kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Aliyelikimbia Jeshi la Uganda (UPDF) atupwa gerezani miaka 35, mwingine afukuzwa kazi kwa kujipa likizo ya miaka mitano

    Pte Abraham Engwedu (kushoto) and Pte Stephen Jarili (kulia). Askari mwenye umri wa miaka 44 amehukumiwa miaka 35 jela baada ya kupatikana na hatia ya kuikimbia Jeshi la Ulinzi la Watu wa Uganda (UPDF). Mmoja wa wenzake ameukuzwa kutoka kwenye Jeshi baada ya kupatikana na hatia ya kutokuwepo...
  2. Enyimba

    JamiiForums Tanzania Kazi ya upishi

    Habari wanajamii naitwa Samwel Mayala ninatafuta kazi za upishi ninauzoefu wa miaka 19 katika tansinia ya hotel ninaishi Dar es salaam NInapika chakula Cha aina mbali mbali kama vile chakula Cha wachina,wazungu pamoja na chakula Cha kihindi Kwa mawasiliano zaidi namba zangu ni...
  3. Tman900

    JamiiForums Tanzania Pesa wanayolipwa Polisi Trafiki na wafanyakazi wa TRA haiendani na maisha yao

    Hawa watu wanaofanya kazi katika hizo sekta Mara kwa Mara huwa nakutana nao. Ila kinachonishangaza kwao, kwa pesa wanazopata ukiondoa mishahara wanayolipwa hawa jamaa, wanapata pesa nyingi sana. Sasa maendeleo Yao na Pesa wanazopata haviendani, pia usiombe ukutanenao ukiwa na mzigo, kweli...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Kijana wangu amepata kazi Shirika la Good Neighbors na Halmashauri, aende wapi?

    Ni kitinda mimba wangu. Amepata kazi Serikalini kwenye Halmashauri moja Mkoani Shinyanga na pia kwenye Shirika linaitwa Good Neighbors Tanzania. Mishahara ni kama inalingana, aende wapi? Naomba ushauri wapendwa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Unahitaji miaka mingapi ili ufanikiwe kupitia kazi yako?

    Haya nimejifunza mimi kupitia shughuli zangu na kuwaona pia wengine kwenye shughuli zao. Mafanikio ni mchakato na kila kazi ina njia zake kuna kazi zinamafanikio ya haraka na hata kupotea huja kwa haraka sana kupitia kazi zangu tatu ninazofanya nimejifunza haya. 1. Biashara, hii ni kazi ngumu...
  6. Enyimba

    JamiiForums Tanzania Kwa yeyote anayehitaji Chef nipo hapa

    Habari za Jumapili, Kwa yoyote anayehitaji chef tuwasiliane 0744054228/0657642225
  7. G

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na chini ya milioni 100 ni heri uiweke fixed account, Kujenga nyumba ya kukodisha ni ngumu kupiga hatua

    Umenunua kiwanja ukaanza kujenga nyumba from scraatch kwa milioni 100 unakuja kukodisha kwa laki 2 na nusu, hicho kiasi ni ngumu kukupigisha hatua, ni pesa itayokuwa inaishia kwenye bills za mwezi, hapo kumbuka kuna muda nyumba inaweza isiwe na mpangaji ama mpangaji akawa msumbufu, Ukiweka pesa...
  8. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG, Kazi Inaendelea ya Kufuja Fedha za Umma

    Maeneo kumi (10) muhimu katika Uchambuzi wa Ripoti ya CAG mwaka 2022/23. Kama ambavyo tumekuwa tukifanya kila mwaka, uchambuzi wetu mwaka huu utajikita kwenye mambo kumi (10) ambayo tunaona ni muhimu Watanzania kuyatambua na tutayatolea mapendekezo ili yaweze kuchukuliwa hatua. Katika...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kazi za ukurugenzi kwa ngazi zote ziwe za kuomba nsio kuteuliwa

    Tatizo tumekuwa na kazi ambazo zinahitaji uwezo wa kusimamia miradi na budget mbali mbali za maendeleo. Lakini tunaweka makada ambao wengi wamezoea kupiga domo kucha kutwa bila kufahamu chochote kuhusu uongozi. Hii imesababisha nchi zima na kila idara kuwa ya machawa na watu wasio jielewa...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Vijana wa siku hizi ni wavivu na wanachagua kazi

    Jamani wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema. Nimeona ndugu yangu Mlundilwa Jr kaandika uzi wake akisema alimwambia dogo atoe elf20 lakini akagoma akasema bora atafute mwanamke aimalizie huko. Sitaki kujua ni stori ya kweli au ni uongo, lakini uhalisia upo hivyo. Sasa hivi kwa tunaoishi...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Taasisi za Umma zinatangaza mashindano/kazi ya ubunifu wa nembo zao mpya kwa wabunifu halafu wanapotelea mitini na hawabadili

