kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa maisha bila kazi na Uchu wa Madaraka; Kisa cha "Endorsement" za Wallace Karia

    Katika mazingira ya sasa ambapo maisha ni magumu mno kwa vijana na wananchi wa kawaida mitaani, hali ya kushikilia madaraka au nafasi yoyote yenye fursa imekuwa ya kawaida. Watu wanapambana si kwa sababu wana uchu pekee, bali pia kwa sababu nchi imetengeneza mazingira ya ‘kila mtu abebe chake’...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wazee kuna watu wanaofanya kazi mbulu TC humu..au yeyote yule mkazi wa mbulu

    Wazee kuna watu wanaofanya kazi mbulu TC humu..au yeyote yule mkazi wa mbulu
  3. Bueno

    JamiiForums Tanzania Vijana mkipewa kazi fanyeni kazi. Inaumiza sana mnapewa kazi mnalipua kazi

    Sina muda wa Salamu. Nina hasira kichizi. Wadau kuna hawa vijana wanaoingia na kutoka VETA huku mtaani wanafungua showroom zao za aluminium kufanya ufundi majumbani kufunga vioo kwenye madirisha. Vijana mnapopewa kazi fanyeni kazi msilete utoto utoto na ujanja ujanja kwenye kazi ukipewa kazi...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania YouTube Kuacha Kazi Kwenye Vifaa vya Apple Vyenye iOS 15 na Chini

    Kwa watumiaji wengi wa vifaa vya Apple, hili halitakuwa tatizo. Hata hivyo, baadhi ya iPhone, iPad, na iPod touch za zamani ambazo haziwezi kusasishwa zaidi ya iOS 15 au iPadOS 15 hazitaweza tena kutumia programu ya YouTube. Hii inamaanisha kuwa watumiaji wa vifaa hivyo vya zamani watahitajika...
  5. princeNathan

    JamiiForums Tanzania Upatikanaji wa volunteer au kazi

    Rejea na kichwa cha habari hapo juu mimi kijana wa miaka 28 nina level ya masters degree ya computer science nikiwa nimemaliza mwaka 2025 nipo hapa kuleta jukwaa langu sina expirience ya kazi ila nina jua vitu kama vile mobile application , Machine Learning , Data analyst , DeepLearning nk...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Mbeya Mjini kama kuuza duka, ufundi mitambo na n.k.

    Natafuta kazi Mbeya Mjini kama kuuza duka, ufundi mitambo na n.k. Nina stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering) 0756704145
  7. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Ushauri: CHADEMA fanyieni kazi taarifa za kiinteligensia mnazopenyezewa, sio kulalamika mitandaoni tu

    Mtu wenu ametekwa, jeshi la polisi limekana kuwa hawahusiki. Mpaka hapo ina maana yeyote anayemshikilia mtu wenu ni jambazi kama jambazi mwingine yoyote, mnayo haki ya kumdhibiti mkimpata. Mmepenyezewa intel kuwa mtu wenu anashikiliwa 'safehouse' ndani ndani huko wilayani Chunya sijui...
  8. heartbeats

    JamiiForums Tanzania Nafsi za kazi Mofat mwendokasi

    Aya ajira izo apoooo msiseme hamjaambiwa kazi kwako
  9. I

    JamiiForums Tanzania PSRS: Nitajuaje zoezi la kupangia Watu kazi limefungwa au kufaulu?

    Habari wanabodi. Mimi ni mmoja wa watu waliofanya saili wa kuhojiwa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma. Sina hakika kama nilifikisha maksi za kufaulu au la. Nimekuwa nikitembelea ajira portal ,status bado ni ileile ya kuitwa kwenye usaili wa mahojiano(SIJUI KAMA HUWA INABADILIKA)...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mfanyakazi za Mashambani/Mchungaji

    Habari za leo wakuu Kama kichwa cha habari hapo uu kinavyoeleza, inamuhitaji huyu mzee kufanya majukumu yafuatayo: 1. Awe muwakilishi wangu shambani na awe kama ndie mwenye nyumba na mmiliki wa mali zote (mashamba, mifugo na nyumba zingine zilizo karibu na hayo mashamba) 2. Kua msimamizi mkuu...
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi ya Kusikiliza Audio na Kuhariri Maandishi

