Wakuu nina bachelor degree ya mechanical engineering natafuta kazi

ilala yetu

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
1,237
1,919
Wakuu mimi ni kijana wa kitanzania na mwenzenu humu kwa miaka mingi kidogo nina bachelor ya mechanichal engineering pia nipo registered na erb natafuta kazi wakuu associated na fani yangu husika,..kama kuna mkuu yeyote yupo sehemu wanauhitaji huu au anaweza nisaidia natanguliza shukrani nyingi kwake..

Update

Wakuu bado lengo langu kuu la kuja kwenu na uzi huu halijatimia.
Kama kuna mkuu yeyote anaweza nisaidia kupata kazi ya fani yangu husika au kunionesha njia ya kupita kufikia lengo lngu husika natanguluza shukrani nyingi kwake.
 
Wakuu mimi ni kijana wa kitanzania na mwenzenu humu kwa miaka mingi kidogo nina bachelor ya mechanichal engineering pia nipo registered na erb natafuta kazi wakuu associated na fani yangu husika,..kama kuna mkuu yeyote yupo sehemu wanauhitaji huu au anaweza nisaidia natanguliza shukrani nyingi kwake..
Fungua inbox yako nikutumie tangazo la kazi
 
Mkuu andika tu tangazo apo nyumbani kwako kama kuna mazingira rafiki pamoja na online kwa platform mbalimbali
Kuwa
Unatengeneza Majenereta, unarepair fridge. Unafunga na kushusha engine za pikipki na bajaji na kufanya maintainance unadesign na kurepair mechanical Device mbalimbali

Ni ushauri tu japo sio rahisi ila unaweza kujaribu

Kupanga ni kuamua

#Stayhome safe COVID-19 is everywhere
 
Wakuu mimi ni kijana wa kitanzania na mwenzenu humu kwa miaka mingi kidogo nina bachelor ya mechanichal engineering pia nipo registered na erb natafuta kazi wakuu associated na fani yangu husika,..kama kuna mkuu yeyote yupo sehemu wanauhitaji huu au anaweza nisaidia natanguliza shukrani nyingi kwake..
Mechanichal
erb
 
Shukrani kwa ushauri mkuu,,..ila ikipatikana kazi ili nianze kujitafuta kama kijana itakua poa zaidi
Mkuu andika tu tangazo apo nyumbani kwako kama kuna mazingira rafiki pamoja na online kwa platform mbalimbali
Kuwa
Unatengeneza Majenereta, unarepair fridge. Unafunga na kushusha engine za pikipki na bajaji na kufanya maintainance unadesign na kurepair mechanical Device mbalimbali

Ni ushauri tu japo sio rahisi ila unaweza kujaribu

Kupanga ni kuamua

#Stayhome safe COVID-19 is everywhere
[/QUOTE shukrani kwa ushauri mkuu..ila ikipatkana kazi ili nianze kujitafuta kama kijana itakua poa zaidi.
 
Kama kuna mkuu yeyote anaweza saidia nikapata kasehem kakujishkiza kwa fani yangu husika natanguliza shukrani nyingi kwake..
 
Wakuu mimi ni kijana wa kitanzania na mwenzenu humu kwa miaka mingi kidogo nina bachelor ya mechanichal engineering pia nipo registered na erb natafuta kazi wakuu associated na fani yangu husika,..kama kuna mkuu yeyote yupo sehemu wanauhitaji huu au anaweza nisaidia natanguliza shukrani nyingi kwake..
Mkuu nitaomba nipate namba yako kama utajali kwa nia njema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom