kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala mkali Baraza la Seneti Marekani: Je, ni nani ana uwezo wa kupata mimba? Hiyo ndiyo kazi wanayolipia walipa kodi wa Marekani

    Hivi karibuni kulikuwa na mjadala mkali sana kwenye baraza la seneti. Kwenye baraza walitaka kuainisha ni watu gani hasa wana uwezo wa kupata mimba ili wanapopanga bajeti ihusianayo na masuala ya uja-uzito wajue hili suala linawahusu watu wangapi? Republican wakasema wale tu ambao walizaliwa...
  2. JamiiForums Tanzania SoC02 Utendaji kazi wetu na uhudumiaji katika familia zetu upambwe na tunu ya utu(ubuntu)

    Uwajibikaji ni kitendo cha kutimiza majukumu uliyopangiwa kiasili(kama mzazi katika familia) na mahala pako pa kazi na muajiri wako. Uwajibikaji ni neno linalotokana na neno wajibu linalomaanisha kufuata majukumu na kuwa mwangalifu wakati wa kufanya maamuzi au kufanya jambo. Kuna mifano mingi...
  3. JamiiForums Tanzania Kama umefikisha miaka 30 kazi bado haujapata fanya plan B

    Wadogo zangu ambao mnaosoma huu Uzi ambao mpo katika harakati za kutafuta kazi ukiona umefika umri wa miaka 30 hujapata kazi nakushauli achana na mambo ya kutafuta kazi na anza kufanya plan b kama ni kilimo,ufugaji,biashara uanze kutengeneza maisha yako badae mapema usisubili time its too late...
  4. N

    JamiiForums Tanzania YANGA , MANARA NI WASHINDI, KUENDELEA NA KAZI YA USEMAJI KAMA P.R.O CONSULTANT

    Ifike wakati tuseme Yanga ni zawadi iliyoshushwa na Mungu kwa soka la nchi hii, kuna vi team vingine vijifunze jinsi ya kuendesha soka kwa weledi jamani Wapiga majungu mlichooonga sana eti leo hatakuwa MC si mmeona kashika mic kama MC wa kukodiwa wa kujitegemea? Yaani ulitarajia viongozi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya kazi yangu

    Habari kwenu nyote, Bila kupoteza muda naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu, naanza kwa utambulisho mfupi ili niweze kusaidika kama ninavyotarajia maana JF kuna wataalam wa kila namna Mimi ni mwalimu, nimekua kwenye hii kazi kwa muda wa miaka minne sasa, nimekua nikifundisha katika...
  6. JamiiForums Tanzania SoC02 Kazi tatu za kumwingizia mwanafunzi pesa akiwa chuoni

    Utangulizi Mfumo wa elimu nchini humfanya mwanafunzi azingatie Sana kusoma, Hali ambayo inamfanya kuwa mbali na harakati za kutafuta pesa zake mwenyewe. Tunajua namna ambavyo shule huchukua muda mrefu mpaka kumaliza kiwango cha shahada ya kwanza. Kwa kawaida mtu anaweza kuhitimu shahada ya...
  7. JamiiForums Tanzania Ufanisi wa kazi kwa watumishi wa umma ni mdogo sana

    Wanabodi, twende mbele, turudi nyuma, wafanya kazi wengi wa serikali (zaidi ya 70%) hawana ufanisi katika kazi zao. Ni kama serikali inawalipa mishahara ya bure kabisa. Kada za ualimu, afya, ulinzi/usalama (Polisi, Magereza, Wanajeshi), sheria(mahakimu) zinajitahidi sana hata kuingia kazini...
  8. JamiiForums Tanzania ICS watangaza nafasi za kazi mbalimbali

    We are looking for competent, skilled, and experienced talent to work on the EACOP (East African Crude Oil Pipeline) construction project in Uganda. Suitable candidates are encouraged to apply for the following positions;
  9. JamiiForums Tanzania Mabilioni ya ruzuku kwenye mafuta bora yangefanya kazi nyingine tu

    Nasikitika nilichogundua Ugumu wa maisha siyo kwa wote Kuna wengine kama wale wanawekewa mafuta kwenye gari serikali ,wanaletewa vyakula nyumbani na serikali watoto wanasomeshwa na serikali ,hawa wakisikia mafuta kupanda bei wanaona kama hadithi tu. Nchi isingepitiwa na bahari hii ingekuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Kazi ya kuhudumu baa hasa kwa wanawake ionekane kuwa kazi ya heshima kama kazi nyingine

    Wahudumu wa baa hasa wanawake wanapitia changamoto nyingi sana, changamoto hizi hutokana na kudharauliwa kwa kazi hii kwakuwa watu wengi sana huamini Kuwa wahudumu hao hawana tofauti na wanawake wanao jiuza, jambo ambalo sio sawa kwa sababu kazi ya kuhudumu baa sio sawa na kazi ya wanawake wanao...
  11. JamiiForums Tanzania Hii Taarifa ya NHIF kama ni ya kweli basi Tanzania tuna tatizo

    TAARIFA KUHUSU BIMA ZA WAGOJWA KUKATAA KUWA AUTHORISED KWENYE MFUMO Utaratibu wa mfuko wa NHIF umebadilika ili kuzuia polyvisit za wagonjwa pamoja na polyservices zingine za wagonjwa wetu Kuanzia sasa mteja atakua na nafasi ya VISIT 3 TU KWA MWEZI kwa kituo husika na mteja hawezi kujiamulia...
  12. JamiiForums Tanzania SoC02 Nakushangaa unaiomba Serikali wakati ni kazi yao

    Serikali wajibu wake ni kujenga na kuboresha barabara zote nchini na hili jambo si la siasa ni la kiuwajibikaji!! Eneo hili sijapenda! Awamu ya 5 inaalama 86% awamu zengine 13.2% Serikali wajibu wake ni kuhakikisha maji safi na salama popote nchi penye kijiji mpk jijini pana 99%ya maji safi na...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Mandonga atoroka Songea usiku wa manane, inadaiwa kadandia roli la sementi, tumuombee afike salama mtu kazi

    Inasemekana baada ya pambano hakurudi hata hotelini; ameondoka usiku mnene bila kuaga. Anasema uchawi umehusika alikuwa anaona mishale tu badala ya ngumi ndiyo maana kapigwa. Anaamini yeye bado ni bondia hatari sana mtu kazi! Kaomba apangiwe pambano na dulla mbabe.
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Ndugu zangu hadi kufikia hatua hii ninapitia kipindi kigumu sana. Kwanza kabisa mimi ni graduate wa Bachelor Degree in Accountancy, nina mwaka tangu nimalize nipo mtaani tu na umri wangu ni mkubwa zaidi ya miaka 30. Kila nikiapply kazi mbalimbali zinazoendana na career yangu unakuta naenda...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Senzo aomba kutokuongezewa mkataba wake na Yanga, Akubaliwa ombi lake

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Yanga, Bw Senzo Mazingiza ameomba kutokuongezewa mkataba wake na Yanga kwa sababu za kifamilia Kutokana na ombi hilo kamati ya utendaji ya Yanga ilikutana leo katika Hotel ya Serena na kukubali ombi hilo la Bw Senzo Mkataba wa Senzo na Yanga unamalizika tarehe 31/07/2022...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Kazi gani zitamfaa?

    Habarini! Hivi mtu akisoma shahada ya uchumi anaweza kufanya kazi wapi au kampuni zipi na je atajikita zaidi kwenye maeneo yapi?
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt Stergomena: Changamoto za wanajeshi zinaendelea Kufanyiwa Kazi

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amesema kuwa changamoto za wanajeshi zinaendelea kufanyiwa kazi na Wizara kwa kushirikiana na Makao Makuu ya Jeshi. Waziri ameyabainisha haya wakati akiongea na Maafisa na Askari, alipofanya ziara ya kikazi ya...
  18. JamiiForums Tanzania SoC02 Maroboti yanakuja kutunyang'anya kazi

    Chanzo: Mwananchi, Tani 7,400 za mahindi zakosa soko (2014) Nilikuwa Kilombero, na kama masihara, gunia la mchele lilikuwa linamwagwa mbele ya uso wangu jalalani. Nisingeamini ningehadithiwa na mtu mwingine. Mazao mbalimbali yaliyokuwa yanaelekea masokoni yalitekelezwa pembezoni mwa barabara...
  19. JamiiForums Tanzania Karim Mandonga mtu kazi, kesho sio mbali

    Kwa tunaojua boxing hii ni kawaida stunts kama hizi. Ila kibongo-bongo Mandonga kazidi mikwara. Kama una roho ndogo unaweza usitokee ulingoni. Kesho sio mbali Mandonga Vs Kaoneka
  20. H

    JamiiForums Tanzania Zile taa kama balbu za rangi rangi kwenye malori kazi yake nini au faida yake?

    Wadau salama leko Kichwa kinaeleza hapo juu. Kuna malori baadhi yana taa za rangi rangi kama balbu za chumbani kuanzia mbele ya gari nyuma pembeni kushoto kulia juu chini ya gari kuna wengine wanaweka taa mpaka karibu na tairi kwenye yale madude kama makapeti yanayoning'inia karibu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…