kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi/ internship/kibarua chochote taaluma yangu accounting and finace+driving

    Dear sir/madam Natafuta naishi dar es salaam gongo la mboto natafuta kazi yeyote au kibarua cha kuendesha maisha a) Nina umri miaka 24 b) Sijaoa c) Taaluma yangu accounting & finance uzoefu wangu custormer cara na sales kwa miaka 3 pia nina uzoefu wa driving miaka 4 d) Nina uwezo wa...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi hata kibarua

    Habari Madam/sir Natafuta kazi hata kibarua cha kuendesha maisha yangu. #Ninaweza kufanya kazi yeyote tofauti na taaluma nilizonazo a) ninaumri wa miaka 24 b)Naishi gongo la mboto DSM c) taaluma yangu stashahada accounting&finance nina uzoefu wa customer care , sales 3yeaes d) nina...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kazi za mkataba

    Habari zenu wakuu Samahani kuna kazi zilitangazwa na Tumbi hospital kwa walio omba tujuzane Kuna waloitwa?
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta Binti (Dada wakusaidia Kazi) Awe na Sifa hizi

    Habari. Natafuta binti wakusaidia kazi kidogo za ndani. Awe na Umri at least kuanzia miaka 20 nakuendelea. Akiwa amefika Kidato cha Nne itapendeza sana. Aweze kuishi kirafiki kabisa, Nyumba ina Watu Wawili tu! Means yeye atakuwa watatu. Atalipwa Tsh. 100,000/= kwa Mwezi. + Posho (kulingana na...
  5. JamiiForums Tanzania Napendekeza serikali iweke kipengele cha cheti cha JKT kwenye matangazo yote ya kazi katika Taasisi za kiserikali na utumishi

    Napendekeza serikali iweke kipengele cha cheti cha JKT kwenye matangazo yote ya kazi katika Taasisi za kiserikali na utumishi. Hii italeta maana ya vijana wetu kupitia, mafunzo haya ya JKT. Na italeta hamasa kwa wale ambao hawapendi kwenda kulitumikia Taifa huko JKT. Mimi nimetoa pendekezo tu,
  6. JamiiForums Tanzania Kujiuzulu kwa Mh. MO Simba ni kwa mujibu wa kanuni au ni kutokana na kazi zake nyingi?

    Kanuni za biashara na uwekezaji ndizo zilizomlazimisha mo kujiuzulu uwenyekiti simba au ni kwakuwa mo anasafiri sana nje ya nchi? Wenye ujuzi kwenye hili atudadavulie. Kuwa mwekezaji na kuwa mwenyekiti ni sawa?
  7. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Msingi wa uongozi ni kutumikia wale unaowaongoza, Kafuateni sheria na miongozo ya serikali, mfanye kazi za wananchi

    Nawasalimia kwa jina la JMT, Hiki ndicho alichokiandika Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwenye ukurasa wake wa tweeter,
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya house girl

    NAFASI YA KAZI YA HOUSEGIRL Anahitajika mfanyakazi wa ndani (mwanamke) House Girl mwenye vigezo vifuatavyo: 1) Mtu mzima wa umri miaka kuanzia 30 mpaka 36 2) Awe na ujuzi wa kazi zote za ndani ikiwa ni pamoja na usafi na kupika 3) Ajue kuongea English na uzoefu wa kufanya kazi na wageni (...
  9. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi 250 Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Tanzania 2021

    Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji John Masunga, atangaza nafasi za kazi kwa vijana waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).
  10. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya ulinzi: mshahara laki 1. Pesa ya kula elfu 30. Mbezi Dar

    Wahi chap nikuunganishe upate hii kazi. night shift kwenye lodge Taarifa muhimu nimeweka juu ukiona mshahara sio size yako acha povu. Mlinzi mlinzi mlinzi
  11. JamiiForums Tanzania Wamachinga hawachukiwi- Wanasiasa acheni taaluma ifanye kazi ili kupanga miji

