kcmc

KCMC (740 AM) is a radio station licensed to Texarkana, Texas, United States. It serves the Texarkana area. The station is currently owned by Texarkana Radio Center. Studios are located on Olive Street, just west of the border with Arkansas, and the transmitter is on De Loach Street in the Texarkana city limits also west of the Arkansas border.

View More On Wikipedia.org
  1. benzemah

    JamiiForums Tanzania KCMC inapokea Wagonjwa 300 wa Akili kwa mwezi

    Daktari bingwa wa afya na magoniwa ya akili wa Hospitali ya Rufani ya Kanda ya KCMC, Dk. Editruda Gamassa, amesema hivi sasa wanapokea wagonjwa wa nie wenye matatizo ya afya ya akili, zaidi ya 300 kwa mwezi mmoja. Magonjwa ya afya ya akili ambayo ni tishio nchini ni Kihoro (Anxiety), Sonona...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Watumishi KCMC wahojiwa na Polisi kwa kudai Posho zao mtandaoni

    Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro, kitengo cha makosa ya kimtandao, linawahoji wafanyakazi kadhaa wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini ya KCMC ya mjini Moshi kwa tuhuma za makosa mbalimbali ya kimtandao. Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Simon Maigwa ambaye yuko safarini kikazi nje ya...
  3. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Nimempoteza Baba Mzazi Hospitali ya KCMC Moshi

    Wakuu napenda kuwapa taarifa kwamba nimempoteza Mzee Wangu Leo Hapo KCMC Moshi. Mzee alikuwa anasumbuliwa na Kansa maana alikuwa na Ukungu Kwenye Maini. Niko njiani naelekea Marangu-Kilimanjaro. Asante sana Wakuu Wangu
  4. F

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Wizi wa vifaa ndani ya magari hospitali ya KCMC balaa

    Ni tahadhari tu kwa wale mnaotumia magari binafsi kwenda kuwaona wagonjwa ama kwa shughuli nyingine katika Hospital ya Rufaa ya Kanda ya KCMC mjini Moshi kwamba muwe makini sana kuna mtandao mkubwa wa vijana wanaotumia funguo bandia kufungua milango ya magari na kuiba vitu vilivyomo ndani ya...
  5. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Mgao wa umeme: Hospitali ya KCMC yasitisha baadhi ya huduma

    Mgao wa maji na umeme unaoendelea hapa nchini umeitikisa hospitali ya KCMC inayotegemewa na zaidi ya watu millioni 15 nchini na imelazimika kusitisha baadhi ya huduma kama vile upasuaji, uzalishaji wa mitungi ya Oxygen n.k. ======= Moshi. Makali ya uhaba wa maji na umeme usipime. Hivi ndivyo...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hospitali zote zinakabiliwa na uhaba wa watumishi

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema Hospitali zote zinakabiliwa na uhaba wa Watumishi, akifafanua "Hii ni kutokana na kiwango cha ukuaji wa Uchumi" Amesema hayo leo akiwa Moshi Mkoani Kilimanjaro katika Maadhimisho ya Jubilee ya Miaka 50 ya Hospitali ya KCMC Ameongeza, "Tunapopiga mahesabu ya...
  7. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: KCMC yazidiwa wagonjwa wanaohitaji Oksijeni

    Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini ya KCMC imezidiwa na idadi ya wagonjwa wanaohitaji hewa ya Oksijeni ukilinganisha na mitungi 400 inayozalishwa kwa siku huku mgonjwa mmoja akitumia mitungi 8 hadi 10 kwa siku.Hayo yamesemwa leo Ijumaa Julai 23 na Mkurugenzi Mtendaji Hospitali hiyo...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania KCMC yakumbwa na uhaba wa oksijeni kwa wagonjwa wa COVID-19

    Mkurugenzi Mtendaji wa KCMC, Profesa Gilleard Masenga amesema mgonjwa mmoja wa #COVID19 anatumia hadi mitungi 10 kwa siku. Hospitali ya Rufaa ya KCMC inzalisha mitungi 400 na idadi ya wagonjwa inazidi kuongezeka hali inayofanya hospitali kuzidiwa. ---- Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini...
  9. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Waziri Mkuu tembelea mortuary za Hospitali za KCMC na Mawenzi Mkoa wa Kilimanjaro kuna Jambo muhimu

    Ninatuma Uzi huu, kuijulisha serikali ya Tanzania kuwa Hali za wananchi ni mbaya kiafya huko Moshi mjini na Kilimanjaro Kwa ujumla. Wanaozaliwa ni wachache kuliko wanaofariki Kwa siku moja. Hali ya ugonjwa wa corona ni mbaya sana na kuna Haja ya serikali kuzuia misongamano, mazishi ya watu...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania KCMC Yaruhusu mtu mmoja tu kumuona mgonjwa

    Uongozi wa Hospitali ya KCMC umetoa taarifa ya kuruhusu mtu mmoja tu kumuona mgonjwa ambaye atakuwa amelazwa hospitalini ambao watakuwa na vitambulisho maalum Aidha wagonjwa wanaoenda klini au kuanzamatibabu wametakiwa kwenda peke yao au kuwa na ndugu mmoja iwapo watakuwa wamezidiwa
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania KCMC yakanusha kuua mgonjwa kizembe, yadai aliletwa akiwa tayari kishakufa

    Ushahidi huu hapa Natoa pole kwa Wafiwa . zaidi soma: https://www.jamiiforums.com/threads/mama-anna-mghwira-usiongee-sana-peleka-vielelezo-juu-ya-kifo-cha-mama-yake-hoyce-temu.1872308/...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mama Anna Mghwira usiongee sana, peleka vielelezo juu ya kifo Cha Mama yake Hoyce Temu

    MAMA ANNA MGWIRA PELEKA VIELEEZO VYA MAREHEMU SION TEMU MAMA WA HYOCE TEMU ALIYEFIA NJIANI KUTOPATA HUDUMA KCMC Habarini za usiku ndugu zangu wana jamii forum wenzangu, Nimesoma habari ya kulalamikiwa moja ya taasisi ya kidini inayotoa huduma za afya , hospitali ya rufani ya kanda ya...
  13. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Waliohusika kifo cha mama mzazi wa Hoyce Temu Hospitali ya KCMC waondolewe

    HUU MSIBA UMEHUZUNISHA WENGI SANA MKOANI MOSHI NA PENGINE WENGI WANAKUFA HAPO HOSPT BILA KUPEWA MSAADA WAZIRI WA AFYA WALIOCHANGIA KIFO CHA HUYU MAMA WAONDOLEWE KABISA HAPO HOSPT WATATUMALIZIA WAZAZI WETU MAPOKEZI MASAA MAWILI BILA HUDUMA??KWELI AISEE ===== MAMA MGHWIRA-KULIKUWA NA UZEMBE...
  14. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa hospitali ya KCMC akanusha taarifa za mgomo wa madaktari katika hospitali hiyo

    Msemaji wa Hospitali ya KCMC Kilimanjaro, Gabriel Chiseo amekanusha taarifa zinazozunguka mtandaoni zenye madai ya kwamba madakatari katika hospitali hiyo wamegoma kufanya kazi kwa madai ya kukosa vifaa kinga (PPE) kutokana na ongezeko wa wagonjwa wenye matatizo ya mfumo wa upumuaji. Msemaji...
Back
Top Bottom