. Hivi ndivyo...
Back
Top Bottom