kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Tumefuta baadhi ya tozo, nyingine tumepunguza kwa asilimia 10-50

    Akizungumza leo bungeni, Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba amesema uongezwaji wa wigo wa kukusanya mapato kupitia tozo uliibua malalamiko kwenye jamii, hivyo Kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi iliagiza upitiwaji upya wa tozo hizi na kuzingatia maoni ya wananchi. Marekebisho yafuatayo...
  2. JamiiForums Tanzania Profesa Mohamed Bakari: Kikosi Kazi cha Rais Samia hakina uhalali wa Kisheria na Kikatiba

    Profesa wa Sayansi ya Siasa wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Mohamed Bakari amekitahadharisha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kuwa makini na kikosi kazi, kwani kinaweza kuwa njia ya kuchelewesha maridhiano. “CHADEMA wako sahihi kususia kikosi kazi kwa sababu hakina uhalali wa kisheria...
  3. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Dell latitude E6510(Machine ya kazi) 8GB RAM, core i7 and 500Gb ROM Kwa 375,000 tu

    Kimfaacho mtu chake,nauza machine ya kazi sababu ya shida. PC ipo poa chaji 2.5hr. Bei ni 375,000Tsh Napatikana Dar, Mikocheni. Call 0753038470.
  4. JamiiForums Tanzania Serikali Rasmisha KAZI za wajasariamali wote KWA kugawa vitambulisho kama zamani Ili mkusanye mapato Mengi zaidi KWA mwaka.

    Tozo pekee sio suluhisho la uchumi wetu . Rudisha vitambulisho KWA wajasiria mali,vitambulisho viwe na gredi kutokana na mtaji wa muhusika,yaani ;- Gredi A Wajasiria mali wenye mitaji ya kuanzia milion 100 na kuendelea hao walipe hata laki tatu KWA mwaka!TRA watamuandalia kanuni mpya ya...
  5. JamiiForums Tanzania Taa za kuongoza magari Moroco Ally Hassan Mwinyi road hazifanyi kazi siku ya 3 leo.

    Huwa napita hii barabara kila siku. Cha kushangaza leo ni siku ya tatu taa hazifanyi kazi tunaachiwa tujiongeze kwa kutumia akili zetu. Tanroads kama hamjapata taarifa ninawapa taarifa sijui kuna shida gani taa hazifanyi kazi na kuachia watu wajiongoze kwa kutumia akili zao na week end hii...
  6. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Dar, hawa Panyaroad watakuharibia kazi..

    Habari wana JF.. Mkuu wa Mkoa wa Dar, fanya hima juu chini, futilia mbali hawa watoto wadogo wahuni watakuharibia kazi, sambaza vyombo vyako vya ulinzi vya mkoa, usiku na mchana, kama wiki nzima, kamata wote, sheria ichukue mkondo wake. Mh. Makala, nachokiona, ukichelewa kidogo tu, hawa...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia na CCM yake, 'Acheni Jeshi la Polisi lifanye kazi zake'

    Mnyonge mtamnyonga lakini haki yake hupewa. Rais Magufuli kama angeaamua kucheka na nyani, kama angeaamua kutolipa Uhuru Jeshi la Polisi kwenye kudeal na waalifu, basi Tanzania ingeogopwa Duniani. Nani asiyekumbuka Yale ya Kibiti? Nani asiyekumbuka Ujambazi ulokithiri wakati wa Uongozi wa JK...
  8. E

    JamiiForums Tanzania It should be a criminal offense to "kuwazuia polisi waliovalia sare za kazi"

    Tumekuwa na mjadala wa tukio lilitokea kwenye barabara ya mwendo kasi Dar es Salaam, gari la polisi limejaa askari waliovalia sare alafu wanatokea watu wamevaa reflector wanawazuia. Ni ujinga na upumbavu wa hali ya juu kuzuia polisi waliovalia sare. Hivi unajua wanakwenda wapi?, kumetukia nini...
  9. JamiiForums Tanzania Polisi Arusha watimua Askari watatu kwa utovu wa nidhamu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limewafukuza kazi askari wake watatu kwa kosa la kwenda kinyume na maadili ya jeshi hilo. Aidha, limewatahadharisha wengine wenye tabia kama hizo kuziacha. Hayo yamesemwa leo Alhamisi, Septemba 15, 2022 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo...
  10. JamiiForums Tanzania Hili swali linanitatiza sana, kuna utaratibu wowote wa mwanajeshi kuacha kazi, pale anapotakiwa kwenda vitani?

