kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Mheshimiwa Rais unalipa mishahara bure Kuna watu hawafanyi kazi

    Mheshimiwa Rais naomba nikushauri Jambo! Kutokana na keki ya taifa kuwa ndogo na kugawanwa kwa watu wachache tukianza na watumishi wa umma, majeshi, nk Ninapendekeza iundwe sheria watanzania tuwe tuna access ya kufanya kazi miaka 15 tu baada ya hapo mtu anachukua pension yake anaondoka. Hili...
  2. Nafasi za kazi Danish Refugee

    Danish Refugee Council – Tanzania Job Announcement WASH Assistant-Hygiene Promotion – NATIONAL POSITION (01) Danish Refugee Council (DRC) is an international non-governmental organization which provides assistance and promotes durable solutions for refugees and internally displaced people, on...
  3. Nafasi za Kazi Frankfurt Zoological Society

    1. Communications Technician (Radio) Job Summary Ensures that the digital VHF radio system installed in Selous Game Reserve (SGR) is fully functioning as per requirements of the park management. Support the installation and management of digital VHF radio in the south of SGR. Ensure that all...
  4. Mwandishi wa Habari wa The Citizen afukuzwa kazi. Kaponzwa na Maoni yake katika mitandao ya kijamii?

    Mwandishi wa Habari wa The Citizen amesimamishwa kazi. Taarifa zaidi zinabainisha kuwa ni kwa kukiuka Aidha, mwandishi mwingine Neville Meena naye amesitishiwa mkataba kwa sababu hizo hizo: Neville Meena avunjiwa Mkataba na Mwananchi Communications - JamiiForums
  5. J

    Natafuta kazi yoyote iliyo halali.

    Nina elimu katika shahada ya kwanza katika uhandisi kilimo ( bsc Agricultural engineering/Agro-mechanical). Natafuta kazi yoyote iliyo halali inayohusiana na hii fani yangu ama kazi yoyote inayofundishika. Mfano katika haya maeneo ninauwezo nayo. -Water supply. -Environmental impact...
  6. L

    Natafta mzungu wa kufanya nae kazi

    Elimu yangu form 6 natafta mzungu wa kufanya nae kazi yan ye awe mkuu wangu aniajiri kazi yoyote npo mwanza. Nina uzoefu wa computer, customer care, shopselling, usafi na kazi zingine za kawaida pia, ata mzungu asipopatikana ata mtu yeyote nipo tayari anipatie kazi.0762739590
  7. Nafasi za Kazi EGPAF

    The Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation is a global leader in the fight against pediatric HIV and AIDS, working in 16 countries and at over 5,000 sites around the world to prevent the transmission of HIV to children, and to help those already infected.Today, because of the highly...
  8. Nafasi za Kazi FQF Capital

    Job Title: Tracking Supervisor – Transport Job location: Dar es Salaam Company Name: FQF Capital Salary: Negotiable Job Description: * To work as Supervisor a team in the tracking call center and function as a vehicle tracking operator. * Responsible for monitoring and recording truck...
  9. Kipi kinaendelea kwa nafasi za kazi zilozotangazwa na TRA kupitia utumishi

    Habari wanajamvi, kuna Nafasi takribani 18 zilitangazwa na UTUMISHI za mamlaka ya mapato TRA katikati ya mwezi wa pili mpaka sasa ni kama mwezi mmoja na wiki moja kuna hali ya ukimyaa ambapo sio kawaida ikachukua muda mrefu kiasi hiki bila watu angarau kuwa shortlist. Swali langu la msingi je...
  10. C

    Natafuta kazi au kibarua cha muda mimi ni fundi sanifu umeme (Electrical Technician)

