kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Corona: Fumigation ni Bonge la Fursa, njoo tupige kazi

    Kila janga huja na Neema zake, poleni wote mnaouguliwa na kuuguza! Kwa sasa uhitaji wa Fumigation hauepukiki! Maofisi yanatakiwa kuwa fumigated, mabasi, nyumba za Wageni, mahotel na kwingine. Si kila dawa inafaa kutumika kwa fumigation, tupia uzoefu wako. Kizuri kula na nduguyo! Karibuni
  2. L

    Tanzania ya Viwanda: Zaidi ya wafanyakazi 90% wafutwa kazi kwenye kiwanda cha Mihogo kwa Nape

    Wassalam wana-JF, Mwezi Machi mwaka 2019, waziri Mkuu wa JMT Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa alizindua kikubwa na inawezekana cha pekee Mkoani Lindi maeneo ya Mbalala jimboni Mtama kinachojulikana kwa jina la CASSAVA STARCH OF TANZANIA CORPORATION. Kiwanda ambacho kinajishughulisha na uzalishaji...
  3. Kwenye kampeni mwaka 2015 huko Monduli Magufuli aliahidi kufanya kazi kama hayati Edward Sokoine,-Video

    Mwezi April tarehe 12 mwaka 1984 majira ya jioni, watanzania tulitangaziwa habari mbaya za kifo cha Edward Moringe Sokoine ambae alikuwa waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mtangazaji wa habari hizo alikuwa ni hayati baba wa taifa Mwalimu Julius Nyerere. Leo ni miaka 36 imepita...
  4. Naomba ufafanuzi wa Sheria ya kazi na mahusiano Kazini

    Habari Kiongozi, Ilikuwa mapema mwaka 2014 ndg yangu aliajiliwa kama Mwalimu katika Halmashauri moja hapa nchini hata hivyo alifanya kazi kw muda wa miezi nane Pekee na kuamua kumwandikia Mkurugenzi wake wa Wakati huo Barua ya kusudi la Kuacha kazi lakini hakujibiwa Badala yake Mwaka 2015 June...
  5. Public Health Specialist-Epidemics at Save the children - Dar es Salaam

    Position: Public Health Specialist-Epidemics – Tanzania Country Office TEAM/PROGRAMME: Humanitarian Response Team LOCATION: Dar es Salaam with frequent travel to the field GRADE: Grade 2 CONTRACT LENGTH: Six months Child Safeguarding: Level 3: the post holder will have contact with children...
  6. Wataalamu wa graphcs design, tunadesign logo, posters stickers na vipeperushi kwa bei sawa na bure

    habari zenu wakuu, kwa wale wote wanaotaka LOGO kwa ajili ya makampuni, NGO's na mashirika mbal mbali, ukitaka LOGO ya 3D au 2D zote tunadesign kwa 50,000 tu unapata brand logo yako nzuri na yakuvutia... pia ukiitaji POSTERS zenye kuvutia wasomaji tunadesign kwa 20,000 tu...na pia ukiitaji...
  7. J

    Corona: CHADEMA yaamua watendaji wake kufanyia kazi nyumbani isipokuwa wakuu wa idara, yasimamisha vikao visivyo na ulazima

    Naibu katibu mkuu wa Chadema Benson Kigaila amesema chama chake kimepunguza sana vikao na kuagiza watendaji wa HQ pale Ufipa st kufanyia kazi kutokea nyumbani ili kupunguza msongamano. Wakuu wa idara na viongozi wa juu wa chama ndio wataendelea kufanyia kazi ofisini kwa sasa. Pia Kigaila...
  8. Nafasi za kazi Palladium

    HP+ Tanzania Consultant— Formulation of a Population and Development Narrative Job Summary Palladium is seeking a qualified Tanzania-based consultant to support creating a sound, holistic and evidence-based narrative on “population and development linkages” in Tanzania. The development domains...
  9. Nafasi za kazi Startimes

    About us: StarTimes,also as a branding name of Star Media(Tanzania) Limited, is a Technology company that was established in 1988 in China. Pioneer and key player in digital television solution in China and Africa, where we have acquired over 7 million subscribers. We are currently operating in...
  10. J

    Madereva na Makondakta wa daladala kusajiliwa na serikali baada ya kuingizwa darasani na kupatiwa mafunzo ya kazi

