kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. S

    Jinsi ya Kuanzisha App na inavyofanya Kazi

    Kwema Wakuu, Kuna idea nimeipata nahitaji kuianzishia APP. Sasa utaratibu ukoje? Naanzia wapi? Kuna vibali labda? Kama vipo naviombea wapi? Na kuna gharama? Kias gani kama zipo? Na kama App yenyewe itakua watu wanaingia free, Mimi nitalipwa na nani kwa uingiaji wao huo ukiacha matangazo ya...
  2. MKE AMBAYE NI MFANYA KAZI WA BAR.

    HIVI UNAWEZA KUMRUHUSU MKEO AKAFANYE KAZI BAR? TENA ANALALA HUKOHUKO WIKI NZIMA, IKIWA TU WEWE MME UMEFULIA KIFEDHA NA MNA MTOTO MDOGO. TOA MAONI YAKO.
  3. N

    Wakuu nisaidieni kazi au kutafuta kazi

    Mungu mwema sikuzote
  4. Kijana Emmanuel aliyemwaga chozi akilalamika kuwa amesoma Electronic Engineering lakini hapati kazi leo amemtambulisha mke wake

    Kijana Emmanuel aliyemwaga chozi akilalamika kuwa amesoma Electronic Engineering lakini hapati kazi leo amemtambulisha mke wake
  5. Yuko wapi yule kibaka aliyetumwa na mayahudi kufanya kazi iliyowashinda?

    Kijana huyo alijulikana kama Alshababa.Alipewa kazi ya kupambana na Hamas na yeye akapewa siku 14 kujisalimisha kujibu kosa la kukubali kuwasaliti wapalestina. Baada ya hapo akasema yeye anataka kuwaunganisha watu wa Gaza waachane na Hamas.Alipewa kila msaada na waliomtuma, Kwa kumbukumbu zangu...
  6. Netanyahu asema amepatiwa ruhusa na Trump aache mazungumzo na aingie Gaza kwa nguvu zote amalize kazi

    Haya maneno ya Trump wala si mapya kuonesha jinsi Marekani inavyoshirikiana na Israel kuwaangamiza wapalestina bila kificho. Kilicho kipya na cha kushangaza ni jinsi mataifa ya kiarabu na kiislamu yalivyopiga kimya kuruhusu dhulma hiyo huku wao wakiwa na uwezo wa kuzuia. Tuliobaki ambao ni...
  7. N

    Ni kitu gani ulipitia katika utafutaji kazi hutosahau?

    Tuambie changamoto ulizopitia ili tujifunze, je ulitoa pesa, ngono, uchawa, ulienda kwa mganga,au ulipitianini? Mimi bado natafuta job
  8. 30 wataka kuuza figo muhimbili...wapunguze ukali wa maisha waambiwa wakafanye kazi hospt haina uuo utaratibu..duh tunapoelekea tunauziana maini utumbo

    Hospitali ya Taifa Muhimbili imesema ni kweli Watanzania zaidi ya 30 wamewafata Madaktari wa figo na kutaka kuuza figo zao kwa Wagonjwa wenye matatizo ya figo ili pesa hizo ziwasaidie kupunguza ukali wa maisha. "Ni kweli kuna Watu wamekua wakiwafata Madaktari wa figo wakiwaambia sisi tunataka...
  9. T

    Nafasi 25 za Kazi katika Kampuni ya The Global Positive Mind Set Center (GPMSC) – FINTECH

    TANGAZO LA AJIRA Kampuni: The Global Positive Mind Set Center (GPMSC) – FINTECH Mahali: Mwanza, Tanzania Kampuni ya The Global Positive Mind Set Center (GPMSC) inakaribisha maombi ya ajira kutoka kwa Watanzania wenye sifa stahiki kujaza nafasi zifuatazo: Nafasi Zilizopo Afisa Uhasibu –...
  10. Je NordVpn inafanya kazi Tanzania

    Wadau hamjambo, je nord vpn inaconnect vizuri ukiwa Tanzania au na yenyewe imeblockiwa?
  11. T

    TRA Butu, watu wananunua magari ya zaid 2B bila kutoa source ya fedha zao wala kulipa kodi, kazi yao kubwa imebaki kupambana na mawinga

    TRA imekuwa shirika butu Linaacha watu wakifanya wapendavyo bila kuulizwa. Watoto wa vigogo wanapora na kula keki ya taifa wananunua magari ya bilioni, wakiishi maisha ya kifahari bila kulipa kodi wala kuulizwa vyanzo vyao vya fedha. Serikali inapoteza mapato, huku TRA ikipambana na mawinga...
  12. Top Tools tunazotumia Victoria Agency company kufanya kazi zetu.