    Nimejaribu kufikiria hivyo, baada ya kuona picha za wanajeshi walio-uwawa huko kwenye vita ya Ukraine na Urusi. Naona vijana wameangamia, huku wakiwa wameacha tegemezi, watoto, wake n.k; huku wanaofanya maamuzi wakiwa ofisini wakipulizwa viyoyozi. Inawezekana, wakuu? Uhai kwanza, mengine baadaye.
  11. JamiiForums Tanzania DOKEZO Bila Rushwa ya 50,000 au 100,000 kwa Viongozi wa viwanda vya Mo Dewji hupati kazi

    Ndugu zangu, Kuna mambo ya ajabu yanafanyika kwenye ajira za vibarua katika viwanda vya METL chini ya MO DEWJI. Kuna wanaojiita supervisors wa viwanda na wahusika wa kuajiri wafanyakazi na vibarua wamekuwa na utaratibu kuchukua rushwa ya Tsh. 50,000 hadi 100,000 kwa kila anayetaka kazi. Kuna...
  12. JamiiForums Tanzania Kutokana na kazi ninayofanya, nimejua kwanini ndoa zamani zilikua zinadumu

    Nimetokea kuichukia / kuichoka kazi ninayofanya, mainly kwa sababu ya mipango yangu ya baadae pia mazingira na mfumo wa kazi, Kila nikipanga escape route inafeli hivyo nawajibika kuendelea coz siwezi nyanyua mguu mmoja kabla mwingine haujagusa chini. Hii imenifanya nifikirie maisha ya ndoa za...
  13. JamiiForums Tanzania Kurejea kwa Vitendo vya Uhalifu. Rais wangu Samia acha polisi wafanye kazi

    Hivi karibuni kumetokea kuongezeka kwa vitendo vya kihalifu hasa katika jiji la Dar es Salaam. Leo hii kwenye taarifa ya habari imetangazwa kuwa wahalifu hawa wameua mtu mmoja eneo la Kawe. Haya yanatokea kukiwa kumemalizika kikao cha wakuu wa polisi ambapo Rais Samia aliwaeleza mambo mengi...
  14. JamiiForums Tanzania Zaidi ya wafanyakazi 150 wapoteza kazi baada ya kusitishwa ujenzi wa hoteli

    Wafanyakazi 150 wa Mradi wa ujenzi wa hoteli ya nyota tano Blue Amber, wamepoteza kazi baada ya Wizara ya Ardhi kusitisha mkataba wa ukodishaji ardhi kwa Kampuni ya Pennyroyal Zanzibar licha ya kuwapo amri ya Mahakama ya kutaka ujenzi kuendelea. Wakizungumza na waandishi wa habari, wafanyakazi...
  15. JamiiForums Tanzania Ushauri KWA Tundu Lisu;-Samehe yote,Rudi nyumbani,ujumuishwe kwenye kikosi kazi cha mkandala mchango wako ni muhimu,Muda wa kukaa ughaibuni umeisha!

    Wazalendo wote popote mlipo!nitumieni ujumbe huu kwa ndugu yetu Tundu lisu,Taifa lako linahitaji uchapakazi wako na taaluma YAKO ya sheria, sahau yote na urudi NYUMBANI ufanye kazi ya kulijenga Taifa lako Tanzania. Team yenye Warioba ndani yake,Tundu Lisu,Mkandala na wadau wengine ni team nzuri...
  16. JamiiForums Tanzania Hizi ni kazi ambazo zilikuwa zinaheshimika zamani lakini kwa sasa zinachukuliwa poa

    Kwangu mimi nimetupia jicho kwenye hizi mbili, nawe waweza kuongeza zingine... 1. Waandishi wa habari na watangazaji - Zamani hii kazi ilikuwa na heshima sana nadhani kwasababu wahusika wengi walikuwa na taaluma makhsusi na kupitia training, Kwa sasa kazi hii imevamiwa na vijana wengi ambao...
  17. JamiiForums Tanzania DOKEZO Hela za kujikimu kwa waajiriwa wapya ziko wapi 2022

    Wakuu uzima upo kwenu? Leo niseme kero tuliyo nayo waajiriwa wapya wa ajira za afya kwa mwaka 2022. Viongozi wetu mbona hatuwaelewi inakuaje mtu aliye pangwa kituo cha kazi toka mwezi wa 6 mpaka leo hajapewa pesa ya kujikimu? Kuna mikoa kama Kagera kuna wilaya bado hatujapewa hela za kujikimu...
  18. JamiiForums Tanzania Ripoti UN: Watu Milioni 50 wapo kwenye ndoa na kazi za kulazimishwa

    Utafiti uliofanywa na Mashirika ya Umoja wa Mataifa ya Kazi, Uhamiaji na Walk Free Foundation umebaini kuwa hadi mwaka 2021, watu milioni 28 walikwama kwenye kazi za kulazimishwa huku milioni 22 wakiishi kwenye ndoa kwa kulazimishwa. Mkurugenzi wa Shirika la Kazi Duniani (ILO) Guy Ryder...
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina cheti cheti cha Kidato cha Nne

    Habari za wakati huu Wana JamiiForums wote. Naitwa Peter John, Nina umri wa miaka 20, nimehitimu kidato cha nne mwaka 2020 na kupata ufaulu wa daraja la 2. Natafuta kazi yoyote ya halali Kama vile kazi za viwandani, usafi maofisini/nyumbani ama yoyote ile ya halali Nipo Dar es Salaam, maeneo...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini Polisi wameanza kufanya kazi za Trafiki?

    Tofauti na tulivyozoea, polisi kitengo cha trafiki wenye uniform nyeupe ndio wawe wanashugulika na mambo ya magari, kwa sasa polisi wa vitengo vingine wanaingia barabarani kufanya kazi za matrafiki. Mbaya zaidi inaonekana wazi lengo ni kucheza mchezo uleule wa matrafiki!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…