kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Habari njema za uchumi wa Tanzania kimataifa: IMF yakubali Magufuli anapiga kazi nzuri, kumuunga mkono kwa kuimwagia mabilioni ya maendeleo mwezi Mei

    Wanabodi, Angalizo la kuzuia kukereka. Kuna members humu wanakereka na kukasirika pale serikali ya Tanzania, au rais Magufuli na serikali yake anapofanya vizuri kustahili pongezi, Hivyo tusiharibiane siku leo mwanzo wa weekend, wewe kama uko kundi hili, naomba uishie hapa ili usije kuharibu...
  2. JamiiForums Tanzania Sasa ni dhahiri Mbatia akubali kufanya kazi ya CCM

    Hapa akizuga kukamatwa ili ionekane hakutumwa Hapa akifanya kazi halisi aliyotumwa kuitekeleza ya kupokea walioitwa wanachama wa Chadema , hakuna mwanaccm wala mwingine wa chama kingine . Swali ni hili , kazi hii aliyopewa na kulipwa ujira wake ataweza kuifanya au itamtokea puani ? ...
  3. JamiiForums Tanzania Viongozi wasio na maono, weledi na ubovu wa mifumo unaifanya serikali kulipa watumishi wengi wasiokuwa majukumu ya kazi

    Nasema hili nikiwa nimeliona katika ofisi nyingi za serikali baada ya kurudi likizo huko nyumbani, Serikali inatumia gharama nyingi sana kulipa mishahara na posho za watumishi lakini ni wachache sana, wachache mno wanaofanya kazi, wengi wao wanaripoti na kupiga soga mda wote wakiwa kazini...
  4. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi, Udereva na Associate Project Manager EGPAF

    The Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation is a global leader in the fight against pediatric HIV and AIDS, working in 19 countries and supporting close to 6,000 sites around the world to prevent the transmission of HIV to children, and to facilitate access to services for those already...
  5. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Istituto Oikos

    Istituto Oikos is an independent association founded in 1996 in Milan, which operates in Europe, Africa, Asia and South America, to promote the conservation and sustainable management of natural resources as a tool for economic and social development. To this end, it encourages cooperation and...
  6. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi(22) DIT

    Dar es Salaam Institute of Technology Dar es laam Institute of Technology (DIT) which is an equal opportunity Public employer invites qualified Public Servants to fill the following vacant posts at MWANZA and MYUNGA CAMPUSES by transfers. 1.0. GENERAL CONDITIONS All applicants must be Public...
  7. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi St Francis University College of health and allied Sciences

  8. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi, House manager, Ubalozi wa Marekani

    The U.S. Embassy is seeking for an individual for the position of House Manager for a senior level diplomat. OPEN TO: ALL ORDINARILY RESIDENT (OR) APPLICANTS. MUST HAVE THE REQUIRED WORK AND/OR RESIDENCY PERMITS TO BE ELIGIBLE FOR CONSIDERATION. OPENING DATE: March 4, 2020 CLOSING DATE...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya Office Messenger Dar es Salaam

    Affluence Training Ltd inatangaza nafasi 1 ya kazi ya Office Messenger- Dar Es Salaam kwa mkataba wa muda maalum. SIFA: Awe kijana wa Kiume, anayefahamu baadhi ya Mitaa ya Jiji la Dar Es Salaam, Awe anajua Kusoma na Kuandika tu, awe ana uwezo wa kujieleza kwa ufasaha, awe tayari kufanya kazi za...
  10. JamiiForums Tanzania Je, wajua kazi zinazofanywa na wanawake zingetengeneza nusu ya ajira?

    Wanawake nchini Tanzania hutumia wastani wa zaidi ya masaa 6 kwa siku kufanya kazi zisizokuwa na malipo kama kupika, kuchota maji - ukilinganisha na masaa 3 tu wanayotumia wanaume. Kama kazi wanazofanya zingegeuzwa kuwa za malipo zingetengeneza zaidi ya nusu ya ajira zilizopo. #IWD2020 #EachforEqual
  11. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta msichana wa kazi mwenye sifa hizi

    Sifa ya kwanza ni kuwa natafuta msichana maridadi/ mrembo/ mchangamfu anayeishi Dar ili tuweze kufanya biashara ya kutuma na kupokea fedha - mhusika ataanza kufuatilia michakato yote na kusimika hii biashara kwa usaidizi wangu. Biashara itafanyika katika moja ya suburbs za mji wa Dar. Awe ni...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Agizo la Rais juu ya taasisi za Serikali kupewa kazi za ushauri liliishia wapi?

