kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Fundi selemala mwaminifu Na vijana wawili wa kufanyanae kazi kwenye Workshop.

    Habari. Kama kichwa cha habari kinavyojielezea.Natafuta fundi mzuri na mwaminifu anaweza kutengeneza Kabati.Showcase.dressingtable nakuendelea. Pia vijana wawili ambao watakuwa kama wasaidizi wake.Ima wawe wanajua ufundi au hawajui ilimradi wawena moyo wa kujifunza. Ofisi ipo Chanika na...
  2. Hharyson

    JamiiForums Tanzania Rate our work on this mansion

    Rate our work on this mansion ukipenda kazi zetu call us +255624004650
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je, Una Biashara au Kazi Iliyofichwa?"

    Ethan alikuwa na ndoto ya kuwa bosi wake mwenyewe. Baada ya miaka mingi kufanya kazi ya 9 hadi 5, hatimaye aliamua kuanzisha kampuni yake ya usanifu wa michoro. Mwanzoni, ilikuwa ya kusisimua—wateja walikuja, pesa zikaingia, na alijivunia kuwa mmiliki. Lakini kadri muda ulivyopita, Ethan...
  4. youngkato

    JamiiForums Tanzania Unafanyaje ili mteja au client aendelee kufanya kazi na wewe

    Unafanyaje ili mteja au client aendelee kufanya kazi na wewe? Ili brand yako ikue ni lazima upate wateja wapya na wateja waliopo waendelee kufanya kazi na wewe. Huwa natumia hizi njia kumfanya mteja aendelee kufanya kazi na mimi.. Tunatumia gharama sana kupata wateja..! Tunatumia nguvu sana...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kazi

    Kazi.Habari natafuta kazi yoyote npo dodoma nna miaka29 elim nna degree ya development studies.experience nna ya miaka mitatu ya kufanya kaz kam sales officer bank
  6. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Kutafuta Kazi ya Ndoto: Kupenda Ulichosomea au Kuendana na Soko?

    Kuna pressure kubwa sana kwa vijana wa siku hizi kuhusu kazi. Ukimaliza chuo, wazazi na jamii wanataka uingie kwenye ajira fasta. Lakini hapa kuna dilemma moja kubwa: Unatafuta kazi unayoipenda au unafuata kile ambacho kinalipa? 🤔 Team "Nifanye Kazi Ninayoipenda" ❤️ Kuna watu wanaamini kabisa...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mratibu wa Uandikishaji Dar: Wakala wa Chama kazi yake ni kutazama sio kunakili majina ya wanaojiandikisha kwenye Daftari la Wapiga Kura

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika hoja yenye kichwa cha habari “Wakala wa CCM anayeandikisha majina kwenye kituo cha kupiga kura anapeleka wapi majina hayo? Ndio utaratibu wa Tume?” na kufafanua jinsi Wakala wa chama alivyokuwa akichukua majina ya wanaojiandikisha, ufafanuzi...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Ukisikia majaribu ndio haya, yupo degree mwaka wa pili, kaitwa kazini serikalini kazi ya Diploma, aghairi au aende ?

    Majaribu ndio hayo wakuu, Dogo ana miaka 23, mwaka 2020 matokeo ya form 4 yalitoka akiwa na division 1, wengi walidhani ataenda advance ila haikuwa kwenye mipango yake, alienda chuo. alipoingia degree alibahatika kupata mkopo (anakula boom) Kimasihara aliomba ajira kwa cheti chake cha...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Anaye kukopesha ndio unamlipa kukufanyia kazi.

    Mwanauchumi wa kimataifa, John Perkins anakwambia huwa wanazikopesha pesa nchi za Afrika. Zijenge miundombinu. Kinachotokea, zile pesa zinalipwa kampuni zao kufanya huo ujenzi. Kwa maana hiyo, pesa wanazotoa, zinarudi mifukoni mwao. Nchi za Kiafrika zinakuwa na madeni kwa pesa ambazo hazijakaa...
  10. Ubumuntu

    JamiiForums Tanzania Natafuta vijana wa kuwapatia vitendea kazi kwa mikataba

    Salaam! Nina vitendea kazi kadhaa (vitazame hapa chini) ambavyo nilinunua kwa ajili ya biashara. Lakini kutokana na kutokuwa na muda wa kuendesha biashara, vitendea kazi hivyo havitumiki kama vilivyokusudiwa. Vitendea kazi vyenyewe ni hivi: 1. High pressure washer machines: zipo mbili. Moja...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mamba wanafugwa au wameachwa ndani ya Bwawa la Mwalimu Nyerere? Kiufundi wana Kazi gani labda ya Kimkakati?

