kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Daraja Korofi la tangu Uhuru la Fundimbaga -Tabora mita 45 kwa muda mchache liko tayari

    Rais Samia Suluhu kwa kutumia Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini TARURA, Huu ni muonekano wa Daraja jipya la Fundimbaga lenye urefu wa mita 45 katika barabara ya Tabora - Fundimbaga, Daraja hili linalounganisha kata za Matemanga na Marumba Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hii ni kazi inayopaswa kufanywa na Jaji au Mahakimu wa Mahakama ya Mwanzo?

    Jaji ni mtu mkubwa na mwenye hadhi ya juu Sana katika mfumo wa Mahakama. Majaji pamoja na kuwa na hadhi ya juu pia ni watu ambao wanamajukumu mahususi na wanapaswa kufuatilia mambo nyeti kwenye kesi zinazofikishwa mbele yao. Hili kuweka heshima ya Mahakama na kuzuia Mahakama kuchezewa Jaji...
  3. JamiiForums Tanzania Wenye diploma wanaula!! Wapo wachache tofauti na kazi zinazohitaji degree ambazo ushindani ni mkubwa kupita maelezo

    Napitia hapa kazi za tra nimeona kuna kazi zinahitaji diploma, kiukweli diploma wanakuwaga wachache na hii inakuwa faida kwa wenye diploma maana nafasi hizi mtu aliepitia form 6 hawezi ku appy Kimbembe kipo kwenye degree huku, ni shoida!! kuna rundo la vijana wengi mno wanaomaliza form 6 kila...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana kuhusu kazi

    Tanzania ni nchi yenye vijana wengi na wengi wa hawa madogo wanakaa na kusubiri serikali kuwaletea ajira. Mimi kama diaspora nawashauri mchangamke hasa kwa wale vijana wenye elimu kama wenzetu wa Kenya kwa mifano hii hapa 1. Kwanza kwa sasa unaweza kufanya kazi nchi nyingine ukiwa Tanzania...
  5. JamiiForums Tanzania Google Earth itasaidia kuishangaza dunia juu ya kazi za Rais Samia

    Mchakamchaka wa kujenga madarasa nchi nzima utaishangaza dunia kupitia Google Earth waki update image zao by January 2022. Nchi itakuwa imejaa mijengo tu nchi nzima. Huwezi amini Kuna shule naijua imepewa madarasa kumi kwa mpigo. Hakyanani mama unajua kucheza draft bila mbwembwe. Watu wengi...
  6. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya hawajui Kiingereza; Watumishi wa afya 290 kati ya 300 wafeli mtihani wa Kiingereza ili kupata kazi Shirika la Afya la Uingereza

    Watumishi wa afya 290 kati ya 300 nchini Kenya wamefeli mtihani wa Kiingereza ambao ungewawezesha kupata kazi katika shirika la afya la Uingereza (NHS). Julai 2021 Kenya iliingia makubaliano na Uingereza ambayo yatatoa fursa za ajira kwa wauguzi (wa Kenya) ambao hawana ajira.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana wa kazi kutoka Kigoma

    Habari za leo wadau. Natafuta kijana wa kulinda mji na kuweka msafi wakati wote kutoka kigoma. Awe; 1. MUAMINIFU, 2. mcha MUNGU 3. MKWELI na 4. MCHAPA KAZI KWELIKWELI Mshara ni Tzs 100,000/= kwa mwezi. Atatumiwa nauli ya kutoka huko kija huku. Naomba anitafute kwa namba hizi 0787998926...
  9. JamiiForums Tanzania Jinsi Injini ya Ndege aina ya Jet inavyofanya kazi

    Bila shaka umewahi kujiuliza 'injini ya ndege za abiria inafanyaje kazi? Na huenda hukupata majibu! Ukiendelea kusoma,utapata jibu la swali hilo, Kwanza, hebu tuone sehemu za injini ya ndege. Zifuatazo ni sehemu kuu tano za injini ya ndege (Jet Engine) 1.Air inlet Hii ni sehemu ya mbele kabisa...
  10. JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi yoyote, elimu yangu ni Kidato cha Sita

    Naomba kazi yoyote, elimu yangu form six nina Division One. Umri miaka 22 Nipo Dar es Salaam. Naomba connection
  11. JamiiForums Tanzania Mliopo Mafinga tupeane michongo ya kazi za viwandani

