NAFASI ZA KAZI - MARKETING ( MOROGORO & DODOMA )

NAFASI ZA KAZI - MARKETING ( MOROGORO & DODOMA )

Joined
Dec 30, 2010
Posts
79
Reaction score
55
FREELANCERS
Uwe mkazi wa Morogoro au Dodoma.
Umri miaka 20 - 30.
Elimu kidato cha nne - kuendelea.
Kazi - kutafuta masoko ( wateja wa huduma zetu )
Kazi zetu ni Installation & supplying - Security systems, Tv systems, Domestic electrical n Other IT solutions.
Malipo ni kwa kazi, kuanzia 30,000 - 800,000
Muhitaji tuandikie whatsapp +255755949413
HAKUNA MALIPO ILI UPATE HII KAZI.
Deadline 15.07.2025
 
Dah, kazi hizi za jumuiya hizi.
Hazihitaji ujuzi wowote. Ni hatar sana.

Dogo aliwah jitusu akaenda, walampa kazi ya kutembea mtaani kuyafuta wateja bila vifaa vyovyote vya kazi,

Kibaya ni kuwa hata chakula hawapewi kwa wakati. Mchana wananunuliwa mihogo ya 1000 wapo wanne.

Dogo akatoroka, nilicheka sana alivorudi na kunihadithia. P
 
Back
Top Bottom