    Waziri wa Ujenzi, uchukuzi na mawasiliano Injinia Isack Kamwelwe amesema serikali iko mbioni kuwasajili madereva na makondakta wa daladala ili kuboresha Huduma hiyo hapa nchini. Mh Kamwelwe amesema kabla ya kusajiliwa watendaji hao wa kwenye daladala watalazimika kupelekwa darasani na kupatiwa...
  11. Nafasi za Kazi THSTDA. TCB, IJA,

    Ref.No.EA.7/96/01/K/181 6th April, 2020 VACANCY ANNOUNCEMENT On behalf of the Tanzania Smallholder Tea Development Agency (TSHTDA), Tanzania Coffee Board (TCB) and the Institute of Judicial Administration Lushoto...
  12. J

    Makonda: Wazururaji hawataenda gerezani bali watafanya kazi za kuzibua mitaro, kufyeka nyasi na kusafisha barabara

    Mkuu wa mkoa wa Dsm Paul Makonda amesema watu watakaokamatwa wakizurura jijini Dar watawajibishwa kwa kuzibua mifereji, kufyeka nyasi, kufagia barabara na kufanya kazi nyingine za usafi. Makonda amesema hatawaweka mahabusu wazururaji kwa ajili ya kuepusha msongamano wakati huu wa Corona. Hivyo...
  13. Data Manager at THPS

    Overview Tanzania Health Promotion Support (THPS) is an indigenous NGO established under nongovernmental organization act No 24 of 2002 in 2011. THPS works in partnership with the Ministries of Health Community Development Gender Elderly and Children (MoHCDGEC) and Regional Administration and...
  14. Nafasi za kazi, Deputy Human Resources Manager

    Position: DEPUTY HUMAN RESOURCES MANAGER( Nduta Camp - Kibondo) Médecins Sans Frontières (MSF) Job Summary Implement general administrative procedures in order to ensure documentary traceability as well as compliance with local labour and fiscal regulations, under the Project Finance & Human...
  15. Mashine za kutafsiri kazi za Ubongo

    WANASAYANSI wameweza kuongeza utaalamu zaidi wa kutambua jinsi binadamu anavyozungumza kwa kuangalia mfumo wa ubongo wake. Wataalamu hao wameweza kuhamisha mfumo wa ubongo kwa jinsi sentensi zinavyoundwa katika uhalisia na kupata kiwango cha makosa cha asilimia tatu katika neno. Awali mashine...
  16. I

    Wakuu nina bachelor degree ya mechanical engineering natafuta kazi

    Wakuu mimi ni kijana wa kitanzania na mwenzenu humu kwa miaka mingi kidogo nina bachelor ya mechanichal engineering pia nipo registered na erb natafuta kazi wakuu associated na fani yangu husika,..kama kuna mkuu yeyote yupo sehemu wanauhitaji huu au anaweza nisaidia natanguliza shukrani nyingi...
  17. Polisi wanne wasimamishwa kazi Kenya

    Hatimaye serikali ya Kenya imeonekana kuchukua hatua dhidi ya mauaji na ukatili unaoripotiwa kuendelezwa na maafisa wa polisi wanapoidhinisha amri ya kutotoka nje ya saa moja usiku hadi saa kumi na moja asubuhi. Idara ya usalama imetangaza kuwa polisi wanne wamesimamishwa kazi kusubiri...
  18. Hizi ndizo kazi za vyama vya siasa

    Salaam wanajamvi, Tukiwa tunaendelea kupambana vita dhidi ya kirusi Covid 19 au Corona, nimeona tukumbushane kidogo baadhi ya kazi za vyama vya siasa pamoja na asasi zisizo za kiserikali. Pamoja na mambo mengine kazi za vyama vya siasa ni pamoja na kuelimisha wananchi juu ya haki za binadamu...
  19. Natafuta kazi ya kufundisha, masomo yangu ni Kiingereza na Kiswahili

    Mimi Ni mwalimu by professional Nina degree ya kwanza gpa 4.masomo kiswahili na kiingereza,ninahtaji mshahara wa 3.5m kufundisha. ninafanya kazi mshahara wa sasa 1.2 m
  20. B

    Kwanini ukiacha kazi NSSF hawataki kutoa hela zako? Je, ni baada ya muda gani watakulipa?

    wadau naomba kuuliza, mimi nilikuwa nafanya kazi kwenye taasis flani ya private lakini niliacha na kwenda serikalini. Nilikwenda kufuatilia pesa zangu NSSF wakaniambia kama umeacha huwezi kupewa labda ungefukuzwa, nikasema msinipe cash bali mpeleke kwenye mfuko wa serikali PSSSF lakini bado...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…