kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi Arusha mjini au Moshi mjini, Mimi nipo iringa

    Mimi ni kijana mwenye umri 28 nipo iringa ni fundi sofa na vitanda vya sofa kwa pamoja, najua kutumia cherehani na kukata vitambaa kwa jiri ya kushonea sofa, hivyo kama Kuna mtu anahitaji mtu wa kazi iyo naomba anitumie ujumbe, inbox kwa mawasiliano zaidi, hata kama ipo kazi nyingine yoyote...
  2. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Waandishi wa habari kama kuna kasoro andikeni Serikali itafanyia kazi

    Akijibu maswali ya waandishi wa habari mbali mambo mengine bwana Msigwa aliwaambia waandishi hao kuwa kama kuna kasoro waandike na serikali itafanyia kazi. Mojawapo ya kasoro kubwa ambayo ipo na vyombo vya habari vya Tanzania haviandiki, havisemei au hata kufanya uchunguzi (documentary) ni...
  3. JamiiForums Tanzania Hamna kazi ya mwanadami isiyo na kasoro

    Hakuna kazi ya mwanadamu isiyo na kasoro (inayokamilika kwa asilimia mia moja). Kasoro ni matokeo ya asili yetu ya kibinadamu ya kutokamilika, uchovu, na mipaka ya ufahamu wetu. Hata hivyo, ukweli huu unapaswa kuwa daraja la kujifunzia badala ya chanzo cha kukata tamaa. Unaweza kuangalia...
  4. JamiiForums Tanzania Nahitaji dada wa kazi

    Hello! kama uko na mtu anahitaji kaz za ndan naomba nicheki, location ni pemba,
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nina leseni ya uchimbaji wa madini natafuta mwekezaji ambaye hana tupige kazi

    Wakuu anayehitaji leseni ya uchimbaji madini aje tupige kazi atakuwa ananipa 30% ya kitakachopatikana
  6. A

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa BCEG Mbezi Beach tunashukuru Mamlaka Kufanyia Kazi Malalamiko yetu

    Siku chache zilizopita tuliwasilisha malalamiko kuhusu changamoto tulizokuwa tunakumbana nazo katika eneo letu la kazi la BCEG Mbezi Beach, ikiwemo madai ya makato ya michango ya NSSF kutowasilishwa pamoja na masuala mengine ya ustawi wa wafanyakazi. Hoja ya awali ~ Waziri wa Ujenzi na RC wa...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania hata mwenyekiti wa mtaa anataka ashinde ofisini muda wote badala afanye kazi zingine haya sasa ToneTone imekoma leo rasmi.

    Hii mentality ya kuishi kupitia siasa kula kupitia mikutano ya Hadhara ifikie mahali iondolewe hasa kwa hawa wanasiasa wanaotegemea wale kupitia kapu la donation. Wewe mwanaume unaishije kwa kutembeza kikapu? Ipo siku utajiuza kwa mabeberu ila mostly mmeshajiuza Mfano wewe kama mwenyekiti wa...
  8. JamiiForums Tanzania Kumuelewa mwanamke ni kazi kweli kweli

    Hichi kitu nikikifikiria bado majibu hayaji kichwani. Mwanamke unakuaje katika mahusiano ya dhati na mtu wako huenda mnapendana sana tu lkn huku nje mkiombwa namba mnatoa tu safi,na baadhi yenu mnarespond kila kitu kweli kuwatetea dada zetu ni kazi hatujuwi tuwaweke fungu lipi?
  9. D

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi procurement Officer (urgently)

    Anatafutwa afisa manunuzi mwenye masters ya procurement au mwenye Cheti cha CPSP. Ni issue ya haraka na hakuna gharama zozote za malipo. Mwenye vigezo na uhitaji aje DM haraka Asante.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kuoa sio kazi shida mahari. Mnazo tupimia vijana nyie wazazi muwage. Mnafikiria

    Wazee, ipo hivi; kuna vijana tunahitaji sana, tena sana, kupata familia au kuanzisha familia na wenza wetu tunaowapenda. Shida inaanzia pale mzazi, yaani mkwe, unaponipimia mahari kama vile unanikomoa. Yaani sijui huwa mnafikiria kiukweli au huwa mnaamua tu kuropoka. Mnatufanya tuendelee kuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya fundi mechanic magari makubwa

