kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Mungu hufanya kazi kupitia watu na hao watu waweza usiwafahamu ila wapo i call them God's messenger.

    Ijumaa Kareem Unaweza kuwa karibu na watu wenye kila aina ya fursa ,mawazo chanya, kujitoa , Ila wasifanikiwe kukupa hayo mawazo chanya, wala kujitoa kwako wala kukupa fursa. Kuna wakati Mungu Anasema na wewe Ila kupitia watu wengine na sio hao ambao wapo karibu yako. Mwaka Jana nilienda...
  2. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Wengi hawajui maana ya CHATGPT na inavyofanya kazi. Soma hapa

    CHATGPT inasimama kwa "Chat Generative Pre-trained Transformer." Hii ni teknolojia ya akili bandia inayotumika kutoa majibu ya mazungumzo, kama vile tunavyozungumza sasa. Inategemea mafunzo yaliyofanywa kwenye data nyingi za maandiko ili kujua jinsi ya kujibu maswali na kujenga mazungumzo ya...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi: Sales and marketing Associate

    We are a building material company supplying high quality building materials Role Description This is a contract hybrid role for a Sales Associate . The Sales Associate will be responsible for day-to-day sales tasks, including prospecting, client meetings, and closing deals. The role is for...
  4. Makungu charles

    JamiiForums Tanzania Je wajua kuhusu Super charge na turbo charge jinsi zinavyofanya kazi

    Super charge ni kifaa kinachofungwa kwenye exhaust manifold kwa ajiri ya kuongeza nguvu ya utoaji wa hewa chafu nje ya injini baada ya kuunguzwa kwa mchanganyiko wa hewa na mafuta.Lakini Turbo charge ni kifaa kinachofungwa kwenye intake manifold kwa ajiri ya kuongeza nguvu ya uingizaji wa hewa...
  5. Satirical Yet Awesome

    JamiiForums Tanzania Hizi Settings za 'Status Privacy' za Whatsapp zinafanya kazi kweli?

    Habari 👋 Moja kwa moja kweny mada. Aisee, Leo nimeyakoroga, leo majira ya mchana kabla ya kuweka status kuna mtu nilim-hide kweny option settings za "status privacy", then nikapost, alaf nikazima data nikaendelea na shughuli zangu. Asaiv nimerudi home nimewasha data nakuta message kibao za...
  6. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Kufanya biashara na wajasiriamali ni kazi ngumu sana

    Hizi ndo hints; 1. Wengi wao wanahali mbaya 2. Wengi wao hawana ela 3. Wengi wao huwa wanahisi wanataka kuibiwa muda wote ingawa hawana cha kuibiwa 4. Wengi wao ni walalamishi. 5. Wengi wao mpaka anunue kwako ujue wamekosa mwingine, yaani wamehangaika Sana. MTU yupo radhi aagize kitu china ili...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TRA: Tumepokea maoni kuhusu changamoto za Mfumo wa TANCIS, yanafanyiwa kazi

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kutoa maoni kuwa Tovuti mpya ya mfumo wa TANCIS unasumbua tangu ulipozinduliwa Januari 20, 2025, maoni hayo yamepokelewa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). TRA ilizinduwa mfumo huo na kueleza una maboresho na utakaosaidia kurahisisha uondoshaji wa Hivi...
  8. Optimists

    JamiiForums Tanzania Karibuni kwenye Kazi ya ualimu, lakini usiwe na matarajio makubwa

    Naongea kutokana na uzoefu kidogo, nineona kwenye interview vijana wakipanga mistari mirefu kupambania ugali wao, wengine wamekaa mtaani zaidi ya miaka 10, na bado wapo wanapambana kwenye usahili, Utakapo pata nafasi ya kuingia kwenye ajira, Moja Kwa Moja na utakutana na watu uko kazini wakiwa...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Live From Ukumbi wa FCC Dar es Salaam: Kikao Kazi cha Baraza la Ushindani, FCC na Wahariri wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF

    Wanabodi Niko hapa Ukumbi wa FCC jijini Dar es Salaam, kuwaletea live ya Kikao Kazi cha Baraza la Ushindani, FCC na Wahariri wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF. Hivi sasa Mkurugenzi Mkuu wa FCC, William Erio, anazungumza Karibuni sana. Paskali
  10. Knock life

    JamiiForums Tanzania Hawa wabongo ndugu zetu waliokuwa wanalipwa dola na kutembelea DFP ulikuwa ukimuomba kazi anakuletea dharau sasa kiko wapi?

    Kuna Dada mmoja wa JF alikuwa anjiita HR nilimuomba E-mail kipindi nipo chuo mwaka 2010 nilikuwa namalizia diploma Alinikazia na kuninyima sasa huwa namsalimia Mara Kwa Mara Baada ya zuio la trump amekuwa mpole Sana . So acheni hizo nyie waswahili Leo mnarudi mtaani Kuwa jobless Kiko wapi
  11. Kalamu Nzito

    JamiiForums Tanzania Nina shahada ya sheria, natafuta kazi.