    Ni ukweli usio na shaka mahali popote duniani kuwa miji na matumizi ya maeneo katika miji hupangwa. Mipango miji ni TAALUMA na inasomewa. NI ukweli pia usiopingika kuwa kuwa MAZINGIRA ni taaluma, inasomewa pia BIASHARA ni taaluma . Katika manispaa na miji wataalamu hawa wameajiriwa ili...
  12. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi 350 Idara ya Uhamiaji Tanzania 2021

    Idara ya uhamiaji Tanzania wametangaza nafasi za kazi 350 kwa watanzania kama tangazo linavojieleza hapa chini
  13. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kusimamia mradi wa biashara

    Habari za za leo watu jf mm n mkazi wa Dar, Nina miaka 24 mwanafunz wa degree bachelor of Economics and int trade. Niko China kimasomo, lakin kwasabb y corona, Bado tuko bongo turirud since 2020 niko naendelea n online studies. Lengo la kuandika ni kuwa naomba kazi yoyote y kusimimamia mradi...
  14. JamiiForums Tanzania Nafasi 700 za kazi kutoka Jeshi la Magereza 2021

    Jeshi la magereza Tanzania limetangaza nafasi za kazi 700 kwa watanzania mbalimbali wenye elimu ya kuanzia kidato cha nne mpaka degree mwisho wa kutuma maombi ni October 10 2021 Kwa maelezo zaidi download pdf file iko hapao chini
  15. JamiiForums Tanzania Profesa Shivji ashangazwa na uteuzi wa wafanyabiashara kwenye uongozi wa TANESCO

    Msomi wa kiwango cha kimataifa wa Tanzania, Profesa Shivji ameshangazwa na kitendo cha wafanya biashara kuchaguliwa kuongoza taasisi za umma. Shivji anasema sekta ya umma haiwezi kuchangamana na sekta binafsi. Sisi wengine tumeshangazwa na uteuzi wa wafanya biashara na watu wenye maslahi...
  16. JamiiForums Tanzania Una uzoefu na uoshaji wa magari? Nafasi ya kazi hii hapa

  17. K

    JamiiForums Tanzania Wakili mwandamizi wa Serikali (Senior state attorney upatikana kwa umahiri wa kazi au ni kwa muda mrefu kazini?

    Nimekuwa nafuatili Sana kesi zilizofunguliwa Kisutu, Mahakama Kuu na Mahakama ya Mafisadi. Mara nyingi Mawakili wa serikali uongozwa na wakili ambaye utambulika Kama "Senior state attorney", kwa kiswahili kisicho rasmi Ni wakili Mwandamizi wa serikali. Kwangu Mimi maana ya " senior" ni mtu...
  18. JamiiForums Tanzania Shairi: Nimepata Kazi

    Nianzie kwa salamu, hali zenu kutambua, Maana ninayo hamu, histori simulia, Nimifikia hatamu, masomo kumalizia, Ninachoweza kusema, sasa nimepata kazi. Jina langu Bilalama, Kitumba ndio mzizi, Ninatokea Kigoma, ndani ndani kichiizi. Mtanzania salama, kilimo kwetu jahazi. Ninachoweza kusema...
  19. JamiiForums Tanzania Mitoto mingine sijui ikoje? Kazi ya ualimu ni ngumu sana aisee

  20. K

    JamiiForums Tanzania Tiba ya Ukatili kwa Watoto na Saikolojia ya Msichana wa kazi

    Mama ni Tiba nambari moja ya kuzuia Ukatili kwa Watoto na Uponyaji wa kisaikolojia kwa wasaidizi wa kazi za Ndani. Zipo Shughuri nyingi sana zinazoweza kumsaidia mwanamke kuhakikisha chakula kipo nyumbani hata Kama baba kashindwa kusimama kwenye nafasi yake, zipo Shughuri nyingi za kumsaidia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…