    Rais anaposonga mbele, aliyoagiza nyuma yanasahaulika. Muongozo ulitolewa na serikali ya awamu hii ikiwa ni pamoja na ofisi za serikali kuhamia majumba ya serikali, mikutano kufanyika nyumba za serikali, kazi za ushauri kufanywa na taasisi za serikakali. Nionacho ni mapambano kati ya tabia za...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Jijini Nairobi yafuta uamuzi wa Kenya Airways kumsimamisha kazi Mfanyakazi aliyerekodi Ndege ya Wachina ikitua JKIA

    Kenya Airways’ decision to suspend employee Gire Ali has been voided by a Nairobi court after he moved to court to challenge the move. At the same time, the court also stopped the Office of the Director of Public Prosecutions (ODPP) from arresting and charging Mr. Gire. Gire, an Assistant...
  14. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi The School of St Jude Arusha

    Position: Facilities Officer Ref: TSOSJ/ HR/BO/PR/FT/01/20 Location: Moshono Business Office, Arusha, TANZANIA. Job Summary The School of St Jude is an educational institution, entirely funded by charitable donations, that provides free, high-quality primary and secondary scholarships to...
  15. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Baylor Tanzania

    Watoa Huwanyu (HBCs) (3) Posted by: Baylor Tanzania Location: Mbeya Baylor College of Medicine Childrens Foundation – Tanzania ni shirika lisilo la Kiserikali (NGO) maalum kwa kusaidia kutoa huduma zenye ubora wa hali ya juu, huduma fahamishi za maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (HIV/AIDS) na...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Siyo mzee Mangula tu hata Mbowe aliwahi kuanguka baada ya kufanya kazi kwa muda mrefu akalazwa hapo hapo Muhimbili

    Ni katika kuweka kumbukumbu sawa tu. Mwenyekiti wa CHADEMA aliwahi kuishiwa nguvu na kulegea ghafla hali iliyosababisha wasaidizi wake wamkimbize Hospitali ya Taifa Muhimbili. Taarifa ya madaktari ilieleza baadae kuwa hali hiyo ilisababishwa na uchovu baada ya Freeman kuwa amefanya kazi kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Askari aliyembaka mtoto wa askari mwenzake afukuzwa kazi

    Askari wa kikosi cha usalama barabarani, Willium Mwakatage anayedaiwa kumbaka mwanafunzi wa darasa la saba, ambaye ni mtoto wa askari mwenzake amefukuzwa kazi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Salum Hamduni amesema taratibu za kijeshi zimekamilika ikiwa ni pamoja na kumfukuza kazi...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Bila kuchelewa, Serikali ya Tanzania ijipambanue kupata uchaguzi huru na haki ili kuondoa upotoshaji

    Kwanza naomba Mods, uzi huu usiunganishwe na nyengine. Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na kauli mbali mbali kuhusu Madai ya tume huru ya uchaguzi Tanzania. Si vyama vya upinzani tu lakini hata wadau wa maendeleo na demokrasia wamesikika wakihimiza kwa serikali kuleta tume huru ya uchaguzi...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wanasiasa wengi siasa ni kazi

    Kuna wanasiasa wachache sana kwenye nchi zetu zinazoendelea wanafanya kazi ya siasa kama wanaharakati wa maendeleo. Wengi wa wana siasa wanafanya siasa kama kazi. Nchi zetu hizi ambazo ndiyo zina jitahidi kuanza kuleta maendeleo watu wengi wanaona wanasiasa ndiyo wenye pesa na magari mazuri...
  20. JamiiForums Tanzania Rwanda: Waziri wa Afya atimuliwa kazi kwasababu ya Corona

    Rais Paul Kagame wa Rwanda amfuta kazi Waziri wa Afya wa nchi hiyo Dkt Gashumba kwa madai kwamba Waziri huyo alimdanganya juu ya uwepo wa vifaa tiba kwa ajili ya kupima virusi vya Corona, Covid-19. Akizungumza katika mkutano wa kitaifa wa viongozi kujitathimini, Rais Paul Kagame alisema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…