kazini

  1. JamiiForums Tanzania Serikali imesema kuanzia Julai Mosi itaanza kutoa mafunzo kazini, ikiwamo mbinu za ufundishaji wa somo la Hisabati

    Serikali imesema kuanzia Julai Mosi itaanza kutoa mafunzo kazini, ikiwamo mbinu za ufundishaji wa somo la hesabu. Hatua hiyo ni baada ya Serikali kubaini kuwa kuna walimu hawamudu kufundisha baadhi ya mada katika somo hilo. Pia ili kuboresha ufaulu wa somo hilo watachapa na kusambaza vitabu...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Aina ya mavazi yenye muonekano mzuri ukiwa kazini katika kipindi cha mvua

    Vaa sweta na snika. Snika ni viatu aina vyenye muonekano kama raba. Unaweza kuvaa sweta ndefu na suruali kwa mwanamke, kama utavaa sketi au gauni ni vizuri ukavaa sweta fupi ili uwe na muonekano mzuri zaidi. Kwa mwanaume vaa suruali na sweta fupi kiasi, sweta inayofika hadi shingoni ina mvuto...
  3. JamiiForums Tanzania Dar: Mtangazaji wa ITV, Blandina Sembu atupwa barabarani kituo cha Mwenge ITV akiwa ameuawa

    Mtangazaji wa kituo cha ITV cha jijini DAR ES SALAAM Bi Blandina Sembu amekutwa akiwa ameuawa maeneo ya ITV Mwenge usiku saa sita. Mwili huo ulitambuliwa na Henry Mabumo aliyekuwa mtangazaji mwenzake kabla Mabumo hajahamia TBC. Mwili ulichukuliwa na Polisi usiku huohuo. Taarifa rasmi...
  4. JamiiForums Tanzania Jaman mlipata kazi ujenzi wa reli hawamu ya tatu kuna aliyeitwa kazini?

    Jaman ujenzi wa reli hawamu ya tatu kutoka singida umeanza? Je kuna aliyeitwa kazini?
  5. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, naona kuna haja ya kulitazama upya Fao la Kujitoa katika Mifuko ya Hifadhi za Jamii

    Poleni Watanzania. Kwako Mama Samia Suluhu, nakuomba sana uturudishie haki yetu iliyopotea ghafla ya fao la kujitoa NSSF. Nakuomba sana futa sheria kandamizi dhidi ya Wafanyakazi. Mtu anaacha kazi kafanya miakaa 15 au 20 halafu unakuja kumwambia asubirie mpaka afikishe miaka 55 au 60 je hii ni...
  6. JamiiForums Tanzania Nawezaje kurudishwa kazini baada ya kufukuzwa kazi?

    Habari zenu wakuu, Mimi ni mwalimu idara ya sekondari katika mkoa wa Mara. Niliwahi kuugua ugonjwa wa tumbo kujaa na kuvimba ambao kule Mara ni maarufu kwa jina la passport size huwa inatokana na kulogwa. Nilihangaika kutafuta uponyaji wake kwa njia ya hospitali hali ikawa sivyo hadi...
  7. JamiiForums Tanzania Kahama: Rais Magufuli amsamehe Mkurugenzi wa Halmashauri aliyenunua gari kinyume na utaratibu. Kahama yapandishwa hadhi kuwa Manispaa

    Baada ya salamu kutoka kwa viongozi mbalimbali, Rais Magufuli anategemea kuhutubu punde.. Kwasasa kinachoendelea ni burudani kutoka kikundi cha asili. ====== WAZIRI JAFFO: Toka tunapita barabarani watu wamejaa sana, hi ni ishara kwamba, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ni Rais wa watu lakini...
  8. JamiiForums Tanzania Ardhi University wasitisha utaratibu wa kuweka sahihi ya mahudhurio kazini kwa watumishi wake

    Chuo kikuu cha ardhi kimesitisha utaratibu wa kuweka sahihi ya mahudhurio kazini kwa watumishi wote kwa sababu zisizojulikana hadi itakapotangazwa hapo baadae. Watumishi wameombwa kuendelea kujali muda wa kufika kazini kama walivyozoea na wakuu wa vitengo wameombwa kuendelea kufuatilia...
  9. JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu zizotolewa 27 Nov 2020 na hatimaye walinu kuripoti wataitwa lini kazini?

    mitano tena?
  10. JamiiForums Tanzania Unafanyaje ukijua bosi wako kazini ni mnafiki dhidi yako?

