Aache kazi private anakolipwa 1.6m au aende government atakapolipwa laki 7.6?

kyanyangwe

JF-Expert Member
Oct 31, 2018
1,147
2,746
Wife kapata kazi serikalini huko,mshahara ni TGS D ambayo ni sawa na laki 7.6, kwa sasa anafanya kazi private sector ambako mshahara ni 1.6m gross.

Kampuni anayofanyia ina pressure za hapa na pale ila kuna a lot of incentives kama bima ya afya ya Jubilee,holidays allowance na nyingine nyingi.

So right now yuko dilemma, aache hapo private au aende government?
 
Kama anaangalia job security aende governnment maana uko ukiingia ni mpaka ustaafu na hamna pressure za ajabu na pia kma ni kitengo kizuri atakua anapata ela za ziada, private ata kuna maslahi sidhani ni ya kudumu na uko boss siku kaamka vibaya au akimtongoza akagoma analimwa barua ya kuachishwa kazi au mkataba ukiisha apewi mwingine.
 
Wife kapata kazi serikalini huko,mshahara ni TGS D ambayo ni sawa na laki 7.6,kwa sasa anafanya kazi private sector ambako mshahara ni 1.6m gross..kampuni anayofanyia ina pressure za hapa na pale ila kuna a lot of incentives kama bima ya afya ya Jubilee,holidays allowance na nyingine nyingi.
So right now yuko dilemma, aache hapo private au aende government?
Mkuu wewe unafanya kazi gani?
 
Yan nikiwaangalia mnavyofanya ana ana doo katika kuchagua kazi huku jobless mimi sielewi kesho nitaamkaje!

Maisha hatulingani
Screenshot_20221123-210927_1669259598668_1675880854853.jpg
 

Attachments

  • JamiiForums558547243.jpg
    JamiiForums558547243.jpg
    40.2 KB · Views: 8
Back
Top Bottom