kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kumbe KIKATIBA , baadhi ya Kazi za JWTZ ni Kulinda Katiba, Kulinda Ardhi na Maliasili za Nchi yetu, Kulinda Watu wa Tanzania!!

    Hapa Nina Maswali !! Ni katika wakati gani ,JWTZ itafanya kazi yake hii ya kulinda Katiba, Ardhi, Maliasili, na Kulinda Watu?. Tafasiri ya Kulinda Watu kwao ni ipi? Ikiwa tunashuhudia watu Wanatekwa, wanauliwa .?? Kulinda Maliasili, ikiwa tunashuhudia Waarabu na Wachina wanapewa Mali zetu...
  2. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Aomba talaka kisa kapata kazi

    Kuna kesi ngumu kidogo hapa. Jamaa yangu amekaa na Mke wake kwenye ndoa miaka 9 sasa. Kumbe Mke alikuwa anatafuta kazi sasa amepata. Baada ya kumletea mume majibu amemnyima ruhusa kuajiriwa. Mke anataka kazi, Mume hataki. Sasa Mke anataka talaka ili akafanye kazi. Je! Ampe?
  3. Jeep wrangler

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wajumbe-CCM kazi yenu ni njema sanaa

    Sio mbaya mara moja moja moja kumsifia adui yako. Hii ni mbinu ya kale ya kivita. Gekul ulikula kodi za wananchi kwa biashara haramu ya manunuzi ya binadamu awamu ya 5, karibu uraiani. Mollel.....nawe ulitamani mapato ya aibu, ukala kodi zetu kwa dharau. Waitara Mwita, ukaona ujipatie pesa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania NAFASI YA KAZI: Kusimamia Akaunti kwa Kutumia Robot (Kazi ya Ofisini - Dar es Salaam)

    Natafuta vijana wenye umri kati ya miaka 20 hadi 28 kwa ajili ya kusimamia akaunti za biashara kwa kutumia mfumo wa roboti (robot) katika mazingira ya ofisi iliyopo Kinyerezi Mwisho, Dar es Salaam. ✅ Robot tayari ipo, kazi yako ni kuingia kwenye akaunti, kufuatilia maagizo ya robot, na...
  5. Equation x

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenye wapenzi/wake wanaofanya kazi, mnanufaika nao vipi?

    Wapo wanaosema hela ya mwanamke ni ya mwanamke, na hela ya mwanaume ni ya wote. Kumekuwa na malalamiko kwa wanaume wengi, kuwa hawapewi huduma za msingi na wapenzi/wake zao wanaofanya kazi, na wakati mwingine ata hela za mwanamke huwa hazionekani katika shughuli za mahusiano au maisha yao; pia...
  6. Knock life

    JamiiForums Tanzania Nina shida ya watu wanomaofanya kazi katika Wizara inayohusika na mambo ya ajira, najitaji kuwapa wazo bora ambalo litasaidia kupunguza ajira

    Ikiwa wewe upo wizara husika naomba uje PM nikupe wazo bora . Wazo hili litawanufaisha Wasomi na ambao sio wasomi , naomba tuwasiliane haraka Njoo PM
  7. Rico redi

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kupata kazi remotely job mlifanyaje

    Kwema wanabodi nimekua nikijaribu kupitia sites mbalimbali za ajira ambazo ni remotely kuanzia LinkedIn, WWR,flexjobs na nyinginezo nikajiregister kule Lakini changamoto unakuta hata kazi ambayo ni entry jobs ambayo wanatoa mpaka training kuipata ni changamoto nashindwa kuelewa kuna sehemu...
  8. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Hivi kikao kazi ndio kikoje?

    Siku kila taasisi au wizara ikifanyo mkutano,itasikia eti ni kikao kazi,kwani kokoje? Tofauti ya kikao na kikao kazi ni nini?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Maisha ni very hard naombeni kazi

    Habari nilikuwa natafuta kazi here in dar es salaam nina miaka 20 kazi ni ya kuuza duka
  10. Knock life

    JamiiForums Tanzania Watanzania twende na Rais Samia 2025-2030 ili akamilishe kazi ambayo alikwisha ianzisha

    Vijana na wazee , ipo kila sababu ya kwenda na Mama 2025-2030 ili akamilishe Kazi ambayo alikwisha ianza. Kwanini Twende na mama ? 1. Mama ni msikivu 2. Mama ana uwezo mzuri wa kuongoza na kuleta maendeleo kwa wakati sahihi. 3. Katiba Mpya Mama amelenga kuleta katiba mpya na itayojibu kilio...
  11. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Nadhani viumbe vilivyoko kwenye ulimwengu wa roho hazina kazi ya kufanya ndio maana muda wote wanahaninga na wanadamu