    Mathalani fikiria hii situation umeajiriwa mahali ila boss wako machoni anacheka na wewe fresh kabisa na hakuonyeshi ubaya wowote ule ila under carpet anakusnichi. Fikiria mazingira yafuatayo. 1. Hakupendekezi kwenye Jambo lolote lenye maslahi na akikupendekeza anakupa vitu vidogovidogo sana...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Unaichunguzaje Bandari nzima wakati CEO wake yupo kazini? Hii inakuwa ni zaidi ya siasa

    Nimemsikia Waziri Mkuu Mh Majaliwa akiwaagiza Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU na Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai kufanya uchunguzi kwenye bandari zote nchini. Bandari hizo ni Mwanza, Kyela, Tanga, Mtwara na Dar es Salaam. Agizo hili amelitoa kufuatia ripoti ya CAG kubaini ufisadi bandari ya Kigoma...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini: Ni zipi sifa za kusitisha ajira kihalali?

    Ili kusitisha ajira kuwe kwa halali mbele ya sheria ni lazima kuwe na misingi na kufuata taratibu zilizoainishwa. Mwajiri anahitajika kua na sababu za halali na za haki za kusitisha ajira. Mbali na sababu hizi za halali za kusitisha ajira, mwajiri ni lazima afuate taratibu za halali za kusitisha...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini: Fahamu kuhusu kusitishwa kwa ajira kusiko kwa haki

    Kusitisha ajira maana yake ni kumalizika kwa mahusiano ya kikazi baina ya mwajiri na mwajiriwa au mfanyakazi, kusitisha ajira kihalali, kuachisha kazi isivyo halali, kusitisha kazi kwa makubaliano, mwajiri kusitisha kazi, kuachishwa kazi, kuacha kazi, kustaafu, kuritaya, mwenendo mbaya wa kazi...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna Uchawi au Uganga unaweza kufanya ukaongezwa mshahara au kupandishwa cheo kazini?

    Habari, Aise mimi kuna mahali nafanya kazi ila sasa kuna mtu nafanya nae kazi ananiambia we kaa hivyo hivyo usihangaike. Sasa huyo anaenimbia hivyo ni mtu alikuwa kitengo kingine akahamishwa akapelekwa kingine chenye nafuu kidogo Halafu sasa ananiambia kashapewa barua ya kuongezewa mshahara...
  15. JamiiForums Tanzania Lindi: Mtumishi wa LATRA amtishia sime dereva wa lori ili ampe leseni

    Emmanuel Manase, Mtumishi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (LATRA) alimtolea sime dereva wa lori akimtaka ampe leseni yake. Tukio hilo limeonekana kuwa na ugomvi mkubwa na baadae mtumishi huyo aliamuru dereva aandikiwe faini ya Tsh. 500,000 ili kumkomoa. Umoja wa Wamiliki wa Mabasi...
  16. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kagoma kuzama chumvini kwasababu ya cheo chake kazini

    Mlalamikaji: Money Penny bwana huku kwenye ndoa yangu changa kuna shida mno Tumefunga harusi mwezi uliopita, Eti mume kagoma kuzama chumvini kwasababu yeye ana cheo kazini NI Boss kubwa mimi namwuliza kuzama chumvini na cheo kazini kinaingiliaje hataki kusema Money Penny: haya mambo kwanini...
  17. M

    JamiiForums Tanzania WanaJF tunaomuunga mkono Lissu sasa ni muda muafaka wa kumsaidia Lissu ashinde!

    Ndugu wana JF, kwa miaka kibao tumepiga makelele humu juu ya udhalimu, ufisadi, uonevu, na incompentency ya serikali za CCM hususan hii ya awamu ya tano Na kama mnavyojua, Sisi wanachama wa JF huenda ni watu ambao tumo katika kundi la watu wenye elimu na tuna upeo mkubwa wa mambo katika nchi...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali kupitia TAMISEMI, yawaita kazini waliotuma maombi ya Udaktari mwezi Agosti

    Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) inapenda kuwataarifu waombaji wa nafasi za ajira ya Madaktari zilizotangazwa na Serikali mwezi Agosti, 2020 kuwa zoezi la uchambuzi wa maombi yaliyopokelewa limekamilika. Aidha, waombaji wa nafasi za ajira ya Madaktari waliokidhi...
  19. JamiiForums Tanzania Fatma Karume afurumushwa IMMMA Advocates

  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Salma Kikwete, Mama wa Taifa mstaafu kazini

    Ni Salma Kikwete akiwa jimboni Mchinga akizisaka kura kwa udi na uvumba. Hapo anachanja mbuga mlimani -Maweni Mputwa Pongezi nyingi kwake. Mama anaenda "kutema chechee-Kwa sauti ya JK. CCM INA HAZINA YA WANACHAMA
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…