kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Nadhani viumbe vilivyoko kwenye ulimwengu wa roho hazina kazi ya kufanya ndio maana muda wote wanahaninga na wanadamu

    Hapo vip!!kwa uhalisia uliopo nikwamba viumbe kama majini,mapepo,mashetani,n.k wapo busy sana kufuatilia na kuharibu maisha ya mwanadamu kwa kushirikiana na wachawi na kwa tafsiri hii inaonyesha hivi viumbe vimekaaa kakaa tu huko pasipo na kazi ya kufanya kama mwanadamu,kwa ujumla ni viumbe vya...
  2. JamiiForums Tanzania Baadhi ya watoto wa maboss huwanyanyasa kingono wasaidizi wa kazi za nyumbani

    Wasaalam wote. Huenda visa viko vingi ila, vinafichwa na kimoja kati ya hivyo ni kama hiki ambacho, kimefikishwa kwangu kwa ufupi: ...."Nimefanyiwa ukatili na mtoto wa boss kwa kupigwa sana kisa nimekataa kutoka naye kimapenzi. Alinitishia kuniua kwa sababu nimekataa kufanya naye mapenzi...
  3. JamiiForums Tanzania NATAFUTA KAZI

    Naitwa Rich JM nipo dar, Yakaribia mwaka sasa natafuta ajira humu JF bado sijapata, ni bachelor degree holder of Accounting with IT. Nina experience na accounting na auditing kwani nimekua nikifanya kama intern kwa mwaka mmoja sasa kwenye kampuni za engineering na real estates kubwa tu hapa...
  4. JamiiForums Tanzania Sheikh Mawinda: Kazi ya Rais Samia ni kubwa, jukumu letu ni kumuombea, sio kumzodoa na kumpinga

    Makamu Mwenyekiti wa Maridhiano na Amani Tanzania kupitia Jumuiya ya Maridhiano Mkoa wa Dar es Salaam Sheikh Mohammed Abdallah Mawinda amesema "Kwa kazi anayoifanya Rais Samia, jukumu letu ni kumuombea dua ili aone tupo pamoja naye, sio kumpiga vita, kumpinga au kuzodoa" "Urais kazi ndugu...
  5. JamiiForums Tanzania Lini mifumo ya Serikali inaanza kufanya kazi hasa kutoa hela

    Nata nifahamu ni lini mifumo ya Serikali huanza kutoa hela baada ya mwaka wa fedha kutamatika kikao ifikapo June 30..?
  6. F

    JamiiForums Tanzania msaada wa kisheria kuhusu mchakato wa madai ya kuachiswa kazi

    Habari Nahitaji ushauri nlikua nimeajiriwa na benjamin mkapa foundation chini ya mradi wa USAId Afya endelevu,baada ya agizo la trump la kusitisha miradi ya USAID la january tukarudishwa kazin february then march ikatolewa notisi nyingine ya kusitisha mradi wa afya endelevu,ambao mwajiri ambae...
  7. JamiiForums Tanzania Kufanya kazi private sector bongo unatakiwa uwe na roho ngumu

    Imagine,sasa hivi wenzetu wa government wanawaza mshahara wa mwezi wa 7,sisi huku kwa wachina hatujalipwa mpaka leo tarehe 5 mshahara wa mwezi wa 6. Private bongo ni zaidi ya matatizo.
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania itafanya uchaguzi mwezi oktoba na Kazi itaendelea

    Waliotaka kususa wanatafuta huruma ya kurejea. Kamwe huruma hii isitolewe na kwa nguvu za Mwenyezi maanani uchaguzi utafanikiwa kwa amani na kazi itaendelea.
  9. JamiiForums Tanzania Vunja Private ICDs zote Dar, ili Bandari kavu ya Kwala ifanye kazi

    Vinginevyo ni story.
  10. JamiiForums Tanzania Nimepangiwa kazi Bunda Town Center, naomba kujua mazingira yakoje!

    Wakuu hongereni na poleni kwa majukumu Kwanza namshukuru Mungu kwa mema yote hadi nimefanikiwa kupata kazi serikalini. Mimi ni mwenyeji wa Mikoa ya Kusini ila kwa sasa nipo Arusha hivyo nitatokea huku kuja Arusha kuja Bunda TC Sasa naomba kujua mazingira yakoje, hali ya hewa,huduma za kijamii...
  11. JamiiForums Tanzania Maisha ni fumbo sana katika utafutaji

    MUNGU NI MMOJA TU! - YUKO MBINGUNI!☝️🔥
  12. JamiiForums Tanzania Kuna Kipindi kinakuja huko Mbele Serikali itasaka Watu wa Kufanya Kazi Serikalini Kwa TOCHI?

    Najaribu kujiuliza tu wakuu. Mimi hua napenda kuongea na watu walionizidi umri sana, hususani wale waliosoma enzi hizo kabla ya Uhuru haujapatikana 1940-1959 hawa ni wengi kwenye play list yangu, wakaja wakasoma enzi za Nyerere baada ya Uhuru 1962 kuendelea, nk. Sasa katika maongezi na dodoso...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Mh.Rais Askari wanakudai posho ya chakula

    Wanadai hujaongeza posho yao miaka 10 sasa vilevile posho yao ya maji na umeme imegomewa wizarani. Mh.Rais mwenye nchi ni wewe malalamiko haya wameyawasilisha bungeni mara nyingi na yamepelekwa sehemu husika lkn imeshindikana. Kila la kheri mh.Rais
  14. JamiiForums Tanzania Leo ndo nimeamini kazi ya upolisi ni kazi ngumu sana

    -inabidi utii amri hata ikibidi kufanya mavu kwa kadri ya kiapo chako. -Hivyo inakubidi kutekeleza hata maelekezo ambayo unajua fika si haki na ni uonevu na uovu imagine unaamriwa umshambulie na kumuumiza mtu asiye na kosa lolote kwani ni amri imetolewa. usipotekeleza maelekezo hata kama ni...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la kutosikia vizuri, natafuta kazi

    Mimi ni kijana niliesomea uhasibu kwa ngazi ya Diploma, na pia nimesomea ICT kwa ngazi ya certificate. Nina changamoto ya usikivu hafifu. Hali hii ya kutosikia vizuri imekuwa inaninyima fursa za ajira sana hadi ikafikia kipindi napata msongo wa mawazo. Naomba mwenye uwezo wa kunisaidia...
  16. JamiiForums Tanzania Basi la SSB lapata ajali

    Basi hadi trafiki wanaliogopa. Hata taarifa ya Vifo hawatoi. Nimeambulia picha kwa mbali
  17. P

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za ulinzi

    Nafasi za kazi za ulinzi tuma cv yako kwenye imail zilizotajwa, cc info@synergysecurity.tz
  18. JamiiForums Tanzania Special threads~Tafuta kazi Tanzania

    1.Tafuta kazi 2.Tafuta mfanyakazi 3.Tangaza biashara yako 👇👇
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kazi gani unayo (Software) unahitaji msaada? Nikusaidie

    Kazi gani unayo (Software issues) unahitaji msaada? Nikusaidie. blog issues website issues softwares issues (Windows 10,11) social media management Mawasiliano: 0756704145 Eneo: Dar es salaam, Mbezi
  20. JamiiForums Tanzania Kazi gani ngumu umewahi kufanya?

    Wana jf niaje, Kazi gani ngumu uliyowahi kufanya katika maisha yako?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…