    Tunatafuta Fundi Magari Makubwa mwenye uzoefu wa kutengeneza Engine na Gearbox za malori na magari makubwa, hususan yale ya Kichina. Sifa zinazohitajika:
• Uwe na uzoefu wa kutengeneza engine za malori na magari makubwa.
• Uwe na uwezo wa kufanya matengenezo na overhaul za gearbox.
• Uwe...
  12. JamiiForums Tanzania Damu ndio sarafu pekee ya kulipia huduma zote zinazotolewa katika ulimwengu wa roho (Damu ya Yesu ilifanya kazi hiyo)

    Mathayo 26:26–29 Walipokuwa wanakula, Yesu alitwaa mkate, akabariki, akaumega, akawapa wanafunzi wake, akasema, “Twaeni mle; huu ndio mwili wangu.” Akakitwaa kikombe, akashukuru, akawapa, akisema, “Nyweni nyote katika hiki; kwa maana hii ndiyo damu yangu ya agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi...
  13. JamiiForums Tanzania KUNA BINTI ANATAFUTA KAZI YA DUKANI

    Iwe Duka La Jumla Au Reja Reja Ana Miaka 23 Elimu Ya Chuo Sema Ajira Ndo Alikosa Anatafuta Kazi Ya Duka La Jumla Au Reja Yupo Dar Mawasiliano Namna Ya Kumpata 0798461717
  14. JamiiForums Tanzania KUNA BINTI ANATAFUTA KAZI YA DUKA

    Iwe Duka La Jumla Au Reja Reja Ana Miaka 23 Elimu Ya Chuo Sema Ajira Ndo Alikosa Anatafuta Kazi Ya Duka La Jumla Au Reja Yupo Dar Mawasiliano Namna Ya Kumpata 0798461717
  15. JamiiForums Tanzania Hizi ndiyo Kazi zinazowafanya watu wasiwe na furaha zaidi nchini Marekani

    Kuridhika na kazi si swala la mshahara pekee. Tafiti mbalimbali zimeendelea kuonesha kuwa mambo kama vile viwango vya msongo wa mawazo, usawa kati ya kazi na maisha binafsi, ubora wa uongozi, na mazingira ya kila siku ya kufanyia kazi mara nyingi huchangia kwa kiasi kikubwa zaidi katika kuamua...
  16. JamiiForums Tanzania Tatizo la Vijana Omba omba mitandaoni ni kubwa sana fanyeni kazi

    Nina Mwaka sijaingia Jf Kwakuwa nilikuwa busy nimeingia nakupa SM zaid ya 200 hivi kwanini msifanye kazi ? Unamuombaje hela mtu mtandaoni ambaye humjui
  17. JamiiForums Tanzania Naombeni Kazi ili nipate pesa. Sichagui kazi

    Ndugu zang mm ni mtu wa kazi kazi ilimradi pesa,,,,napenda kuwaomba ndugu zang wana JF kama kuna kazi yyte ya kibarua mimi nipo tayari kuifanya,,,,au Kama kuna connectio au mchongo wa kuingiza pesa mm nipo..namb zang no 0634362673
  18. JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi Morogoro Mjini Mshahara 180,000/= + Internet ya bure

    Anahitajika binti mwenye uwezo mkubwa wa kutumia simu na computer. Ofisi yetu inafanya kazi 2 ambazo ni kutoa huduma ya internet Morogoro mjini na kukata tiketi za treni ya SGR. Anahitajika mdada smart anayefahamu kutumia computer na simu vizuri, awe sharp na asiye na hasira za hapa na pale...
  19. JamiiForums Tanzania Rasmi: Watanganyika waanza kuzuiwa kufanya kazi Zanzibar

    Watanganyika wote walioko Zanzibar ni tumbo Joto. Waanza kuzuiwa kuingia Ofisini kufanya kazi. Iinadaiwa wanafanya kazi za Wazanzibar na Vijana wa Zanzibar wanakaa jobless. MY TAKE Watanganyika tukijibu watavuka kurudi Zanzibari kwa kupiga mbizi. Wazanzibar wajinga, wamesahau Mchanga wa...
  20. JamiiForums Tanzania Naombeni kazi ya Guest house

    Kama uko na nyumba ya wageni na unahitaji mfanyakazi Niko hapa, nitafanya kazi zote, na Seriously ndani ya miaka miwili utajenga guest nyingine. Mtu seriously pekee anicheki
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…