kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Sina kazi na nahitaji pesa km kuna mtu ana kazi/kibarua cha muda na anahitaji usaidizi au mtu wa kufanya tafadhali nipo hapa

    Kama kichwa cha habari hapo juu mm ni me umri ni late 20s, nipo dar es salaam kwa sasa elimu ni shahada ya maendeleo ya watu na ninafamilia kwa mwenye kazi ninamudu kazi mbalimbali za kutumia nguvu na za akili pia nahitaji nipo teyari kuifanya kazi yako vizuri. Kwa mwenye kazi au connection...
  2. JamiiForums Tanzania Wizara ya Kazi na Ajira angalieni mfumo wa makampuni kukodisha wafanyakazi

    Mfumo wa ukodishaji wa wafanyakazi umeshika kasi sana hususani kwa makampuni Mengi makubwa hapa nchini, hili lipo sana sana kwa yale makampuni yaliyo na chimbuko la nje ya nchi. Mfumo huu unaviashiria vya ukwepaji wa mambo fulani ikiwemo kodi kwa Serikali, utakatishaji wa fedha na kunyonga...
  3. JamiiForums Tanzania Wanaotafuta kazi, ajira, internship, apprenticeship, kujitolea, pitia HAPA

    Wanaotafuta kazi, ajira, internship, apprenticeship, kujitolea, pitia HAPA. Jiulize, je wewe ni: 1. Unayejali kazi (Professional) 2. Mwadilifu (Ethical) 3. Mwenye mtazamo sahihi (Right attitude) 4. Mbunifu, utakayeongeza thamani uendako (creative, add value). Jiandikishe TAESA.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi idara ya mauzo- Platnum credit Morogoro

    Habari, FURSA YA AJIRA KWA VIJANA NA WATUWAZIMA ELIMU KUANZIA - KIDATO CHA NNE NA KUENDELEA. PLATINUM CREDIT - KANDA YA MOROGORO Tunatangaza nafasi za AJIRA mpya idara ya MAUZO -KANDA YA MOROGORO ( GAIRO, MVOMERO,IFAKARA,KILOMBERO,MAHENGE/ULANGA,MALINYI,MLIMBA),Tunahitaji watu wenye uzoefu...
  5. V

    JamiiForums Tanzania Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

    Idadi yao yawezafikia watatu, ingawa mmoja alikanusha. Ila wawili nina uhakika maana alikubali na kuomba msamaha. Tuna miaka zaidi ya kumi ndoani. Kazi yangu ni ya kusafiri sana. Saikolojia yangu imeathirika ikiwemo kutojiamini na pia pressure.
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Mpango aagiza watumishi 22 wa TRA kusimamishwa kazi

    Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akizungmza na Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti pamoja na Mameneja wa Mikoa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA na kuwapa maelekezo ya kuboresha zaidi utendaji wao wa kazi, kuimarisha mazingira ya ufanyaji biashara na kuongeza...
  7. JamiiForums Tanzania CPJ: Mwaka 2020, waandishi 274 wamekamatwa kutokana na kazi zao ukiacha wale waliopotea

    Kamati ya Kuwalinda Waandishi wa Habari(CPJ) imeripoti kuwa hadi kufikia Desemba 1, 2020 waandishi 274 walifungwa, idadi hiyo ikiwa kubwa kubwa kuliko ile iliyoripotiwa 2016 ambayo ilikuwa ni 272. China inatajwa kuwa nchi inayokamata waandishi wa habari wengi zaidi, ikifuatiwa na Uturuki. Nchi...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Serikali ipige marufuku mara moja hizi pyramid schemes kama Q-NET na kamari nyinginezo kwani zinaliathiri Taifa na kuua nguvu kazi ya Taifa

    Kila uchao watanzania wanaumizwa na ghilba zilizobeba miradi hii haram kuwa watapata maisha bora! Ilianza DECI, watu wakakimbilia kama nyumbu. Hadi leo wamekuwa mafukara. Ikaja sasa Q-NET mara FOREVERLIVING, MR KUKU pia ziko kamari lukuki hivi sasa, bila kusahau MIKOPO UMIZA mitaani. Wengi...
  9. JamiiForums Tanzania Ewe mwanamke, tupe mkasa wako ulivyompenda mshamba wa mapenzi, ukamrahisishia lakini bado tu anahangaika

    Kuna wanaume wanatokeaga kupendwa sana na wanawake lakini kwa sababu wana ushamba wa mapenzi, mwanamke anatokea kufanya shughuli kubwa mno ili kumrahishia mwanaume kazi lakini bado mwanaume huyo anakuwa hajui kinachoendelea. Ewe mwanamke, kama uliwahi kukutana na hali hii, mwaga mkasa wako hapa
  10. S

    JamiiForums Tanzania Walimu wa vyuo vikuu ambao hawajawahi kufanya kazi katika field wanazofundisha, wanaweza kuwa walimu wazuri?

