kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. chiembe

    PreGE2025 2025 watanzania watakuwa na kazi ya kulinda hadhi ya "mama", katika kila hotuba zake, Lissu amekuwa akiongea kwa dhihaka kubwa kuwahusu

    Katika historia ya nchi hii, sijawahi kuona mtu anayekebehi, kudharau, na kutoheshimu hadhi ya mama kama Tundu Antipas Mughwai Lissu. Ukimdharau mama mmoja, umedharau mama wote nchini na duniani. Shime, uchaguzi wa 2025 uwe wa kuwaheshimiaha mama zetu dhidi ya ubaradhuli huo
  2. D

    Nchi za Africa ili ziendelee, futa dini zote wote tuwe wapagani. Sisitiza kazi tu.

    Hizi dini ni ushamba na umbumbumbu wa hali ya juu na zinatufanya maskini wa kutupwa. Imagine unatafita pesa kwa jasho halafu unaenda kumtajirisha let say mwamposa au padre anaye shinda bar na malaya na we unaaninj kabisa kwamba pesa yako imeliwa na Mungu.
  3. USSR

    Haka kakitu nakaona mahotelini na nyumba za wageni kazi yake nini mwenye kujua matumizi

    Na mitaani naona vimekuwa vikiongezeka maradufu matumizi yake ni gani ? USSR
  4. G

    Walimu ombeni kazi.

    Walimu wa Biashara
  5. milele amina

    Muungano wa Ulaya umeachia orodha iliyoimarishwa ya mashirika ya ndege yanayodhaniwa kuwa hatari, na kuyakataza kufanya kazi ndani ya anga la EU

    Muungano wa Ulaya umeachia orodha iliyoimarishwa ya mashirika ya ndege yanayodhaniwa kuwa hatari, na kuyakataza kufanya kazi ndani ya anga la EU. Sasisho hili la hivi karibuni linajumuisha Air Tanzania, ambayo imeongezwa kwenye orodha kufuatia wasiwasi wa usalama ulioangaziwa na Shirika la...
  6. G Sam

    Wanachadema tuungane tumwambie Mwamba inatosha, asante kwa kazi nzuri mzee

    Kusema kweli katika siku ambayo nitachafukwa basi ni siku ambayo Mwamba ataamua tena kurudi ulingoni na kugombea muhula wa tano. Nitachafukwa sana niwe mkweli. Kama kuna siku nitampa Mwamba heshima yake basi ni ile siku atakayosema kuwa this time inatosha naomba nipishe damu mpya nibakie kuwa...
  7. Kididimo

    Nakubali Tundu Lissu awe Mwenyekiti na Mgombea Urais wa kambi yote ya Upinzani. Anza na kazi hii. Rudisha kundini kina Mdee na Wenzake.

    Ukweli usemwe. Kilichowaponza kina Mdee ni ule utawala wa mabavu wa awamu ileee. Ulishapita, Chadema ni muhimu ijengwe kuanzia ilikoishia kabla ya awamu hii.
  8. Mrfreddy

    Nafasi za kazi Prime Zone limited deadline - 20 Dec 2024 (Driver, sales and markerting, graphic designer and social media manager) DSM

    Prime Zone is looking for Marketing & Logistic personnel in: 01. Sales And Marketing Officer– Dar es salaam (03 Positions) WORKING STATION: DAR ES SALAAM Job Type: Full-time. Key responsibilities: · To prepare marketing and sales strategies. · Ensuring the company meets the sales targets. ·...
  9. ERTUGRUL BEY

    Mheshimu Kila Mtu Ambaye Anafanya Kazi Ya Kumuingizia Kipata Hata Kama Kazi Hiyo Inaonekana Ni Dhalili Machoni Mwako

    Hakuna jambo jema kama kufanya kazi ya halali hapa duniani na haijalishi iwe na hadhi gani, bali kikubwa ni halali na inakidhi mahitaji yako hata kwa kiasi fulani Na kamwe usijisikie mnyonge kwa hiyo kazi ambayo unayo sasa kwani ndio kazi yako,endelea kupambana mpaka pale utakapo fikia katika...
  10. R

    Naweza kupata pesa zangu kutoka mfuko wa jamii baada ya kutoka taasisi binafsi na kuhamia Serikalini?

