kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Agha Khan madaktari wengi ni wanafunzi au ndio kwanza wanaanza kazi?

    Ndugu wanajamvi. Nimeona nilete hili kwenu natumaini wengi wenu mliowahi kwenda Hospital ya Aghakan pale mjini mme notice kuwa madaktari wengi ni wanafunzi ambao hawana uzoefu. Na wengi hurudi kwenye kusoma Notice ili kujua mgonjwa anasumbuliwa na nini..? Nilimpeleka mtu mida ya usiku...
  2. JamiiForums Tanzania Nashauri ianzishwe Kozi ya Bachelor of arts in artifical intelligence (AI) vijana waendande na kasi ya wenzao duniani

    Naomba nieleweke ni Arts sio Science. Kimsingi kasi ya matumizi ya AI karibu katika kila kitu mitandaoni ni kubwa na kuna baadhi ya taaluma zitakufa kifo cha mende. Napendekezwa ianzishwe kozi maalum ya jinsi ya kutumia hii kitu kujipatia kipato katika real life na kuachana na yale mamitaala ya...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mwalimu, nje ya kazi yangu nifanye kitu gani nitoke kimaisha?

    Wakuu habari za muda huu, Kuna mijadala inaendelea hapa jukwaani juu ya Hali za maisha ya walimu. Ni kweli walimu tuna maisha magumu, kwa pamoja tumelipokea. Ndugu zangu tunaomba ushauri wenu, tufanye biashara Gani ambazo zitatuingizia angalau kiasi Cha shilingi 10000 kama faida. Natumaini...
  4. JamiiForums Tanzania Video: Makonda akitoa watu mapepo

    Msitoe lugha chafu tafadhali.
  5. JamiiForums Tanzania Ndege ya mizigo Boeing 767-300F ilibadilishwa jina kutoka “Hapa KaziTu" kwenda "Kazi Iendelee”

    Niende moja kwa moja! Picha za mwazo Kutoka Boeing ndege yetu ya mizigo ilikuwa na chapa ya Lake Tanganyika (Hapakazi Tu) lakini wakati wa makabidhiano inasomeka Lake Tanganyika (Kazi Iendelee). Je, tatizo ni nini?
  6. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha Kifaransa kwa shule za msingi na za sekondari

    Natafuta kazi ya kufundisha Kifaransa kwa shule za msingi na za sekondari. Naishi mjini Kigali, Rwanda na ni mwalimu. Nilisoma lugha katika shule za sekondari (Kiswahili,Kifaransa, Kingereza na Kinyarwanda) , na nikasoma Kiswahili, Kingeleza na Elimu katika chuo kikuu. Asante.
  7. JamiiForums Tanzania SoC03 Bajeti za posho na mashangingi, kodi za vocha zitumike kuwezesha wahitimu wa vyuo na nguvu kazi wasio na ajira

    Ujuzi na uzoefu vimekuwa kikwazo kwa vijana (hasa wahitimu wa vyuo) kuajiriwa.Japo kuna mikakati ya kuwakomboa kiuchumi kupitia uwekezaji na miradi ya maendeleo. Bado ajira zinazozalishwa hazikidhi mahitaji ya soko la ajira nchini. Hivyo kupelekea wengi wao kuwa wazururaji mitaani. Serikali...
  8. JamiiForums Tanzania Nafasi tatu za kazi ya ualimu wa kufundisha ubunifu na ushonaji Sinza Mapambano

    VKVT COLLEGE NAFASI TATU ZA KAZI YA UALIMU WA KUFUNDISHA UBUNIFU NA USHONAJI SINZA MAPAMBANO - DAR ES SALAAM SIFA ZA MUOMBAJI: . Awe na cheti au stashahada ya sanaa ya ufunzi katika ushonaji kutoka VETA kwa level ya NIT . Awe mbunifu katika ufundishaji . Awe na uzoefu si chini ya miezi sita ...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Tupeane Sites zisizo za utapeli zinazoweza kukulipa kwa kufanya kazi bila ujuzi za online mimi naanza na hii

    SproutGigs SproutGigs (zamani ikijulikana kama Picoworkers) ni tovuti ambapo watu kote ulimwenguni wanaweza kujisajili kama wafanyakazi huru ili kupata pesa kwa kukamilisha kazi ndogo au rahisi zilizochapishwa na waajiri. Inalipa kuanzia Tsh 100 hadi 2000 kwa kazi ndogo ndogo moja Hakuna...
  10. JamiiForums Tanzania Mrithi wa Samia ana kazi nzito kurudisha uchumi wa Tanzania kwenye Mstari

