Nahitaji kazi yoyote, elimu yangu ni Kidato cha Sita

Ma mee

Member
May 20, 2021
38
52
Naomba kazi yoyote, elimu yangu form six nina Division One.

Umri miaka 22

Nipo Dar es Salaam.

Naomba connection
 
Naomba kazi yoyote tuu nina miaka 22
Nipo dar es salaam.

Naomba connection
Kwa pass zako naamini unakwenda chuo ambapo tayari vinafunguliwa Au hujapata chuo? Au umepangwa Dar hivyo unahitaji kufanya muda wa ziada? Ulisoma combination gani A- level?
 
Kwa pass zako naamini unakwenda chuo ambapo tayari vinafunguliwa
Au hujapata chuo? au umepangwa Dar hivyo unahitaji kufanya muda wa ziada? Ulisoma combination gani A- level?

Nilisoma PCB nnachangamoto ya fee nimepata kairuki udaktari ada ni bei mno.. nataka nifanye chochote labda mwakani nitaendelea au nijaribu tena ku apply.
 
Nlisoma pcb nnachangamoto ya fee nimepata kairuki udaktari ada ni bei mno.. nataka nifanye chochote labda mwakani nitaendelea au nijaribu tena ku apply..
Kama ulienda Jkt, jaribu kutuma maombi PCB nafasi ya assistant investigator ujaribu bahati yako.
 
Nlisoma pcb nnachangamoto ya fee nimepata kairuki udaktari ada ni bei mno.. nataka nifanye chochote labda mwakani nitaendelea au nijaribu tena ku apply..
Kairuki ada kwa MD inafika million ngapi vile?

Ada Kairuki lazima itakua juu sana kwa MD.

Itakua ulipata 1.8/1.9 ww, competition ikakukosesha kupata Muhas

utafanya kazi ipi mdogo wangu ili ufikishe mamilioni yote yanayohitajika?

Si kunakuaga na ku-appeal mkopo? Jaribu umuone loan officer wako au cheki na heslb ujue utaratibu wa ku-appeal
 
Nlisoma pcb nnachangamoto ya fee nimepata kairuki udaktari ada ni bei mno.. nataka nifanye chochote labda mwakani nitaendelea au nijaribu tena ku apply..
Enzi zetu kozi zote za Pure science Kuanzia Udactari, Engineering nk huwa zinapata 100% sponsorship. Hii ni kwa kuwa zinalipiwa ghali na watu waliowengi hawawezi kuzilipia
sijui siku hizi
 
Unachoeleza hakiingii akilini. Division one ya SCIENCE, mtoto wa mtu asiye na uwezo halafu eti umeshindwa kupata chaguo la kozi kwenye vyuo vya Serikali na mkopo haukupata??

Hebu njoo tuzungumze PM
 
Enzi zetu kozi zote za Pure science Kuanzia Udactari, Engineering nk huwa zinapata 100% sponsorship. Hii ni kwa kuwa zinalipiwa ghali na watu waliowengi hawawezi kuzilipia
Au wamebadilisha siku hizi?
Kairuki hata ukipata 100% kama kwenu hamna mlungula huwez kusoma.. Serikali inalipa max 1.8M wakati kairuki Ada 4M+
 
Nlisoma pcb nnachangamoto ya fee nimepata kairuki udaktari ada ni bei mno.. nataka nifanye chochote labda mwakani nitaendelea au nijaribu tena ku apply..
Wewe umejaribu kuappeal?

Kama hujaappeal basi fanya hivyo huku ukiendelea na chuo. Majibu ya kuappeal yakitoka hujapata, nenda bodi ya mikopo kuanzia asubuhi wakifungua, komaa wakuruhusu kuonana na mkurugenzi, huwa wagunu but ukikaza watakuruhusu. Ikitokea siku ya kwanza wamekuzingua nenda daily, walilie. Utapewa mkopo asilimia zote.

Nimeandika machache tu ambayo yamewahi kuwasaidia wengi tu.

Mwaka wetu kuna watu waliapply hiyo njia nakufanikiwa. Kuna dada nilimsaidia kuomba mkopo 2017 akakosa, nikamshauri hiyo mbinu na alifanikiwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom