kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Ushawahi kuacha kazi bila kupata kazi?

    Mradi uliokuwa unautegemea unakufa kwenye mazingira ya kutatanisha. Unaamka asubuhi hauna ratiba ya kwenda mahali popote, majirani wambeya wanakuuliza maswali ya kipuuzi "vipi Leo mbona hujaenda kazini" siku chache za mwanzo unawajibu kuwa upo off day baada ya muda unawaambia kua upo likizo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kazi ya Afisa mauzo na mapokezi

    - Essence Driving Schools Afisa masoko (01) na afisa huduma kwa- wateja (01) shule ya udereva anahitajika Sifa 1. Uwezo wa kuongea/ushawishi vizuri sana na wateja 2. Uwezo wakufanya kazi yenye matokeo 3. Uelewa zaidi katika kutafuta wateja kwa- njia ya mitandao ya kijamii 4. Muonekano...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Ubalozi wa Marekani wavisihi vyama vya siasa kufanya kazi pamoja kutatua malamiko ya uchaguzi

    Serikali ya Marekani imemtaka Rais Mteule William Ruto na washindani wake kupitia uchaguzi uliomalizika kufanya kazi pamoja kwa manufaa ya nchi. Kupitia taarifa yake, Ubalozi wa Marekani umezitaka pande zote kutatua mvutano ulioibuka juu ya Matokeo ya Urais kwa amani na kwa kufuata taratibu za...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ajira hakuna lakini kazi zipo

    Usitengemee Bahati
  5. L

    JamiiForums Tanzania Tumpe Faraja Rais Samia kwa namna anavyofanya kazi bila kupumzika wala kukaa kwa ajili yetu Watanzania

    Ndugu zangu Mh Rais mama Samia suluhu Hassani Ni mwanadamu mwenye damu na moyo na mwili wa nyama Kama Tulivyo sisi wengine. Nikawaida kuona hata watumishi wa umma ikikaribia wikend wanafurahi ili wapate muda wa kupumzisha akili na hata kupata muda wa kukaa na Familia zao, kutokanaa na kazi za...
  6. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Young African sports club

    Sharti la msingi, lazima uwe mwanachama hai wa Yanga.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Jamani eti "science" hii ya imani ya kimila inafanya kazi? na kama ni inafanya kazi ni vipi?

    Huu ni msimu wa maua ya miembe. Imetoa maua sana huku kwetu. Uzoefu unaonyesha kuwa maua mengi huwa yanadondoka/kupukutika na hivyo kutoshika kutoa matunda ya maembe au yakishika, viembe vidogo huwa vinapukutika chini. Sasa SCIENCE ni hii: Nimekuta mtu yuko very busy shambani kwake anagongelea...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanadada anaefanya kazi melini anaeleza faida na changamoto anazopitia

    Nilisoma kutoka kwenye gazeti, dada mmoja anasimulia changamoto anazopitia katika ajira yake kama mhudumu wa meli. Alianza kazi akiwa na miaka 22 na amedumu katika ajira hii kwa miaka 10. Kazi inakupatia malazi na chakula bure. Siku unazolipa kodi ya nyumba ni siku ukiwa likizo. Anasema...
  9. JamiiForums Tanzania Yanga wametangaza nafasi za kazi lakini

    Yanga wametangaza kazi sehemu mbalimbali lakini mpaka uwe na kadi ya uanachama. Kazi za Professional mpaka uwe na kadi???! Eg. Daktari kuna ulazima gani awe na kadi!
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kwa uzungu huu na ukaidi wa viongozi wa simba kazi kesho tunayo

    sijajua ni uzembe wa meneja wa team, team haina watu wa security au makocha wazungu ndiyo pendeleo lao ama nini lakini hili la mashabiki kuangalia mazoezi ya simba linafikirisha sana. Ni ujeuri na ukaidi tu, wanajua kesho tukifungwa watamtuma Ahmed Ally apooze watu na tararira mbili tatu maisha...
  11. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli watu wote wanakula kwa jasho? Jinsi watu wasiofanya kazi walivyotokea duniani