    Habari wana jamvi nimatumaini yangu nyote mu wazima. Mimi nikijana umri miaka 25 natafuta kazi au kibarua cha muda katika kada ya umeme au nje ya umeme naweza kufanya kazi sehemu yoyote lakini kwa sasa niko Dar es salaam. Nina ordinary diploma katika umeme (OD in electrical engineering )...
  11. Mwongozo wa kufanyia kazi Nyumbani wakati huu wa Mlipuko wa Corona

    Kutokana na mlipuko wa virusi vya Corona unaoendelea, moja ya njia kuu za kuzuia maambukizi ni watu kujitenga. Hivyo mataifa mbalimbali yanawataka watu wake kukaa nyumbani wakati huu wa mlipuko, ili kuepuka kuambikiwa au kuwaambukiza wengine. Kwa kuwa watu wengi wanakaa majumbani, kazi inabidi...
  12. Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

    Tanzania imethibitisha kisa kimoja cha virusi vya corona. Mgonjwa ni mwanamke wa miaka 46 raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji kwa ndege ya shirika la ndege la Rwanda Air. Kwa mujibu wa Waziri Ummy Mwalimu, Mwanamke huyo alitoka Ubelgiji na alikuwa anaishi kwenye nyumba ambapo kuna...
  13. F2 haifanyi kazi katika dell laptop japo button haina shida yoyote

    Nataka niingie katika boot setup ya laptop yangu..lakini kila niikiwasha na ku press F2 au del ili niingie setup option hairespond chochote.nimejaribu kutumia keyboard ya nje napo holaa..nifanyaje wakuu ili niingie kwenye bios setup? Lengo langu ni kuselect boot option iwe kwenye usb drive...
  14. Nafasi za kazi, walimu Agha Khan Mzizima Secondary School

    Aga Khan Education Service, Tanzania (AKES.T), is a private, not for profit, service company registered under the Companies Act and operates three schools in Tanzania offering the International Baccalaureate PYP / Diploma Programme, Pre IGCSE at grades 7 -9, IGCSE at Grades 10 and 11 and the...
  15. Nafasi za Kazi Sokowatch

    Sokowatch is transforming communities across Africa by revolutionizing access to essential goods and services. By connecting small shops to the digital economy, we fix inefficient supply chains and provide services that were previously unavailable. Sokowatch aims to provide everything a retailer...
  16. Nafasi za kazi UNICEF

    Position: Chief Nutrition, (P-4), Dar es salaam, Tanzania #00007053 Job Number: 530550 | Vacancy Link Locations: Africa: Tanzania,Uni.Re Work Type : Fixed Term Appointment UNICEF works in some of the world’s toughest places, to reach the world’s most disadvantaged children. To save their...
  17. Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

    Mahakama ya Kisutu leo Machi10, inatarajia kutoa hukumu kwa Viongozi wa CHADEMA wanaokabiliwa na kesi ya uchochezi Mahakamani hapo, Viongozi hao ni pamoja na Mwenyekiti CHADEMA, Freeman Mbowe, pia John Mnyika, Halima Mdee, Ester Bulaya, Ester Matiko, Heche, Msigwa na Mashinji. Katika kesi hiyo...
  18. Nafasi za kazi INADES Formation Tanzania

    Job Title: Conservation Agriculture Coordinator Company: INADES Formation Tanzania Location: Tanzania State: Dodoma Jobs Job type: Full-Time Job category: Agricultural Jobs in Tanzania Main Purpose: Responsible for co-ordination and execution of socio-economic training activities in the fields...
  19. Nafasi za kazi TPC Ltd

    Overview TPC Ltd is one of the fast growing sugar producing companies in Tanzania. The company is situated at the foot of Mount Kilimanjaro, 22kms south of Moshi Municipality. Applications are invited from energetic, proactive and dynamic Tanzanians to fill vacant positions at the Factory...
  20. Nafasi za kazi TPHS

    1. Position: National Registries Lead - Health Information System Development, Project Management and Coordinated Job Summary The National Registries Lead will play a key role in leading enhancements and integration of national registries with other systems. They will be responsible for...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…