Natafuta kazi yoyote halali nipo Mbeya

Natafuta kazi yoyote halali nipo Mbeya

Gweny

New Member
Joined
Nov 9, 2024
Posts
1
Reaction score
1
Hello JF family,

Nina umri wa miaka 26 (mwanamke)nina cheti cha kidato cha 4, pia nina mtoto mmoja.
Naomba mnisaidie nipate kazi ili nijikimu na mwanangu 🄹 maisha magumu sana.
Nina kipaji cha kupika na ninapenda sana kupika. TIA
 
Hiyo TIA ni chuo ulichosoma au
 
Back
Top Bottom