    Wamepora mifumo na bidhaa ambazo zilipaswa kusaidia jamii nzima. Wanatamani hata hewa waiwekee haki miliki ili tuwe tunainunua. Makampuni yangefyonza gesi yote ya oksejeni angani na kuimiliki. Watu wasiojiweza wangekufa kwa kukosa pesa ya kununua Oksijeni. Kwenye mambo mengi wameshinda kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Kazi nilizowahi zifanya na zikanishinda kwenye utafutaji

    Kwenye maisha kuna mambo mengi sana watu wanapitia mpaka unamuona mtu ana biashara akikwambia mapito aliyopitia mpaka kufikia hapo "acha kabisa", (naongelea wapambanaji) wale wapewa mitaji na ndugu/wazazi hampo eneo hili. Basi bana tutoke huko leo acha tucheke (kwa watao ona inachekesha)...
  13. JamiiForums Tanzania Wakuu natafuta shule ya kufundisha

    Habari za wakati huu wapendwa. Nina Imani mu wazima wa afya. Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza, Mimi ni kijana umri miaka 25 mhitimu katika chuo kikuu Cha Dar es Salaam shahada ya Ualimu katika masomo ya Geography na Kiswahili mwaka 2020. Nimekuwa nikijaribu kutuma maombi shule mbalimbali...
  14. JamiiForums Tanzania UpWork Freelancing: Kama wewe ni kijana ambae huna kazi pita hapa

    Habari wana JamiiForums, kwa bahati mbaya au nzuri, mambo mengi ambayo naandika au natamani kushare humu yashaongelewa tayari , na hata hii kitu ambayo naandika saa hivi. Freelancing. Though, approach nlioona inatumika na wengi ni tofauti kabisa na ile ambayo nimekuwa nikitumia hivyo naona ni...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nipo Dar es salaam

    Mimi ni mhitimu wa shahada ya kwanza katika mambo ya ugavi. Nimekuja kwenu kuomba kama kuna yeyote anaweza kunisaidia kazi ili niweze kujikimu maana kila leo ni afadhali ya jana. Kazi yoyote halali nitaipokea.
  16. L

    JamiiForums Tanzania Utendaji kazi uliotukuka wa Rais Samia umedhoofisha upinzani Tanzania

    Ndugu zangu Kuna kipindi fulani ilikuwa ukisikia kuwa kesho katibu mkuu wa Chadema Mh. Dr Slaa atakuwa na mazungumzo muda fulani, ni kama nchi ilikuwa inasimama. Vyombo vyote vya habari vilikuwa vinafika hata kabla ya muda husika, kila mtanzania alikuwa anatega sikio kusikia nini kitakacho...
  17. JamiiForums Tanzania Nimetafutiwa kazi Canada, naomba ushauri wa namna ya kufika

    Mimi sio mwandishi mzuri sna ila ninaomba ushauli nina ndugu yangu anaishi Canada kanitaftia kazi ya delivery sijawai fika. Naomba mwenye uzoefu wa kusafiri na ni nchi gani nikienda itakua raisi mimi kwenda Canada sina pesa za kunitoa hapa Tz mpk Canada.
  18. L

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe anastahili pongezi kwa namna anavyochapa kazi katika Wizara ya Kilimo na kutekeleza maelekezo ya Rais Samia

    Hussein Bashe hata kabla ya kuingia na kuteuliwa katika wizara hii alikuwa akisimama bungeni kuchangia katika wizara hii. Kila mtanzania alitamani na kuomba apewe uwaziri wa kilimo ili atekeleze kwa matendo yale azungumzayo. Hatimaye akaaminiwa na kupewa wizara. Kiukweli tangu amepewa tumeona...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba: Bwawa la Mwalimu Nyerere sasa kazi ni usiku na mchana

    Waziri wa Nishati, January Makamba ametembelea mradi wa Bwawa la kufua Umeme la Mwalimu Nyerere Agosti 08 2022 ili kukagua na kuangalia hatua mbalimbali zilizofikiwa na mradi huo. "kwa sasa tumefika asilimia 67, Katika Miaka Miwili na nusu ya Mwanzo (Kuanzia Disemba 2018 - June 2021) tulifikia...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina uzoefu wa kazi za stationary na kiwandani. Elimu yangu Diploma ya HR. Nipo Kigamboni Mjimwema

    Natafuta Kazi ya secretary nina uzoefu wa kutumia computer. Pia nina uzoefu wa Kazi za stationary kwa miaka miwili.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…