kazini

  1. J

    JamiiForums Tanzania KERO Ameripoti katika Kituo cha Kazi na kuambiwa vitendea kazi ni vichache hivyo hawezi kufanya kazi hapo. Hii ni sawa?

    Ndugu yangu ameitwa kazini kama Afisa Usafirishaji na katika barua yake ya ajira ameagizwa kuripoti Dodoma. Alifika mapema katika kituo alichopangiwa na kuanza taratibu za kuripoti kama alivyoelekezwa. Hata hivyo, alipofika katika kituo hicho, aliambiwa kuwa kituo kina magari machache na hivyo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Pale unapokataliwa kazini nini cha kufanya ?

    Miaka kadhaa mara baada ya kuangaika hapa na pale kutaguta ajira nikafanikiwa kuajiriwa ofisi moja ya umma Kwangu lilikuwa jambo la heri sana kupata kazi, na kwa wazazi wangu walifurahi sana kijana wao kupata kazi. Mara baada ya taaribu za ajira nilipangiwa kituo cha kazi mkoa jirani na...
  3. JamiiForums Tanzania Rachel Dangwa yuko 'kwenye Mikono Salama'

    Rasmi yule dada anayetukana matusi Rasmi yuko kwenye mikono Salama taangu tarehe 30/07/2026 soon atapandishwa kujibu Yanayomkabili au anaweza asionekane kabisa Save huu Uzi serikali ina mkono mrefu.
  4. JamiiForums Tanzania Upigaji kupitia semina za kutoa mafunzo kazini, Chanzo cha elimu duni.

    Wizara ya elimu chini ya Professor Mkenda imeendelea na upigaji wa pesa za elimu. Moja, wanatengeneza semina na mtaala mpya ambazo hazina kiwango cha kutosha iki kupata pesa za kuendeshea na pesa hizo zinaishia mkononi kwa watu wachache nasi walimu walio hudhuria semina hizo Semina hizo...
  5. JamiiForums Tanzania Mv Liemba yarudi kazini, uwezo wa usafirishaji wa abiria na mizigo waongezeka

    Meli ya MV LIEMBA, inayotoa huduma ya usafirishaji wa abiria na mizigo katika Ziwa Tanganyika, inatarajiwa kurejea katika huduma hivi karibuni baada ya kukamilika kwa ukarabati mkubwa ulioanza Julai 2024. Ukarabati huo umehusisha mabadiliko makubwa ya mifumo na miundombinu ya meli, ikiwemo...
  6. JamiiForums Tanzania Urambo DC: Mganga Mfawidhi kutokuwepo kazini, hali hiyo hutokea kwa nadra

    Halmashauri ya Wilaya ya Urambo imefuatilia taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii katika ukurasa wa Jamiiforums ikidai kuwa "Mganga Mfawidhi wa Zahanati ya Kata ya Itundu hafiki kazini", hali inayosababisha wananchi kukosa huduma za afya. hivyo kutokana na uzito wa suala hilo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Meta wapo kazini muda wote

    Meta muda wote wana process data hawalali , watumishi wa umma bado unasikilizia muamala tuuh hadi lini , ninaona post za walimu kama wote na nyingi sana . Mi yangu mawili amua uwe na boss zaidi ya mmoja au endelea toa comment hapa jamii forum na mbaya zaidi boss wako haendeshwi kwa comment .
  8. JamiiForums Tanzania Wanajeshi mnapokuwa kazini kuweni makini, ona Civilian-Coin anacho wafundisha

    Watch
  9. V

    JamiiForums Tanzania Walimu wa arts na lugha waanza kuitwa kazini #kiswahili, English,htm

  10. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini watumishi wa huduma afya wakiwa kazini wanavaa sana yeboyebo je ndio utaratibu rasmi wa wizara ya afya?

