Navojua kazi ya walimu ni kufundisha, ila sina uhakika kama walimu wa siku hizi wanajua kazi yao na sababu ya wao kua shuleni!!
Mwalimu kila siku anampa mwanafunzi homework nyingi ambazo darasani hajafundisha! Unatoa homework ambayo hujafundisha darasani unategemea mwanafunzi afanyaje...
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), imeweka bayana msimamo wa kisheria wa Sheria ya Huduma za Habari kuwa kipaji pekee hakitoshi kumfanya mtu afanye kazi za kihabari kama hajapitia katika taaluma ya Uandishi wa Habari na kukidhi vigezo.
Msimamo huo umebainishwa na Kaimu Mkurugenzi...
*Uzi huu utakuwa ni update ya kila siku kuhusu kauli mbiu hii ambayo inamfaa kila mtanzania. *
Kauli mbiu rasmi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2025 ni "KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE" . Kauli mbiu hii inasisitiza umuhimu wa kufanya kazi kwa bidii huku...
Ivi ni kwanini kazi sikuhizi wanapewa madalali?.Watu kabsa wameanzisha hadi makampini watu m-subscribe ili kupata kazi, kwanini yani ili upate kazi mpaka utoe hela. Eti kazi hii ili kupata Ada yake ni 30000 .WHY? Jamii Forum fikisheni hii sehemu husika ishakuwa kero.
Wakuu mi ni Jobless, nina miaka 29 elimu yangu ni Diploma ya Information Technology, ila sijafanikiwa kupata kazi mpaka leo mtaani kugumu.
Nipo tayari kufanya kazi yoyote halali hata ikawa ya nguvu, nipo LINDI ila nipo tayari kwenda sehemu yoyote mda wowote.
Nawasilisha.
Slogani hii inaenda kuleta ubinadamu, utu, upendo, heshima katika kazi. Ushalilishaji, uonevu, ukandamizaji katika kazi sasa umefikia mwisho.
Iwe katika kilimo, bei nzuri ya mazao, viwandani na ma ofisini, udhalilishaji ukome, mambo ya kusimama jukwaani kudhalilisha watumishi au...
Tanzania mpaka sahivi asilimia 80 ni informal sector mean mpaka sahivi tunawatu wengi waliojiajiri lakin tatizo la ajira bado ni kubwa ukweli ni kwamba wengi waliojiajiri wanabangaiza wakipata nafasi ya kuajiriwa wanaacha hizo kazi walizojiajiri
Sio kila mtu atajiajiri kujiajiri ni kwa watu...
Habari viongozi...nilikua naomba ushauri kati ya bank position ya marketting ambayo sijasomea na law firm position ya administrative officer wapi penye manufaa ukifanya kazi interms of career development,financial benefits na potential for growth...
NB.Zote nimepewa probation period ya miezi sita
NATAFUTA KIBARUA NDUGU ZANGU
Mimi Ni kijana (me), mkazi wa TABATA KINYEREZI. Nina elimu ya kidato cha nne na ninategemewa na familia yangu—mke na watoto wawili. Kutokana na changamoto za maisha, natafuta kibarua chochote cha halali ili niweze kuhudumia familia yangu.
Nina uwezo wa kufanya kazi...
𝗨𝗰𝗵𝗮𝗺𝗯𝘂𝘇𝗶 𝘄𝗮 𝗞𝗮𝘂𝗹𝗶 𝗠𝗯𝗶𝘂 𝘆𝗮 𝗖𝗖𝗠 𝘆𝗮 𝗨𝗰𝗵𝗮𝗴𝘂𝘇𝗶 𝗠𝗸𝘂𝘂 𝟮𝟬𝟮𝟱: "𝗞𝗮𝘇𝗶 𝗻𝗮 𝗨𝘁𝘂, 𝗧𝘂𝗻𝗮𝘀𝗼𝗻𝗴𝗮 𝗠𝗯𝗲𝗹𝗲"
𝗡𝗮. 𝗝𝘂𝗺𝗮 𝗦𝗮𝗶𝗱, 𝗧𝘂𝗺𝗯𝗮𝘁𝘂 - 𝗨𝗻𝗴𝘂𝗷𝗮
Kauli mbiu hii ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 inabeba dhana kuu tatu: Kazi, Utu, na Maendeleo (Tunasonga Mbele). Hizi ni misingi muhimu inayolenga...
Naitwa jonas mashanda ni mkazi wa mkoa wa kagera wilaya ya karagwe,Mimi ni fundi umeme wa majumbani nina uhaba sana wa kazi huku niliko ni fundi mzuri mkweli,mchapakazi na mwaminifu yeyote mwenye tenda (Contract) ya kazi anitafute tupeane michongo
Bongo watu wanapenda kuamini vitu vya ajabu Sana, huenda ni meneja au mfanyakazi aliyekua na shift night alimwingiza kwa lengo la kupunguza upwiru. lakutokea likatokea akaona kuliko kibarua kiote majani amwangushie huyo mtoto wa watu jumba bovu.
Kuna dada mmoja anamtoto mlemavu wa mguu, mtoto Hana mguu mmoja, huyu dada amesomea certificate ya mipango ,mwanaume aliyemzalisha alimkataa alipojifungua tu Mtoto mlemavu, anaomba msaada aweze kupata kazi ili aweze kumuhudumia mwanae, kila mwaka mtoto anatakiwa abadilishiwe mguu bandia, hali...
Leo, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yussuf Mwenda, ametangaza kuwa waombaji 135,027 wamejitokeza kuomba nafasi za kazi 1,596 zilizotangazwa na mamlaka hiyo.
Nafasi hizi za ajira zilitangazwa mnamo Februari 6, 2025, zikijumuisha kada mbalimbali.
Kutokana na idadi kubwa ya...
Nimewaza tu kwa sauti kwamba mtu umepigika zako miaka mitatu ya kutafuta digrii alafu unakuja kufutiwa kwamba ni feki.
===================================
Tume ya Elimu ya Vyuo Vikuu imetaja vyuo 15 vinavyofanya kazi kinyume cha sheria nchini Kenya na kuwaonya Wakenya kwamba vyeti vya kimasomo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.