Sasa ni dhahiri Mbatia akubali kufanya kazi ya CCM

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,231
Hapa akizuga kukamatwa ili ionekane hakutumwa

Mwenyekiti wa NCCR, James Mbatia akitoka katika kituo cha polisi Lwangwa ambapo  ( 640 X 640 ).jpg

Hapa akifanya kazi halisi aliyotumwa kuitekeleza ya kupokea walioitwa wanachama wa Chadema , hakuna mwanaccm wala mwingine wa chama kingine .

Subpost 1 - HUU UBATIZO WA NINI_  Zaidi ya viongozi 15 kutoka CHADEMA kata ya Lu ( 426 X 640 ).jpg

Subpost 2 - HUU UBATIZO WA NINI_  Zaidi ya viongozi 15 kutoka CHADEMA kata ya Lu ( 426 X 640 ).jpg

Swali ni hili , kazi hii aliyopewa na kulipwa ujira wake ataweza kuifanya au itamtokea puani ?

..... Baada ya muda mfupi tutataja majina ya wahusika wote na kiasi cha pesa waliyolipwa na ofisi ya ccm ya Wilaya .
 
Ndugu wacheni kuleta vitisho visivyo na tija wala muelekeo wowote. Wengi wetu humu JF ni washaniki au wafanyikazi wakupewa maagizo na kuyatimiza tuu.

Wanachama wanataka kusikia maneno ya viongozi, yakifuatiwa na vitendo. Vitisho vya zisismizi havisikiki na havitishi.
 
mtamponza Mbatia muishie kumpa ukuu wa Wilaya awe kama Sabaya , ubunge alionao tulimpa sisi na tutamnyang'anya sisi
Kwa hiyo unamuonea huruma!

Alipokuwa kimya huku mkiua NCCR-Mageuzi kwa fimbo ya UKAWA mlidhani ni mjinga kwa sasa mmeanza kumuonea huruma baada ya kugundua janja yenu!

Kama mna uwezo wa kumpa ubunge, kwa nini hamkumpa wabunge wengi!

Kumbuka NCCR-Mageuzi kilikuwa chama kikuu cha upinzani baada ya Uchaguzi Mkuu wa kwanza wa vyama vingi!
 
Hapa akizuga kukamatwa ili ionekane hakutumwa

View attachment 1377927

Hapa akifanya kazi halisi aliyotumwa kuitekeleza ya kupokea walioitwa wanachama wa Chadema , hakuna mwanaccm wala mwingine wa chama kingine .

View attachment 1377928
View attachment 1377929

Swali ni hili , kazi hii aliyopewa na kulipwa ujira wake ataweza kuifanya au itamtokea puani ?

..... Baada ya muda mfupi tutataja majina ya wahusika wote na kiasi cha pesa waliyolipwa na ofisi ya ccm ya Wilaya .
Matokeo ya kikao Cha Siri Cha ikulu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la CHADEMA na hasa wafuasi wao ''maandazi'' ni kudhani wao wana haki pekee ya kuwa chama kikuu cha upinzani nchini!
Kwa hiyo unamuonea huruma!

Alipokuwa kimya huku mkiua NCCR-Mageuzi kwa fimbo ya UKAWA mlidhani ni mjinga kwa sasa mmeanza kumuonea huruma baada ya kugundua janja yenu!

Kama mna uwezo wa kumpa ubunge, kwa nini hamkumpa wabunge wengi!

Kumbuka NCCR-Mageuzi kilikuwa chama kikuu cha upinzani baada ya Uchaguzi Mkuu wa kwanza wa vyama vingi!
Propaganda zenu hazitasaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom