Habiri wanaJF,
Mimi ni kijana wa kiume umri22, nilihitimu form 6 mwaka jana lakini sikufanikiwa kwenda chuo kwa sababu za kiuchumi.
LENGO: Tafadhali naombeni mnisaidie kazi yoyote halali kama ni kulima, kuuza duka n.K, niweze kujikwamua.
Natanguliza shukrani
Mashabiki wengi wa ngumi pamoja na mabondia mbalimbali wa ngumi duniani wameshtushwa baada ya kuona maandalizi ya pambano kati ya mwanadada Claressa Shields pamoja na bondia wa kiume Ryan Garcia .
Ryan Garcia tangu amtandike kiroho mbaya bondia Devin Haney amekuwa na mapepe sana mpaka imekuwa...
Habari za Leo wakuu
Nimerealize presha YA kupanda is the worst Kuliko ya kushuka ...no siku YA 4 Leo napambana presha haijakaa Sawa nilipima ilikua 140 Kwa 89 Kuna Dawa nlipewa inaitwa amlodipine nilivotumia hoi Dawa nlizidi kujiskia Vibaya nikaamua kuiacha nkawa natumia vitunguu swaum lakini...
Habarini wana JF, Mimi ni kijana Nina miaka 25, natafuta kazi nimesoma clinical medicine, nipo registered na leseni ninayo, naomba kazi dispensary au health centre, Kwa Sasa nipo mwanza, nawasilisha
Kwa maelezo Zaidi...0719926468
Habari za wakuu
Mimi ni kijana wa kiume nina bachelor ya business adminstration based in accounting, nina uzoefu wa kufanya kazi benk lakin mkataba uliisha na sikua tayari kuongeza tena kwa sababu zangu binafsi, baadae nilipata kazi kweny kiwanda, mkoani kama mhasibu msaidizi lakin bahati mbaya...
Kufuatia video inayosambaa mtandaoni ikionesha Mtu akipatiwa adhabu ya kugalagala chini pamoja na kuruka kichura baada ya kukaidi kulipa ushuru wa halmashauri kwa watumishi wanaohusika na ukusanyaji wa ushuru katika halmashauri ya Msalala wilayani Kahama Mkoani Shinyanga Mkuu wa wilaya ya Kahama...
Habari zenu wapendwa, mimi ni binti wa miaka 28 elimu yangu ni kidato cha nne ninaujuzi wa kompyuta nilisoma kozi fupi natafuta kazi ya stationary, au uwakala tigopesa nimefanya mara kadhaa hizo kazi nina uzoefu nazo napatikana Dar - Mabibo Napatikana humu0789 642604.
Asanteni.
Wengi tumebahatia kusoma na tuliamua kuchagua kusoma masuala fulani ili yaje yatusaidie kwenye ajira. Kwako Mdau, wewe ulichosoma ndicho unakifanyia kazi kwasasa?
Wakuu salaam......
Leo nakumbusha tu kale kamsemo kalitrend zzzzzzz....
Mwanaume anaridhika na kutamani uzuri wa ke kiasi cha kusema hata awe hana maarifa na utashi lakini akishajaliwa shape na uzuri ni basi inatosha 😆
Wengi walilinganisha uzuri wa big nyanshiiiii.....fire waist 😜😜😜
Vice verse...
KAZI YA UREJESHAJI WA MIUNDOMBINU SOMANGA INAKAMILISHWA, NGUVU YAELEKEZWA SONGAS.
Wizara ya Ujenzi, Timu ya Wataalam kutoka Wakala ya Barabara (TANROADS) ikishirikiana na Makandarasi, wanaendelea na zoezi la urejeshaji wa Miundombinu ya Barabara katika eneo la Songas ambalo nalo lilikatika...
Kazi yoyote lazima ifanywe kwa ufanisi ili ilete matokeo mazuri,na iwe endelevu ili iweze kuleta tija kwa wafanyakazi,,,hivi umeshawi kumsikia mtu amechoka kufanya kazi ikiwa hiyo kazi ndiyo inayo muweka mjini?
Kama hivyo ndivyo basi tambua mapenzi nayo ni kazi kama kazi nyingine yoyote...
Nimekuwa nasikia watu wakiongea EFD mara TRA wamepiga watu adhabu kuhusu EFD ila sina uelewa wa kutosha sababu mimi ni kweli nanunua bidhaa na kuna wakati napewa hizo risiti wanazosema za EFD na kuna wakati sipewi.
Swali langu kwa TRA na wajuzi ni wakati gani hizo risiti zinatolewa na wakati...
Napenda Kukiri kwamba mimi Ni mmoja wa watu wanaopenda Maendeleo ila Nachukizwa na Maendeleo yanayokuja baada ya kuuawa kwa watu yanaumiza sana watu wanabaki Mayatima na wengine Wajane inaumiza sana..
Itafika Kipindi wananchi watachoka Kuona uonevu huu Je tuko tayri kuona Wananchi wakireact na...
Habarini,
Katika harakati za kutafuta mkate wa kila siku, unaweza jikuta unafanya kazi ofisi moja na mdada mrembo, she is young, hana mtoto, hajaolewa, unafanya nae kazi ofisi moja, unarusha ndoano, mbaya zaidi kimoyomoyo unamchukulia serious, kipindi chote ulichokaa nae hapo ofisini, kwa tabia...
Kuna hizi bar hasa za daraja la kati na chini paka huwa wametamalaki wanakodolea macho, wanajipitisha kwenye miguu, wanangurumia wateja na wengine wanawarukia hadi kuwaparua wateja ili wawape nyama au samaki.
Sasa paka wenyewe huwa katika hali mbaya sana ya kiafaya, wengine wakiwa na chawa...
Nadhani ifike wakati serikali yetu hata kama ina wajinga wengi basi tutumie nafasi yetu kushauri badala ya kukosowa tu.
Mimi si mtaalam wa mambo ya ulinzi lakini naelewa fika nimezaliwa Dar gongo la mboto ilikuwa iko wilaya ya kisarawe ni shamba.
Sasa kuwepo kambi ya JWTZ kwa kipindi kile...
Sijui ni kiki au ndio kweli ila nimepata picha kuwa mambo ya kuwekana wazi au mlivyokutana mlibidi kukubaliana kuwa kazi ya mwenzake.
Imngeweza kuishi kama wafanyavyo wasanii davido na kwengine.Pili ingekuwa mimi barnaba kwa kweli ni aibu kesi yako kama mama mkwe kakutawala na mwanae.
Aisee...
Hiki ndo kizazi bora na ambacho kipo logically .
Ndo waasisi Wa kataa ndoa crew
Wanazaa kwa mpango
Wapo logically
Wapo na mental well being.
Be blessed , Golden generation.
Mimi kijana wa miaka 24 nasoma degree mwaka wa kwanza Dar es salaam. Naomba mnisaidie kazi kwa sababu najisomesha mwenyewe. Mimi hata nikipatiwa kazi ya kuingia kwa zamu sawa ila iwepo Dar es Salaam
Nitawashukuru sana jamani naomba mnisaidi namb zangu +255 772 525 607 hizo naomba mnisaidie...
Wakuu vipi,
Niliona Tangazo la kazi kupitia careerjet, la Curator, basi nkaomba maana application Yao ilikuwa so simple.
Hii kazi inaitaji uwe na laptop na bandle, unalipwa $0.15 per each link utakayo submit.
Naona mtu akikoma nayo anatengeneza pesa nzuri sana,lakini mie Sina uzoefu nayo ...