Shangazi Yako kama ana gari wewe ni wakishuaSiku nyingine shangazi alinambia nikanunue betri la gari aiseeee hapana yale madude mazito
Gari ndo wa kishua..Shangazi Yako kama ana gari wewe ni wakishua
Wewe ni wakishua sana.Gari ndo wa kishua..
Mbona gari ni kawaida..
Ishu kubeba betri yake
UvivuUvuvi
Uuhuuu!!!Pfuuu!!! Uhuuu Pfuuuuu!!!!Nakumbuka kuna siku niliambiwa nisukume mkokoteni ulikua una gunia la viazi
Mi nazungumzia kazi ngumu mkuuWewe ni wakishua sana.
Gari unaona kitu Cha kawaida
Wanapaita uvikiuta...Uuhuuu!!!Pfuuu!!! Uhuuu Pfuuuuu!!!!
Wakati unapanda mlima wa kuelejea Chamazi
Kuchimba kaburi
Depends na ardhiMmmh kuna ugumu gani pale
Hahaha. Yaani betr ikawe nzito kiasi hicho? Embu kuwa serious mkuuGari ndo wa kishua..
Mbona gari ni kawaida..
Ishu kubeba betri yake
Mkuu betri la gariHahaha. Yaani betr ikawe nzito kiasi hicho? Embu kuwa serious mkuu