    Habari zenu, Naomba kufahamu kwa mtu alekuwa akifanya kazi shirika zisizo za Kiserikali kisha akahamia taasisi za umma, akiwa shirika binafsi alikuwa akichangia kwenye mfuko wa jamii la NSSSF. Je, akihamia Serikalini huyu mtu ataweza kutoa mafao yake NSSSF?
  11. D

    Natafuta mtu mwenye koneksheni za migodini nahitaji kazi huko

    Salam ndugu zangu natanguliza shukrani kwa Muumba wetu. Mimi ni kijana wa kiume nina miaka 22, Kama kichwa cha habari kilivyojieleza hapo juu ninahitaji mtu mwenye koneksheni ya kazi za migodini,migodi za wachimbaji wadogo pia hata wakubwa. Natafuta maisha ndugu zangu kwa atakaeguswa au kwa...
  12. Scared

    Hivi Hawa Vidmate ndio wameshashindwa kazi

    Hii kampuni ya kudownload music naona Kila nikidownload inaishia nusu tatizo nini wadau naombeni msaada wenu maana usiku vanny boy anaachia album nataka niamke nayo halafu wananiletea habari nyeusi
  13. A

    Natafuta kazi au kibarua chochote Dar es Salaam

    Habari, Mimi ni binti wa miaka 23 naishi Dar es Salaam. Level yangu ya elimu nina degree ya Information systems Management. Npo hapa kuomba kazi yoyote kama vile barista cafe, kuuza duka, kuuza Supermaket, na kazi nyingine yoyote mnayoweza nisaidia. Asante
  14. GoldDhahabu

    Mchengerwa hajapongezwa kwa kazi nzuri aliyoifanya?

    Alipokuwa akiwaapisha viongozi "wapya" tarehe 10/12/2024, Rais wa JMT, Mh. Samia Suluhu Hassan, alisikika akimpongeza Masauni kwa kazi nzuri aliyoifanya akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani! 1. Mchengerwa naye alipongezwa kwa kazi nzuri iliyofanywa na TAMISEMI? 2. Kati ya Mchengerwa na Masauni nani...
  15. Fufua Tumaini Jipya

    Kijana wa miaka 20 natafuta ajira au kazi

    Naitwa Yusuph , umri miaka 20 natafuta Ajira au kazi yoyote ile ya halali. Elimu yangu kidato cha nne. Aina ya kazi , naweza kufanya Kazi mbali mbali , zakutumia akili pamoja na nguvu Napatikana DSM wilaya ya TEMEKE Mawasiliano +255696993834
  16. infor

    Msimamizi wa ofisi anahitajika

    Anahitajika kijana mwenye ujuzi na elimu ya masuala ya biashara hususani kwenye sekta ya miamala ya benki na simu. MAJUKUMU -Kusimamia ofisi inayojishughulisha na masuala ya huduma za fedha (Financial services) -Kuandaa ripoti na hesabu za ofisi -Kubuni na kuteleza mikakati ya kuipanua na...
  17. I

    Natafuta kazi (kibarua)

    Habari ya Uzima wanaJF! Nimekuja mbele yenu kuomba msaada wa kibarua chochote Cha halali. ✅Nna shahada kwenye real estate management (hiki kisiwe kigezo Cha Mimi kupewa kazi) ✅Najua vema kutumia kompyuta kwenye program zote. Naishi DSM, Asanteni sana
  18. Nehemia Kilave

    Kampuni ya magazeti ya serikali (TSN) yatangaza mnada , kazi kwenu kuna Range Rover wagon

    Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) imetangaza kuwa itapiga mnada magari mbalimbali ambayo hayatumiki ikiwemo Range Rover Wagon siku ya Ijumaa Desemba 13, 2024. Mnada huo utafanyika katika Jengo la TSN lililopo Mtaa wa Isimani Upanga, Dar es Salaam utahusisha pia pikipiki, vifaa vya TEHAMA...
  19. Scared

    Anafanya kazi kiwandani ameshajiwekea msingi wa umasikini milele

    Kuna kazi ambayo ni kituko yaani kama za kiwandani unakuta mtu analipwa 5000 nauli humo humo kula humo humo halafu hapo hapo matusi ya wachina au wahindi koko yanamkabili wakina dada wanaliwa na wachina na kutumikishwa kama mbwa Kuna viwanda vipo huko kibaha watu wanalambwa viboko wakizingua...
  20. Roving Journalist

    Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega, amepokelewa wizarani. Aanza kazi rasmi

    WAZIRI WA UJENZI MHE. ABDALLAH ULEGA AANZA KAZI, ASISITIZA USHIRIKIANO Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Abdallah Ulega, amepokelewa wizarani na kulakiwa na watumishi wa Wizara, wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi Mhandisi Aisha Amour na watendaji na wakuu wa taasisi na kusisitiza...
Back
Top Bottom