    Hapo vip!!kwa uhalisia uliopo nikwamba viumbe kama majini,mapepo,mashetani,n.k wapo busy sana kufuatilia na kuharibu maisha ya mwanadamu kwa kushirikiana na wachawi na kwa tafsiri hii inaonyesha hivi viumbe vimekaaa kakaa tu huko pasipo na kazi ya kufanya kama mwanadamu,kwa ujumla ni viumbe vya...
  12. Dkt. Gwajima D

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya watoto wa maboss huwanyanyasa kingono wasaidizi wa kazi za nyumbani

    Wasaalam wote. Huenda visa viko vingi ila, vinafichwa na kimoja kati ya hivyo ni kama hiki ambacho, kimefikishwa kwangu kwa ufupi: ...."Nimefanyiwa ukatili na mtoto wa boss kwa kupigwa sana kisa nimekataa kutoka naye kimapenzi. Alinitishia kuniua kwa sababu nimekataa kufanya naye mapenzi...
  13. Msaga_sumu

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA KAZI

    Naitwa Rich JM nipo dar, Yakaribia mwaka sasa natafuta ajira humu JF bado sijapata, ni bachelor degree holder of Accounting with IT. Nina experience na accounting na auditing kwani nimekua nikifanya kama intern kwa mwaka mmoja sasa kwenye kampuni za engineering na real estates kubwa tu hapa...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mawinda: Kazi ya Rais Samia ni kubwa, jukumu letu ni kumuombea, sio kumzodoa na kumpinga

    Makamu Mwenyekiti wa Maridhiano na Amani Tanzania kupitia Jumuiya ya Maridhiano Mkoa wa Dar es Salaam Sheikh Mohammed Abdallah Mawinda amesema "Kwa kazi anayoifanya Rais Samia, jukumu letu ni kumuombea dua ili aone tupo pamoja naye, sio kumpiga vita, kumpinga au kuzodoa" "Urais kazi ndugu...
  15. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Lini mifumo ya Serikali inaanza kufanya kazi hasa kutoa hela

    Nata nifahamu ni lini mifumo ya Serikali huanza kutoa hela baada ya mwaka wa fedha kutamatika kikao ifikapo June 30..?
  16. F

    JamiiForums Tanzania msaada wa kisheria kuhusu mchakato wa madai ya kuachiswa kazi

    Habari Nahitaji ushauri nlikua nimeajiriwa na benjamin mkapa foundation chini ya mradi wa USAId Afya endelevu,baada ya agizo la trump la kusitisha miradi ya USAID la january tukarudishwa kazin february then march ikatolewa notisi nyingine ya kusitisha mradi wa afya endelevu,ambao mwajiri ambae...
  17. Isenye

    JamiiForums Tanzania Kufanya kazi private sector bongo unatakiwa uwe na roho ngumu

    Imagine,sasa hivi wenzetu wa government wanawaza mshahara wa mwezi wa 7,sisi huku kwa wachina hatujalipwa mpaka leo tarehe 5 mshahara wa mwezi wa 6. Private bongo ni zaidi ya matatizo.
  18. funaku

    JamiiForums Tanzania Tanzania itafanya uchaguzi mwezi oktoba na Kazi itaendelea

    Waliotaka kususa wanatafuta huruma ya kurejea. Kamwe huruma hii isitolewe na kwa nguvu za Mwenyezi maanani uchaguzi utafanikiwa kwa amani na kazi itaendelea.
  19. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Vunja Private ICDs zote Dar, ili Bandari kavu ya Kwala ifanye kazi

    Vinginevyo ni story.
  20. trojan92

    JamiiForums Tanzania Nimepangiwa kazi Bunda Town Center, naomba kujua mazingira yakoje!

    Wakuu hongereni na poleni kwa majukumu Kwanza namshukuru Mungu kwa mema yote hadi nimefanikiwa kupata kazi serikalini. Mimi ni mwenyeji wa Mikoa ya Kusini ila kwa sasa nipo Arusha hivyo nitatokea huku kuja Arusha kuja Bunda TC Sasa naomba kujua mazingira yakoje, hali ya hewa,huduma za kijamii...
Back
Top Bottom