    Ndugu zetu mliopo Mafinga tunaomba mtupe connection ya kazi za viwandani huko. Mtuambie viwanda vilivyopo na malipo yake kwa kila kiwanda. Pia kama nafasi zipo tunaomba mtushirikishe na sisi. Huku mjini njaa ni kali sana.
  12. JamiiForums Tanzania Tetesi: Makatibu wa CCM wilaya waliohamishwa vituo vya kazi wagoma kuripoti vituo vipya walivyopangiwa

    Mada inahusika. Makatibu wa CCM wa wilaya nchi Tanzania, wamehamishwa kwenye vituo vyao vya kazi na wamegoma kuripoti kwenye vituo vipya walivyopangiwa. Sambamba na hilo wakatibu zaidi ya 30 wamepangiwa kazi zingine jambo ambalo hawakubaliani nalo na wamediriki kutoa rushwa Ili wapangiwe tena...
  13. JamiiForums Tanzania Ni asilimia 21 tu zitaenda kwa Wazanzibari katika Nafasi 1,097 za kazi kutoka TRA, marekebisho yanahitajika

    Kwanza nitoe pongezi kwa serikali iliyosikia kilio cha vijana kwa kutoa ajira zaidi ya elf 1 TRA. Kama mnavyojua, Kwenye ajira wazanzibar hupewa asilimia 21, kwa hio katika hizi nafasi 1,097 ni sawa na wazanzibari 230 tu, 230 hao bado ni wachache kulingana na idadi kubwa ya vijana wanaomaliza...
  14. JamiiForums Tanzania NAFASI ZA KAZI

    Wanahitakija Mabinti na vijana wenye uwezo wa kutoa Huduma ya Chakula/Hotel Maombi ya kazi : Jinsi ya Kutuma maombi andika barua ya kuomba kazi ukiambatanisha na mawasiliano yako na vyeti itapendeza zaidi tuma kwa Barua people iliyo ambatanishwa hapo chini Mahali : Dar es Salaam, Kinondoni &...
  15. JamiiForums Tanzania NATAFUTA KAZI ZA UTENDAJI

    Wanaforums wenzangu naombeni msaada niweze kupata kazi ya utendaji nimatamanio yangu nipate ajira ya kudumu hata utendaji tu ni miaka mingi natafuta kazi naishia kupata vibarua tu vya muda mfupi. Nina diploma(2013) na degree(2016) ya uhasibu toka TIA. Asante
  16. D

    JamiiForums Tanzania Serikali kutumia kigezo cha kupitia JKT ili kupata nafasi za kazi wakati si vijana wote huchaguliwa kujiunga na JKT ni ubaguzi wa wazi

    Kumekuwa na tabia za hivi karibuni, kwamba ili upate nafasi za kazi kwa vyombo vya ulinzi na usalama, mojawapo ya sifa ya waombaji ni kupitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa. Huu ni ubaguzi wa wazi kabisa. Hivi toka lini vijana wote waliohitimu kidato cha sita waliitwa wote kujiunga na jeshi...
  17. JamiiForums Tanzania Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

    Habari wadau, niliwahi kuja na uzi hapa kuhusu D09 CLUB Miezi michache kabla haijapotelea kusikojulikana na nilishambuliwa sana na waliliwa pesa zao na bila kujua hatma yao wanarudishiwa vipi na nani. Leo naomba nije na mambo 30 usiyoyajua kuhusu Qnet. Qnet ni network marketing ambayo imevuta...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kazi za TRA ni bora sanaa kimaslahi?

    Wajumbe salamaaa. Ni yuleyule Mr. Liverpool nikireport kutoka Anfield chini ya Mzee Klop..!! Ngoja niingie kwenye mada. Tarehe 22/10 TRA kupitia Sekretarieti ya ajira ili tangaza nafasi za ajira kibao. Lile Tangazo bana likafika Ofisini..!! Mimi ni mfanyakazi wa halmashauri fulani humu...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kwenye garage au yard

    Ndugu kama kuna mtu ana garage au yard anipe mchongo. Nishafanya kazi za garage na nin auzoefu nazo kwa ndani ya nchi na hata kwa nje ya nchi yaani nishakuaga katika kampuni za transit good s. Naweza Fanya KAZI zote za garage. Napatikana Dar. Kiufupi kazi zinazohusiana na gari gari Mimi niko...
  20. JamiiForums Tanzania Fursa ya kazi za uzabuni: Buzuruga Dispensary mwanza

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…