    Katika Jambo linalotishia uhai wa taifa Letu ni kuelemwa na madeni huku pesa yetu ikikosa thamani kabisa, Hakuna juhudi zozote Za makusudi zinazofanywa na seriakli ya Samia kuokoa uchumi wa Taifa letu... Ni masikitiko makubwa Kwamba Sasa watu wanchota mihela Kwa kadri wawezavyo nakukopa mikopo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni taarifa zaidi kuhusu Kazi ya labour officer (Afisa Kazi)

    Habari zenu wana jamvi... Nimeulizwa hapa na machalii mtaani nimekosa jibu, nimejaribu kutafuta katika google ya ubongo wangu mtu wakimuuliza nimekosa nikakumbuka kuwa kuna jamvi lipo linawajuvi wa mambo.. bila shaka nitapata taarifa sahihi.. Hivyo BASI, Naombeni taarifa zaidi juu ya Kazi ya...
  12. JamiiForums Tanzania RC Chalamila aanze kazi sasa, hali ya Jiji ni tete

    Kama ni maneno yanatosha. Anza kazi mzee wa mdomo. Tegeta mafuriko, Mbagala Kijiji, Bunju Panyaroad wamekaa wakila timing. Kigamboni changamoto kibao. Ubungo imelala. Tabata haieweleki life as usual, Mitaa, Mashina hayana viongozi. Yaani jiwe aliharibu Nchi.
  13. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Kilimo ya Agro - Meru imetangaza nafasi za kazi

    M/S Meru Agro-Tours & Consultants Co. Ltd (MATCC) is a local private company based in Arusha that specialized in Agricultural inputs business. The company deals with multiplication and distribution of agro seeds; importation and distribution of agrochemicals and provision of technical advisory...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kapangiwa kazi Mkoani

    Habarini wapendwa. Wadau, Mke wangu kapata kazi Taasisi moja ya Kiserikali lakini Kapangiwa Mkoani (Shinyanga). Tupo na watoto wawili sasa, mmoja ni mdogo ananyonya (Mwaka mmoja). Sasa nina changamoto moja. Kwanza nimemshauri kwa kuwa ndio anaenda kwenye mazingira mapya asiende na watoto...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Wabunge wetu na mapambio kazi zilizofanyika na baadae kukimbizana na muda

    Nipo natazama wachangiaji wa bunge linaloendelea. Cha kushangaza wengi wa wabunge wanatumia muda wao mwingi wakitoa sifa nyingi kwa kazi zilizofanyika. Cha kushangaza zaidi baadae wanakimbizana na muda kutoa pointi za msingi na muda hauwatoshi. Niwambie wapiga kura watakupima kwa kile...
  16. JamiiForums Tanzania SoC03 Thamani ya Kazi na Uwekezaji: Njia Bora ya Kupata Fedha Zaidi

    THAMANI YA KAZI NA UWEKEZAJI: NJIA BORA YA KUPATA FEDHA ZAIDI Imeandikwa na: Mwl.RCT Picha | Kwa hisani ya money(dot)com UTANGULIZI Thamani ni dhana muhimu sana katika maisha yetu. Inahusiana na jinsi tunavyothamini na kupima mambo na watu katika maisha yetu. Katika Makala hii, nitazungumzia...
  17. JamiiForums Tanzania Japan: Waziri Mkuu amfuta kazi mwanawe kuwa msaidizi wake

    Waziri Mkuu wa Japan, Fumio Kishida amechukua uamuzi huo wa kumuondoa mtoto wake ambaye ni Katibu Mkuu wake kutokana na kuonesha tabia mbaya. Hatua hiyo imekuja baada ya picha kuvuja, zikimuonesha kijana huyo, Shotaro akifanya sherehe pamoja na ndugu zake katika ofisi ya Waziri Mkuu huku...
  18. JamiiForums Tanzania Kijana Unaetafuta kazi, Uwe unajua Kuendesha Pikipiki/Gari

    Kichwa cha habari hapo Juu,Nahitaji kijana wa kiume anaejitambua mwenye usongo wa Maisha kama SIMBA Sifa za Kijana ninae Mtaka : Elimu yoyote Ujue kutumia Computer (lazima) Ujue kuendesha Gari/PikiPiki (lazima) Uwe Mkazi wa Dar Usiwe na Ulemavu wa aina yeyote Uwe na Wadhamini Wanaoishi Kwao...
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yeyote ya kiume

    Natafuta kazi, nipo Dar es Salaam. Kazi yeyote nafanya Kwa mawasiliano: 0672780428
  20. JamiiForums Tanzania Kazi inaendelea chini ya rais Samia. Mwaka 2025 hakuna mbadala wa kuendeleza kazi za taifa hili

    Mwenye macho haambiwi tazama 👇
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…