Alama ya kijana ni kazi, kijana ni maneno machache kazi nyingi, kijana awe na tamaa ya maendeleo huku anafanya kazi siyo tamaa ya maendeleo huku anakesha anaangalia press za akili mnemba polepole badala apumzishe mwili kwaajili ya KAZI kesho yake.
Popote ulipo kijana onyesha upekee kiutendaji...
Wafanyakazi wa Idara ya Ardhi Mkoa wa Shinyanga na wale wa Manispaa ya Shinyanga wanafanya kazi zao kwa mazoea sana huku wakitengeneza mazingira ya kupokea rushwa kutoka kwa wananchi.
Kama week mbili zilizopita kulikuwa na zoezi la urasimishaji wa ardhi katika kata ya Kizumbi, kijiji cha...
Anonymous
Thread
ardhi
idara
idara ya ardhi
kazi
manispaa
mkoa
shinyanga
utendaji
wafanyakazi
Baada ya kuanika huu uovu ambao mwenyewe umekiri kuhusika kuuandaa ingawa ulisema uliandaliwa kwa malengo mazuri tofauti na sasa, elewa utashambuliwa sana mitandaoni na pia itatumika propaganda kubwa kutaka kuaminisha watu kuwa ulichoongea hakiwezekani na ni uongo ingawa hawatakubali uchunguzi...
Nilitumia mbinu ya uchawi wa kisasa(Hyposis) kutoka kwenye YouTube kwa wiki moja.
Nimekuwa nikikuta video mbalimbali za wanaume na wanawake wakitoa " Ushauri wa Uchawi ". Mfano, mbinu za kuongea, Kutoa Mapendekezo ambao ni ngumu kukataliwa. Mazoezi ya kujenga ujasiri, Hata " miiko" midogo ya...
CCM IMEJIPANGA! MWAKA HUU MTAISOMA 🎹
Upinzani jueni kuwa KAZI ya CCM ya kuwaletea maendeleo ishafanyika toka mwaka 2020 mpaka Leo kilichobaki kwa CCM Wananchi na Wana CCM ni kusema ASANTE CCM ASANTE CHAMA TAWALA kupitia KURA
Upinzani hamuwezi mkakurupuka from no where Leo eti fyokofyoko...
Hizi ni power tools muhimu ambazo fundi wa ujenzi wa nyumba anashauriwa awe nazo kwa kazi kuwa rahisi, haraka na bora:
1. Drill Machine (Choropoa) – Kwa kuchimba kuta, mbao, nondo n.k.
2. Angle Grinder (Grinda) – Kukata chuma, bati, tiles, mawe n.k.
3. Cutting Machine (Circular Saw) –...
Agano Jipya lote. Hakuna mahali yesu imemuandika alikuwa alikuwa na nyumba au ploti tu. Yeye mwenyewe alisema ndege wa angani Wana viota na wanyama wa mwituni Wana mapango lakini mwana wa Adamu Hana pahali pa kulaza hata kichwa chake
Luka 9:58
“Ndege wa angani wana viota, na mbweha wana...
Leo nitaongea kuwa kulikuwa hakuna Kesi dhidi ya Babu Seya.
Mchezo ule ule wa kitoto ndo bado unaendelea mpaka Leo mahakamani, kufanya Kazi kwa maelekezo.
Babu Seya alihukumiwa kimakosa kwa shinikizo la wanasiasa.
Hii video inaonesha Chama cha Mapinduzi kikiwapa wananchi wote elfu kumi kumi wakiwa wanatoka kwenye mkutano huo wa CCM
Hii ni RUSHWA, TAKUKURU inafanya kazi gani sasa ikiwa haya mambo yanafanywa hadharani hivi?
Muungwana ni mtu na nusu awapo mbele ya mahakama.
Anajua wajibu wake ipasavyo. anayakabili majukumu yake vyema na kwa weledi wa kiwango tajika. Hababaiki, hatetereki wala hayumbishwi na yeyote awepo mahali pake pa kazi. Nassoro katuga sio tu mahiri wa sheria, bali pia ni mwamba na nguli wa...
Habari za sahizi waungwana?
Naomba mchango wenu wa mawazo.
Nimepata ajira mbili kwenye kampuni mbili tofauti.
1.kampuni ya kwanza ni kiwanda cha wachina,kazi inahusiana na professional yangu niliyosomea(uhasibu) mshahara sio mkubwa kivile ni around 1.3m kabla ya makato.
2.kampuni ya pili nayo...
Nakumbuka ile siku ya Eid SSH alipoenda msikitini aliingia MTU msikitini na akaa nyuma ya SSH je huyu alikuwa ni nani ?.
Na je anaweza akawa Mwanamke huyu ?.
Tanzania ina migodi mingi sana lakini hakuna kikosi cha wataalamu wa uokoaji migodini! Tanzania inauhusiano wa miaka mingi, cha kushangaza imeshindwa kutumia uhusiano huo kwa kuwaomba watoe mafunzo kwa watanzania kuhusu uokoaji migodini. Afrika Kusini inao uzoefu wa uokoaji migodini kwa miaka...
Nimewekeza kwenye kampuni ya sanlam ambayo imeungana na Vodacom Na kuita jina M Wekeza Sasa nilitaka kujua pale kwenye hii huduma nikichukua asilimia na pesa zangu ninazoweka Kwa mwaka wananimetea kiasi Fulani ambacho nataka kujua he hicho kiasi ndio kimejumuishwa na compound interest au ni...
Picha linaanza niliambiwa kutakuwa na hostel kwa ajili ya kulala ila cha ajabu kuna chumba chenye magodoro chini na idadi imekamilika kinachofuata ni kulala chini
Kipindi cha training kupewq posho laki moja. Kumbe hakuna cha posho Wala Nini miezi yote mitatu hakuna posho
Hakuna guarantee ya...
Habari, natumaini mpo salama
Naishi Moshi Mjini,
Mimi ni kijana mchapa kazi na mahiri, hivyo kwa unyenyekevu mkubwa natafuta nafasi ya kazi ya Kibarua, popote Moshi mwenye anafaham naomba anisaidie.
Wasalaam ndugu zangu,
KUna mambo yanayoendelea kwenye nchi yetu , unajiuliza kwa kukosa userious kwenye mambo ya msingi kweli hii nchi itapiga hatua ya kimaendeleo tunaoitamani kuiona?
Mfumo wa utoaji wa document za dharura kwa ajili kusafiri ( Emergency Travel Document) haufanyi kazi toka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.