    Nipo katika hospital ya Wilaya ya Mkalama muda huu. Naona kila mhudumu wa afya anapita kavailia uniform nadhifu lakini cha kushangaza chini wanavaa yeboyebo tena za shilingi elfu tano tano. Je, ndio utaratibu rasmi wa Wizara ya Afya?
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Zahanati ya Kata ya Itundu, Wilaya ya Urambo - Tabora, Mganga Mfawidhi anaenda kazini anapojisikia

    Zahanati ya Kata ya Itundu, Wilaya ya Urambo katika Mkoa wa Tabora, Mganga Mfawidhi anakuja kazini anapojisikia ni kama Mganga Mkuu wa Wilaya ameshindwa cha kufanya. Kwa wiki anaweza kuna mara moja au hasije kabisa hali hii ibasababisha wananchi wasipate huduma stahiki. Kwa utaratibu anatakiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Majungu na fitna kazini

    Leo nimewawaza sana wale watumishi wanaopitia madhira na manyanyaso, mateso na wakati mwingine kutengwa kazini kwao. Katika semina zangu za Uongozi wa Kimkakati, Itifaki, Maadili ya Uongozi na Ustaarabu, nimekuwa nikugusia eneo moja nyeti sana. Nalo ni kuepukana na majungu kazini. Ofisi nyingi...
  13. JamiiForums Tanzania Zamani msichana akiolewa alikuwa anaumwa wiki nzima Anaamka anachechemea. Siku hizi kesho yake anaamkia kazini. Bado natafuta tatizo liko wapi?

    Zamani msichana akiolewa alikuwa anaumwa wiki nzima. Anaamka anachechemea. Siku hizi kesho yake anaamkia kazini. Bado natafuta tatizo liko wapi…
  14. JamiiForums Tanzania Natongozwa sana kazini, halafu ni walionizidi umri

    Yani kuna wakati najisikia niringe au nijivune kwa attention ninayopata, lkn kuna wakati naona kama mwisho wa hili hautakua mwema. nimekua nikitongozwa sana tangu nianze kazi, na wengine ni watu lazima nikutane nao kila siku na wengine wamenizidi cheo. Kwa sasa na kipato cha uhakika nimezidi...
  15. JamiiForums Tanzania Fanya yote ila usiwe na mahusiano na mfanyakazi mwenzako kazini

    Wakuu habari za mchana na wasalimu kijana wenu. Sasa twende kwenye mkasa nimeshuhudia watu walio kuwa na mahusiano kazini kwa takribani mwaka na nusu hivi. Picha lina anza walipo anza ugomvi sisi kama wana taasisi tunajulishwa ni kama vile swala la familia lina hamia kazini basi valuvalu...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa afya wa Wilaya ya Siha tuliajiriwa 2024, hadi sasa hatijathibitishwa kazini

    Sisi watumishi wa afya tulioajiriwa mwezi Novemba 2024 katika Halmashauri ya Wilaya ya Siha tunaomba Ofisi ya Waziri Mkuu isimamie suala la kuthibitishwa kwetu kazini, kwani mpaka sasa hatujapatiwa barua za kuthibitishwa wala barua za kuongezewa muda wa probation period. Kutokana na hali hiyo...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Responded Asante JF! Ajira mpya Kada ya Ualimu Rorya tumethibitishwa kazini baada ya kulalamika hapa

    Sisi walimu ajira mpya tulioajiriwa Februari na Machi mwaka 2025 katika Wilaya ya Rorya, tuliandika hapa JamiiForums mapema mwezi huu kuwa hatujathibitishwa kazini. Soma: Ajira Mpya Wilaya ya Rorya hatujathibitishwa kazini tangu Januari 2025 Tunashukuru kwamba baada ya andiko hilo kutoka...
  18. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Katika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasira, jamaa yake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana maumivu ya kuachwa! Hizi ndo moment kubwa ambazo gilrs wengi wanaliwa bila kutarajia wala kupanga...
  19. JamiiForums Tanzania Ni eneo gani la kazi kwa maoni yako linaongoza kwa kuona warembo/watu wapya kila siku mpaka mtu anaingia kazini na furaha ya ajabu?

    Kuna baadhi ya maeneo ya kazi ukiajiriwa tu unaanza kuamini dunia bado ina furaha. Sio kwa mshahara kwanza… bali mazingira yenyewe yanakuwa kama series isiyoisha kuhusu “uhamiaji wa viumbe wazuri” Mfano maeneo ya vyuo vikuu… aisee huku ni kama Serengeti migration. Kila mwaka linaingia...
  20. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Watumishi Kada ya Uhandisi tunakosa barua za ajira na kuthibitishwa Kazini kwa miaka sita

    Watumishi wa kada ya uhandisi walioajiriwa tarehe 1 Desemba 2020 katika shule za sekondari za ufundi za serikali wamekuwa wakikumbana na changamoto kubwa katika utumishi wa umma kutokana na kutopatiwa barua za ajira wala kuthibitishwa kazini kwa takribani miaka sita sasa. Tatizo hilo linadaiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…