ilikua nikalipe rejesho la mchezo kule mtaani kwetu, ilikua elf 50, katika ofisi nayopigia kazi kua mwingiliano wa wafanyakazi wengine, ilikua niende toilet, kurudi nakuta pungufu ya elf 20 imebaki elf 30, nimejaribu kumuuliza mfanyakazi mwenzangu amekana kuhusika na upotevu huo.
nimekasirika...