    Tafadhali wale mliosoma mambo ya Civil Engineering si vibaya mkaja kutupa Elimu ya uwepo wa Mamba wengi JNHPP.
  12. Gweny

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali nipo Mbeya

    Hello JF family, Nina umri wa miaka 26 (mwanamke)nina cheti cha kidato cha 4, pia nina mtoto mmoja. Naomba mnisaidie nipate kazi ili nijikimu na mwanangu 🥹 maisha magumu sana. Nina kipaji cha kupika na ninapenda sana kupika. TIA
  13. Underdog

    JamiiForums Tanzania Tupia screenshot ya nafasi ulizoomba Utumishi ila hazijafanyiwa kazi bado

    Habarini Wakuu, Kuna malalamiko mengi sana kuhusu kasi ndogo ya Utumishi kushughulikia mchakato wa Maombi ya kazi. Maombi mengine yanachukua mpaka miaka mitatu bila kufanyiwa kazi na hatujui nini kinaendelea. Tutumie nafasi hii ku-share screen shot za maombi tuliotuma na bado hayajafanyiwa kazi.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kama mwanaume, hizi ni baadhi ya changamoto za kufanya kazi na wadada, sehemu moja ya ofisini

    Habarini, Sijui kama kuna wengine mmeliona hili, kwenye mazingira ya kazini, kuna vitu nimevi-observe mwanaume ukifanya kazi na wadada 1) Kutumwa kazi ambazo ni unreasonable: Imagine mtu anakwambia hawezi beba dumu dogo la maji na mwanaume uko hapo, yani mtu anakwambia hawezi beba dumu la...
  15. Yerusalemu30

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya masoko(marketing) au mauzo(sales)

    Mahali: Mwanza. Fani: Uhusiano wa Umma na Masoko Uzoefu: Mwaka 1
  16. M

    JamiiForums Tanzania natafuta kazi yoyote ya kuweza kujikumu

    Habari naitwa Mary natokea Shinyanga natafuta kazi yoyote ya kuweza kujikumu iwe apa mkoano Shinyanga
  17. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Mkuu Wa Usalama Israel Afutwa Kazi

    Baraza la Mawaziri la Israel limeadhimia kumfuta kazi Mkuu wa Usalama wa Taifa hilo Ronen Bar huku wananchi jijini Tel Aviv wakiandamana kupinga uamuzi huo. Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu aliwasilisha pendekezo hilo kwenye baraza la mawaziri kwa madai kuwa Bar amekuwa akiendesha mambo...
  18. Mlima simba

    JamiiForums Tanzania Picha ya ndege kufanya kazi mwisho saa sita usiku

    Nadhani Sisi sote tupo salama wakuu, bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada. Mnamo tarehe 18.03.2025 majira ya Saa nne usiku wakati narudi Kutoka mihangaikoni nikashuka kituoni kwangu Kibaha picha ya ndege. Kutoka picha ya ndege mpaka ninapokaa Pana umbali kidogo kwa hiyo kwa...
  19. T

    JamiiForums Tanzania NIKUSAIDIE KUFANYA HIZI KAZI

    Salaam kwa wanajamvi wote! Kazi zifuatazo naweza kukufanyia kwa kwa gharama nafuu kabisa popote ulipo Tz hii. 1) Kukuandalia Mpango wa biashara pamoja na mchanganuo 2) Kukuandalia Pendekezo la mradi wowote na kusaidia kutafuta au kusaidia mchakato wa kupata wafadhili au ufadhili. 3) Kukufanyia...
  20. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Wazir Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amfuta kazi mkuu wa Usalama wa Taifa Ronen Bar

    Baraza la mawaziri la Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu lilipiga kura kwa kauli moja kuunga mkono kumfukuza kazi mkuu wa Shin Bet Ronen Bar, ofisi ya Waziri Mkuu imetangaza. Siku ya mwisho ya Bar itakuwa Aprili 10, huku serikali ikisogeza hatua ya kumfukuza kazi baada ya hapo awali kuratibisha...
Back
Top Bottom