habari za muda huu ndugu zangu, mimi kijana wenu mkazi wa Ubungo, Dar es salaam na muhitimu wa shahada ya habari mawasiliano na biashara (IT with Business) mwaka 2020. Nimejikita zaidi kwenye web application na graphics design. Nilikuwa naomba msaada wenu wa kuniwezesha kupata kazi iwe kazi...