    TSH Rates Kila siku TSH Rates inanipa foreign exchange rates za benki za Tanzania. Kama unafanya biashara kimataifa najua unajua umuhimu wa taarifa kama hii—kujua thamani ya fedha kunakupa uwezo wa kupanga bei zako vizuri na kuhakikisha haufanyi maamuzi ya kibiashara gizani. Atlas Kupitia...
  13. WASOMI HAPA VIPI? WALE WAJUVI WA LUGHA KAOMBENI KAZI HESLB; kwa haya makosa ya kawaida ni wazi Taasisi haipo serious.

    No greetings kwa Leo, Nina hasira sana! Nadhani dhana ya utumishi wa umma iendane na uwezo. Unaweza ukasema ni kosa dogo lakini Kuna watu wamepewa madeni yasiyo Yao kwa uzembe wa namna hii. Kosa dogo nyuma au mbele yake Kuna kosa kubwa. Hii ni kuhusu image ya Taasisi kufanya makosa ya kawaida...
  14. M

    Yanga waanza kupendelewa na kulindwa huku simba wakikaziwa nati, Je ndio kazi ya zile milioni 100 ?

    1. Yanga imeruhusiwa kuwa timu pekee kuutumia uwanja wa Mkapa na mechi zao ni saa moja jioni watu wakiwa wametoka kwenye shughuli zao, Simba wataendelea kutumia uwanja wa KMC mechi za saa kumi. 2. Yanga wanaanzia nyumbani, Simba ugenini. 3. Derby ya kwanza inapigwa kwa Mkapa mwezi wa 12...
  15. M

    Polepole kamilisha kazi ya chuma, tuletee majina halisi ya wauza sembe nchini

    Polepole Polepole Polepole nimekuita mara tatu. Unakumbuka vizuri chuma mwanzoni mwa uongozi wake alitikisa watu kwa kuibua list ya wauza sembe nchini. Wengi walitajwa, na bila shaka chuma aliamua kusitisha ile operesheni. Sasa hebu tuletee list ya wauza Sembe ili Jamii iwaepuke, iwaogope...
  16. Kusikiliza simu ya kazi

    Mfano umepeleka barua kwenye interview ukaitwa ukafanya alafu ukaambiwa utapigiwa simu... Unatakiwa kufanyaje ili kupotezea mimi naenda na simu Hadi chooni sasa Imekaaje hii
  17. Polisi Mara watoa wito kwa mwenye taarifa za kweli za kupotea Sinda Samson Mseti kuziwasilisha ili zifanyiwe kazi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Polisi Tarime Rorya limeona picha mjongoo yenye dakika 4:38 ikisambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikionyesha kusambazwa na mtu mwenye akaunti ya Instagram yenye jina la martinmaranjamassese, ikionyesha kundi la watu wakiingia kwenye nyumba moja majira ya usiku. Maelezo...
  18. N

    Marekebisho madogo ya tatizo la kiufundi yanayoweza kuangaliwa na kufanyiwa kazi hapa jamiiforums

    Habari zenu wanajamii, Problem Kwa sasa ni wazi kuwa kuna tatizo la kurasa za Jamiiforums kuchelewa kuload, hasa pale ambapo chapisho lina picha au video zenye ukubwa mkubwa. Hii sio jambo geni hata kwa watumiaji wa kawaida kuliona, hali inayopelekea matatizo mengi kwa mtumiaji ikiwemo...
  19. Wakala wa Mzize: Yanga wameamua kufanya kazi unprofessionally

    Login • Instagram "Mzize ameniambia kuwa wamemuomba abaki sababu wanamuhitaji Msimu Ujao wanashiriki ligi ya mabingwa, nikamwambia kwahiyo imekuwaje akaniambia wamesema watamboreshea maslai watampa mkataba, So hapa nilipo nasubiri mkataba wa Mzize wakishampa ananipatia tunarekebisha Baadhi ya...
  20. Nakubaliana nawe ulioandika hili huko katika Mtandao fulani kwani hata Mimi katika Kazi ukiwa nami Ukizingua nakupa Makavu na ukizubaa hata Kukupiga

    Sallam Sk na Majani ndio watu wanao ogopwa sana na wasanii sababu ya misimamo yao kwenye kazi, ukizingua wanakwambia bila kucheka na ukileta masihara kwenye kazi wanakupiga chini. Mwanamuziki yeyote aliyewahi kufanya kazi na Sallam atakwambia jamaa alivyo mtata na mwanamuziki yeyote aliyefanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…