    Habari wana JF Nimesugua benchi kwa muda sasa. Natafuta ajira. Elimu yangu ni shahada ya sheria. Kazi sio lazima iwe ya kisheria. Tafadhali mwenye kuguswa naomba tuwasiliane kwa email moderncentury5@gmail.com kwaajili ya CV yangu. Asanteni sana!
  12. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Mungu ni mwema hatimae nimemaliza kazi salama

    Nashukuru wanajamii forum Kwa kuniombea nimemaliza kazi salama nimeona kweli hii forum ni kama familia asanteni sana wakuu tuendelee kupendana humu milele hatujuani Kwa sura ila tuendeleze upendo ndugu zangu
  13. Quimica

    JamiiForums Tanzania Dr.Ndugulile angelitakiwa kuanza kazi leo

    Moment of Silence katika Mkutano wa 156 wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kumkumbuka Mkurugenzi Mkuu Mteule wa WHO AFRICA, Marehemu Dkt. Faustine Engelbert Ndugulile. Leo ni siku ya kihistoria, ambapo kama Dkt. Faustine angekuwa hai, angelipitishwa rasmi na kuanza majukumu yake kama Mkurugenzi...
  14. SubTopic

    JamiiForums Tanzania Je, naweza funga LnB ya dstv kwenye kisimbuzi Cha Azam ama LnB ya Azam kwenye kisimbuzi Cha dstv na ikafanya kazi?

    Je, naweza funga LnB ya dstv kwenye kisimbuzi Cha Azam ama LnB ya Azam kwenye kisimbuzi Cha dstv na ikafanya kazi?
  15. pantheraleo

    JamiiForums Tanzania Dodoma: NEMC Kanda ya kati, kufanyia kazi Malalamiko kuhusu athari za sauti. Imekagua na kutembelea miradi 603 ya uwekezaji

    Dodoma: BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Kanda ya Kati kwa kipindi cha Julai, 2024 hadi Januari, 2025, limekagua na kutembelea miradi 603 ya uwekezaji katika Mikoa ya Dodoma, Iringa na Singida ikiwa ni asilimia 75 ya makadirio kwa mwaka 2024/25. Kaimu Meneja wa NEMC...
  16. oooza

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Niendelee kubaki Private institution au niende nikafanye kazi ya mtu binafsi

    Habarini wana jamvi. Kutokana na vijana wengi waliopata nafasi za kuajiriwa kwa mikataba ya muda maalum katika mashirika binafsi hujikuta kuendelea kuomba nafasi sehemu zingine huku wakiwa bado wapo katika mikataba yao ya awali. Binafsi nimejikuta nimesomea fani ya Ujenzi nikiwa chuo as a...
  17. Sumu ya nyigu

    JamiiForums Tanzania Kuhama kituo Cha kazi

    Naomba msaada wa maelekezo jinsi ya kuanzisha mchakato wa kuhama kituo Cha kazi na changamoto zake kwenye mchakato. Ahsante
  18. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Nawatia moyo JWTZ, kifo ni matokeo yasiyokwepeka kwenye kazi yao; wakiua mmoja, ongeza Battallion moja

    Huo ni mchezo maarufu sana unaojulikana kama Chess. Ni mchezo ambao ukizoea kuucheza sana, utaitengeneza akili yako kuwa mtu wa mikakati zaidi kwa wakati wote. Kuna mafunzo mengi sana unaweza kujifunza kwenye mchezo wa chess, mojawapo ikiwa ni 'sacrifice' and 'trade off'; ili ushinde mchezo...
  19. kwisha

    JamiiForums Tanzania Canada yakataa kusalimu amri kwa Rais Trump kuhusu ushuru wa 25%

    Rais wa Marekani, Donald Trump, alitangaza kuwa anapanga kuweka ushuru wa 25% kwa bidhaa kutoka Canada na Mexico, pamoja na ushuru wa 10% kwa bidhaa kutoka China. Trump alieleza kuwa hatua hii inafanywa kama njia ya kulinda mipaka ya Marekani dhidi ya uhamiaji haramu na madawa ya kulevya ambayo...
  20. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Kama waziri hapati nafasi kuonana na boss wake unaweza kupata picha nia,dhamira na utendaji kazi wa ufalme huu

    Kiongozi yeyote ambaye sio humble, anayejitengenezea ufalme, asiyejishusha kwa watendaji wake wakuu katika serikali yake, hafai hata kidogo! Atajikweza na kujiweka mbali na wananchi wake, Kamwe hatoweza kujishusha isipokuwa wakati wa uchaguzi. Kiongozi anayejisikia, kujiona, kujipa uthamani...
Back
Top Bottom