kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Fundi pikipiki natatuta kazi

    Habari ya uzima. Mimi ni fundi pikipiki mzoefu wa muda mrefu natafuta kazi kwa sasa nipo DSM Natengeneza pikipiki za aina zote
  2. Vitu kama vyeti vya kuzaliwa na barua ya maombi ya kazi vimepitwa na wakati kwenye mfumo wa kuajiri

    Kijana ana NIDA/NIN ambayo ina details zote muhimu. Kitambulisho cha NIDA hakijaandikwa vitu vingi ila kwenye database ya NIDA Kuna taaarifa zote za huyo kijana. Sasa cheti cha kuzaliwa cha nini tena? Kuna usaili, huko pimeni writing skil na speaking skil. Barua ya nini huku tumehamia digital...
  3. AI (Akili Mnemba) itaua kazi za watu, sijui wasomi watakosa kazi aah wapi. Indispensable human on the loop

    AI inao uwezo wa kujichanganya, tuwe makini asee. Leo katika kuchakata swali moja la kitafiti la kutenganisha bidhaa zilizomo katika pombe nikagundua. Ili kuzitumia taarifa zilizopo katika mfumo ni muhimu uwe na elimu kuhusu jambo hilo kiasi. Ndio maana siku zote mifumo inahitaji kushirikiana...
  4. Naomba kujua kazi ya kulijuani na matokeo yake

    Wanajamvi kichwa cha habari kinatosha. Anayejua kuwa inatengenezwa kwa mazumuni yapi tu na matokeo yake yakoje na kwa muda gani. Comment 👇🏻
  5. Ukweli Usemwe: Baadhi ya Wanawake wazuri wanasumbuliwa na UTI sugu

    Huu ni ukweli ambao wapiganaji wengi wanaogopa kusema kwa uwazi. Usiombe ujichanganye hovyo nyau nyau kwa pisi kali. Azuma haifanyi kazi kwa UTI ya kali jichunge, naishia hapa mtaongeza ushuhuda wenu. Jipende jilinde Chief Wadiz a.k.a Chief Mapenzi
  6. M

    Kwanini Mwanaume akiweka bikira kigezo cha kuoa anapondwa, ila Mwanamke akisema anataka mchumba awe na kazi nzuri, pesa hapondwi?

    Habari wadau Kwenye swala la kuoa. Jamii inataka mwanaume awe na kazi, pesa na wengine nyumba na hata gari awe nayo. Kabla hajaoa Lakini mwanaume akisema anataka kuoa mwanamke ambaye ni bikira. Jamii inamshangaa Mwanaume huyo na Anaonekana hana maturity. Kwa nini Mwanaume anaeweka bikira...
  7. Mo Dewji vunja benki, tafuta striker wa maana umalize kazi uliyoianza

    Leo sitasema sana maana yanayotakiwa kusemwa nimeshayasema kwa siku kadhaa sasa zilizopita. Baada ya hongera nitaongeza neno moja tu kwa Mwekezaji Mo Dewji. Baada ya usajili mzuri ambao kiukweli unaridhisha sana na kabisa unaona watu wa maana wanaojua mpira walikaa chini wakapanga kujenga timu...
  8. Hiyo kazi yako utafika nayo uzeeni au ukifika uzeeni unatafuta nyingine?

    Kuna kazi ambazo kuna umri ukifika ni lazima uiache kila kazi na umri wake. Mfano mpira wa miguu mara nyingi ni mwisho miaka 38 Kuna kazi ambazo ni lazima utaicha mapema na kwenda kutafuta kazi ya kumalizia uzee wako Mfano Kukwea mlima Ufundi wa kupaua Udada poa Ukonda wa dala dala Kazi...
  9. Msituite kwenye Interview (Usajili) kama mshaandaa majina mtakaowapa kazi

    Wengi tunatumia pesa na gharama kubwa kwenda kwenye Interview na tunaambulia patupu kwakuwa Kuna majina ya watu wenye connection zao tayari yapo Tunaenda kwenye Interview kupigania kitu ambacho hakipo kitu ambacho tayari kilishakwisha ila ni geresha tu Beautiful country some people Wana...
  10. Ukiwa Boss kazi inapotokea wafanyakazi hawana maelewano

    Ukiwa Boss kazi unakuta wafanyakazi wako hawapendani halafu wote wanaumuhimu kwako , ukiona mtu kaisimamisha biashara au kampuni ikasimama vizuri mpe ratings zake za kutosha . Inapotokea wafanyakazi wako hawapendani inakupa ugumu umuache nani ubaki na nani wakati wote...
  11. H

    Jinsi ninavyotumia MS Word + AI kurahisisha kazi

    Siku kadhaa zilizopita nilikuwa na kazi nzito sana ya kufanya translation ya pages zaidi ya 1,000 ndani ya wiki moja, kwa kawaida ilikuwa sio rahisi hivyo niliamua kutengeneza script kwa kutumia VBA, php kwenye upande wa server na kuunganisha API za OpenAI na GeminiAI ili ziweze kunisadia kazi...
  12. A

    KERO Ubovu na udhaifu wa mfumo wa Ajira Portal

    Habari, mfumo wa ajira portal umekua kero kwa watumiaji kwani endapo kuna kosa basi mfumo hauna optiona ya kufuta kosa hilo (hasa kipengele cha accademic qualification) pia ukiwapigia simu hawapokei unapata ujembe the caller is busy ama wanakuwekea vijinyimbo vya hovyo huku ukipoteza salio lako...
  13. B

    Natafuta kazi Wakuu

    Habari zenu Wakuu. Jamani kama amekosekana wa kunishika mkono kupata KAZI) Kibarua, Tafadhali nisaidieni majina na location ya viwanda ambavyo wanapokea vibarua. Nawaomba sana, Nikipata kazi ya kulipwa kiasi chochote kulingana na uwajibikaji wangu watakavyoona. Naishi Dar es salaam, Ni fresh...
  14. B

    Naomba connection ya kazi

    Habari zenu Wakuu. Jamani kama amekosekana wa kunishika mkono kupata KAZI) Kibarua, Tafadhali nisaidieni majina na location ya viwanda ambavyo wanapokea vibarua. Nawaomba sana, Nikipata kazi ya kulipwa kiasi chochote kulingana na uwajibikaji wangu watakavyoona. Naishi Dar es salaam, Ni fresh...
  15. Tujikumbushe Kauli hii ya Rais Samia Atafanya Kazi na TLS ya Aina Gani? Hizi ni Salaam kwa Mwabu,. Swali ni is He A Bow Down Type or a Stand Firm?.

    Wanabodi, Wakati tukisubiri salaam za pongezi za mihimili kwa rais mpya wa TLS, sio vibaya tujikumbushe kauli hii ya Rais Samia atafanya kazi na TLS ya aina agani! https://youtu.be/fZ7MWhPeyko?si=LtHTK8wfeAXMAtun Hizi ni kama salaam kwa rais mpya wa TLS, Wakili Boniphase Mwabukusi . Swali nI is...
  16. PreGE2025 Mbunge Abubakari Asenga, wana Ifakara hatukukutuma kupiga magoti, kuanzia leo tafuta kazi nyingine hutufai

    MBUNGE wetu sisi wana IFAKARA hatukukutuma kupiga magoti. Kuanzia leo hii anza kutafuta kazi NYINGINE maana kwa ubunge basi. Mbunge Abubakari Asenga ameonekana akipiga magoti kushukuru KUJENGEWA barabara ya lami kutoka Kidatu hadi Ifakara. Siamini kama mbunge kama huyu anajua wajibu wake hapo...
  17. Taifa la Israel linalindwa na Mungu (Mungu hufanya kazi pamoja na wanadamu)

    Kuna watu kwa sababu ya kukosa maarifa huwa wanapinga ulinzi wa Mungu juu ya Israel. Wanadai Israel ailindwi na Mungu lakini inalindwa na MAREKANI, ulaya, UINGEREZA. Nataka kulifafanua hili. Mungu haonekani kwa macho ya mwili wa mwanadamu. Ila ameweka kanuni. Utaratibu wa Mungu hapa duniani ni...
  18. Boniface Mwabukusi aapishwa kuwa Rais wa TLS. Aanza kazi rasmi

    Wakili Mwabukusi aapishwa rasmi kuwa Rais wa chama cha Wanasheria Tanganyika. Wakili Boniface Mwabukusi ataendesha chama cha Wanasheria Tanganyika kwa Miaka mitatu. Uapisho huo umefanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma. Wakili Boniface Mwabukusi alitangazwa kuwa Mshindi wa...
  19. Mkandarasi aliepewa kazi ya ujenzi wa BRT phase 4 kutoka Mwenge hadi Tegeta, anyang'anywe haraka sana kabla hajatupotezea muda

    Niaje waugwana, Huyu mkandarasi haijulikani alipewa tenda hii ya ujenzi BRT phase 4 kutoka Mwenge hadi Tegeta kwa sifa zipi. Toka tarehe ya ujenzi wa barabara hiyo ilipotangazwa kuanza, hadi leo ni miezi sasa, lakini jamaa utafikiri ndio kwanza wana siku 3 tu. Hakuna hatua yoyote ya maana ya...
  20. Sio kazi yako kuwa kila kitu kwa kila mtu.

    Hapa sasa inatakiwa kuwa na Mipaka katika maisha yako. Kila shughuli umo tu, Kila mtu akikosa mtu wa Muhimu anakutumia wewe sasa kuziba pengo. Ukiitwa mahali kuna shughuli unaenda yani wewe hata kama ulikua unafanya kitu cha maana unaacha unakimbilia unakoitwa. Mtoto anaumwa baba au mama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…