    Habari wakuu, Kuna jambo moja huwa najiuliza kuhusu walimu (wahadhiri) wa vyuo vikuu ambao tangu wamalize shahada zao za kwanza na kufanya vizuri, hawajawahi kufanya kazi katika taaluma walizosomea lakini wanaendelezwa/wanajiendeleza mpaka kufikia kupata Doctorate au Uprofesa na kurudi vyuoni...
  11. JamiiForums Tanzania Civil Engineer natafuta kazi, HR & Project Managers Naomba Msaada

    Nakuja kwenu kwa Mara nyengine nikiwa na maombi ya kupata fursa ya kushiriki katika tasnia ya Ujenzi nikiwa ni kama Mhandisi wa Ujenzi, matamanio yangu ni kutumia ujuzi na Elimu yangu katika kuongeza thamani ya Kazi za Kampuni au taasisi, kushiriki katika kuhakikisha malengo yaliyowekwa na...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Polepole fuata sheria za kazi, saa 3 usiku siyo muda wa kazi

    Katibu mwenezi wa CCM na Mbunge wa kuteuliwa anaendesha kipindi mubashara cha "Papo Kwa Papo" saa 3 usiku lkn anawapigia simu watendaji wa serikali akitaka watolee ufafanuzi baadhi ya kero za wananchi. Yaani anataka mambo ya kiofisi (ya kikazi) yatolewe ufafanuzi muda wa kukaa na familia ama...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amemtaka Katibu Mkuu Kiongozi kuwapunguzia mishahara watumishi wote TMAA kwa kufanya kazi ya hovyo

    RAIS John Magufuli amemtaka Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi, kuwapunguzia mishahara watumishi wote waliokuwa wakifanya kazi Wakala wa Ukaguzi wa Madini (TMAA) ambao umefutwa na kuhamishiwa Wizara ya Madini, kwa sababu kazi waliyoifanya wakiwa TMAA ilikuwa ya hovyo Amesema watumishi hao...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie connection ya kazi au Internship, nina Shahada ya Uhasibu

    Habarini wakubwa, Nimekuja kwenu nikiamini kwamba JamiiForums ni sehemu inayokutanisha watu wengi tofauti tofauti, waliojikita katika nyanja na sekta tofauti, hivo nimeona ni sehemu sahihi ya kutanua network yangu na kupata msaada juu ya hili swala. Mimi Ni kijana fresh graduate ninayeishi...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Nina degree ya uchumi, naombeni msaada nipate kazi au intern

    Habarini za wakati; Nimemaliza chuo mwaka 2019 na ninadegree ya uchumi (Bachelor degree of science in economics; economic policy and planning) nimejitahidi kutafuta sehemu ya kujitolea, kazi au intern ila imekuwa shida kupata, naombeni msaada wenu kwa yoyote atakayeweza nisaidia kupata kazi au...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wa safari hii hawana safari zakushtukiza maeneo yao ya kazi?

    2015 muda Kama huu Kigwangala alikuwa tayari ameshasimama getini kushughulika na watoro na wachelewaji maofisini. Dakika Kama hizi tayari watu wameshafungasha virago kwa fitina za mkuu wa mkoa wa Dar. Dakika hizi viongozi waandamizi washautwa mafisadi wanapambana na maelezo polisi na takukuru...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Msaada mwenye connection ya kazi za migodini

    Habari zenu wanajamvi..! Binafsi ni muhitimu wa ngazi ya shahada ya kwanza katika kada ya uchimanji madini (BsC in Mining Engineering) . Ninaomba msaada kwa yeyote mwenye connection ya kazi katika migodi anisaidie. Nina uzoefu katika usimamiaji wa crusher na plant . Pia nina leseni ya...
  18. JamiiForums Tanzania Kwangu mimi Rais Magufuli amefanya jambo la haraka kumuondoa Naibu Waziri wa Madini, hakuna uhusiano wowote kati ya kuzungumza na kufanya kazi

    Francis Ndulane alikuwa Mhasibu Mkuu wa Tanroads Mkoa Lindi, Magufuli alipo ingia Madarakani kama Rais akamteua kuwa Mkurugenzi wa Mji Ifakara. Mwaka huu akagombea ubunge, kwenye kura za maoni ndani ya chama akashika nafasi ya tatu kwa kupata kura 21 nyuma ya Ahmed Raphael Bongi aliyekuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Programu ya Chombo cha Samsung haifanyi kazi

    Je! Kuna mtu yeyote hapa ametumia zana ya Samsung (toleo la Windows) kufungua vifaa vyovyote vya Samsung? Hivi majuzi nilipakua programu hii kwa kompyuta yangu. Lakini siwezi kusakinisha hii kwenye kompyuta yangu kwa sababu inahitaji nywila. Hakuna faili ya maandishi iliyoambatanishwa na faili...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Nani mkweli kati ya hawa watu? Spika, NEC au CHADEMA?

    Chadema wanasema hawakupeleka majina NEC,nani alipeleka? NEC wanasema Mnyika kama katibu mkuu aliwapelekea majina tena yaliyopewa baraka na kamati kuu ya Chadema. Hii ni kweli au sio kweli? Spika anadai hawezi kuvua ubunge wabunge ambao kwa mujibu wa katiba ya JMT sasa hivi hawana chama maana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…