    🚨 NAFASI ZIMEJAZWA TAYARI 📝 Tangazo kutoka Bright and Genius Editors Bright and Genius Editors inatangaza nafasi za kazi kwa watu wenye uwezo wa kusikiliza sauti na kuhariri maandishi yaliyopatikana kutoka kwenye audio kwa usahihi na ufasaha. 🔊 Kazi: Kusikiliza Audio na Kuhariri Maandishi 💻...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Serikali: Tumeona tangazo la Marekani, Tumeanza kufanya Mashauriano

    Kufuatia taarifa ya Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu la kutaka nchi 36 kutaka kufanyia kazi baadhi ya mambo kadhaa ya kiuhamiaji ambayo yanaweza kuzuia raia wa Kitanzania kuzuiwa kuingia Marekani Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amesema " Naomba kuujulisha umma kuwa tayari Serikali ya...
  13. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Pata msimamizi wa kazi na miradi, Mbeya na Dar es salaam

    Pata msimamizi wa kazi na miradi, Mbeya na Dar es salaam. Nina stashahada ya ufundi mitambo (mechanical engineering) 0756704145
  14. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Pata msimamizi wa kazi na miradi, Mbeya na Dar es salaam

    Kama unatafuta msimamizi wa mradi au kazi nipo. Mikoa miwili napatikana Mbeya na Dar es salaam. Nina stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering) 0756704145
  15. K

    JamiiForums Tanzania Poleni wanaharakati poleni wapigania haki poleni wote wenye kupenda kusema ukweli kazi hii imekuwa ngumu mno

    Kazi inapokuwa ngumu SI vibaya kujikusanya na kupeana hope Ikitokea mashambulizi yanalemea upande wako SI vibaya mkarudi nyuma kidogo kwa Nia ya kujipanga upya Wakuu nasema hivi kwa sababu ya Hali ilivyo kwa Sasa chini ya utawala wa rais Suluhu kushambulia kwa kutumia nguvu kubwa...
  16. V

    JamiiForums Tanzania Kama hudaiwi, umemaliza yote, unakasirika kuambiwa kuna mengi ya kufanya, unagombea muhula mwingine ufanye nini ???

    Kwenye news kubwa za leo, limetokea jambo si la kawaida. Mheshimiwa ameghadhibika vibaya mno kuambiwa laivu na Mbunge wa Kisesa kwamba wewe sisi huku tunakudai, na wanaosema hawakudai leteni hela zao huku kwetu tufanye maendeleo. Mheshimiwa Mwenyekiti amemkata jina Mbunge Mpina na kusema...
  17. 4GPA

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi yoyote Mtwara

    Habari zenu wakuu, Nawasilisha maombi kwenu wakuu hali ni mbaya Kielimu nilichonacho bado hakinipi unafuu wa maisha, Naomba mwenye connection ya kazi yoyote mkoani Mtwara iwe kazi ya mikono iwe ya nilichosomea zote napokea, nina umri wa miaka 29 na elimu yangu ni DIPLOMA IN INFORMATION...
  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kateleza ulimi. Kazi ya Mbunge si kuleta maendeleo wala kutoa huduma

    Rais Samia kateleza ulimi alipokuwa anatoa ufafanuzi wa hoja za Luhaga Mpina. Kazi ya Mbunge si kuleta maendeleo wala kutoa huduma kama alivyodai. Bali mbunge ni mwananchi anayewawakilisha wenzake Bungeni. Mbunge ni mwakilishi wa wananchi katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi wa Benjamin Mkapa Foundation kupitia mradi wa USAID afya endelevu toka tumesimamishwa kazi hatujapata mafao yetu kutoka NSSF

    Mimi ni miongoni mwa Wafanyakazi 1,299 waliokuwa Watumishi katika Mradi wa AFYA ENDELEVU chini ya BENJAMIN MKAPA FOUNDATION uliokuwa unafadhiliwa na USAID. Baada ya USAID kufuta Mradi wa AFYA ENDELEVU kuanzia tarehe 24/3/2025, Taasisi yetu (Mkapa Foundation) ilitutumia notice ya kutupa taarifa...
  20. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Maoni ya wana JF juu ya nembo ya TUNATIKI yafanyiwa kazi na CCM

    Pamoja na tofauti za kimtazamo juu ya siasa za Tanganyika haina maana ya kwamba unapoona upande pinzani kuna jambo unaweza kushauri .. Tafadhali fanya Ushauri huwa ushauri si shuruti.. Mshauriwa ana wajibu wa kuuchukua ama kuuacha This time around nimefurahi kuona ccm wakichukua ushauri wetu...
Back
Top Bottom