    Mfano mwaka 2017 Jumuiya ya Afrika Mashariki ilitangaza shindano la Ubunifu wa Nembo yake mpya kwa wabunifu mbalimbali, wa vyuoni na wa mtaani, walitangaza mshindi atapatikana mwaka unaofuata, lakini mpaka leo 2024 hawajabadilisha. Taasisi nyingine ni TPDC na TARURA
  12. Malaika Gabrieli

    JamiiForums Tanzania Anatafuta kazi ama shughuli yoyote, inayohitaji vyeti ama isiyohitaji vyeti.

    Habari wakuu. Nipo na binti wa miaka 25, ni mkazi wa Wilaya ya Dodoma mjini Kata ya Ihumwa. Elimu yake ni Stashahada ya mahusiano kazini kati ya mwajiri na mwajiriwa (diploma in industry relation/labour relation.) Mwaka 2020 alihitimu na kufanya mafunzo ya miezi6 katika ofisi ya tume ya uamuzi...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Musukuma: Kikokotoo cha 33% kitazalisha Watumishi wezi, hawatajli tena kazi

    DODOMA: Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma amesema Setikali inatakiwa kufanyia kazi malalamiko ya Watumishi kuhusu suala la Kikokotoo cha 33% vinginevyo wataanza kuiba kwasababu wanajua wakistaafu hawatalipwa mafao yao yote. Amesema "Kuna vitu vinazungumzwa tunaona kama haviwaumizi...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Huyu aliyeelekeza magari ya serikali kupaki saa kumi na mbili ana maana gani?

    Leo imetolewa hoja kwamba magari ya serikali yapaki saa kumi na mbili. Unajiuliza hawa watu wanapotoa haya matamko wanashindwaga nini kufanya tathimini? Nchi hii inawaza kuendesha shughuli zake masaa ishirini na nne; Mama anawaza kuona soko la Kariakoo linafanya kazi masaa ishirini na nne...
  15. SteveJr99

    JamiiForums Tanzania Mume kumsaidia mke kazi nyumbani siku ambayo haendi kazini ni wajibu au hiari?

    Tunajua wanaume ni viongozi na vichwa katika familia zetu na majukumu ya mwanamume na mwanamke huwa yanafahamika vizuri tu ndani ya nyumba. Sasa ni kwanini siku ambayo mwanamume akipumzika nyumbani yaani haendi kazini mwanamke analazimisha kwamba umsaidie kazi na usipofanya ananuna hii...
  16. Makox

    JamiiForums Tanzania Nilitengenezewa zengwe na mzazi wa mwanafunzi mpaka nikafukuzwa kazi

    Ninawasalimu kwa heshima za hadhi zote ndugu zangu wa JF. Kwa heshima kubwa ninawashukuru sana kwa mawazo yenu yote juu ya maada niliyoileta kwenu iliyosema "NILITENGENEZEWA ZENGWE NA MZAZI WA MWANAFUNZI MPAKA NIKAFUKUZWA KAZI". Nimeona nisikae tu kimya bila kuwafahamisha...
  17. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kazi yako inapokuwa burudani yako!

    Haitakuchosha! Hautahitaji kusimamiwa! Matokeo yanaweza kuwa kama ya huyu Mchina!
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni nini hasa kazi na umuhimu wa kuvaa nguo za ndani?

    Ni nini chimbuko la uvaaji nguo za ndani.. Zililenga kusaidia nini? Na mpaka wa sasa zina imuhimu gani?
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais wetu, fahari yetu, kazi iendelee

    Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan. Ni mwenye kusikia kama Jina lake linavyosadifu, amesikia kero za wananchi wake na amezitatua kwa kiwango kikubwa na bado anaendelelea amehakikisha kero za Elimu, afya na Lishe, maji, miundo mbinu, biashara na viwanda, Utunzajiwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kinachosababisha watu wengi kuharibu maisha ya watu makazini ni wivu, uchawi na kufuatilia maisha ya mtu ambayo hayana mahusiano na kazi mnayofanya

    Utasikia huyu jamaa anakunywa kila siku. Wewe inakuhusu nini? Utasikia jamaa huwa haishiwi hata katikati ya mwezi. Shida yako nini? Utasikia jamaa mtaani anamdemu kibao. Tatizo nini? Dili na masuala yanayokuunganisha na mtu kwenye kazi sio maisha yake binafsi kiasi cha kumuonea wivu na kumroga.
Back
Top Bottom